Forex ilivyofilisi maduka yangu mawili ya nguo

Kwa hio watu ambao mnaishi maisha kwa Kamari Poleni sana. Mimi SIISHI MAISHA YANGU NAMNA HIO. Na kweli mafanikio nimeyaona sana kila mwaka baada ya mwaka. Sirudi nyuma kamwe. Na nilizaliwa kwa familia maskini sana
 
Sasa kila kitu si unakifanya kwa kutafuta ama kuchanganua Mambo mkuu kuwa one outcome is possible to occur than one
Yaani unatafuta odds ziwe nyingi za kui favour outcome Fulani.
Kumbuka hapa naongea mathematically labda hutonielewa.kasome probability labda twaweza elewana
Mfano unatafuta kazi kampuni fulani lazima kwanza uichunguze ikoje inavyolipa.
Hata investors kabla hawajaja kwa nchi fulani lazima wachanganue Mambo ya kisiasa,kiuchumi.
Kabla hujafungua biashara mahali fulani ni lazima utafute uwezekano wa mbegu yako kuota.
Hebu niambie kimojawapo katika maisha yako unachokifanya bila kupiga hesabu.
Mwenyewe kuzaliwa ni probability Mana ingeweza kutokea miscarriage ama ukashikwa na magonjwa ya utotoni ama around billions of sperms alizotoa babaako yako ilikuwa na probability kubwa ya kuogelea na kuwahi kulifikia yai.

Niambie unachofanya ambacho una uhakikaa nacho. Mfano hujui Kama kesho utaiona
 
Sijakataaa unavyodai biashara ya real estate Haina risk unakumbuka Kuna miaka Japan waliwekeza kwa majengo USA baadaye iyo biashara iliporomoka Sana wakapata hasara. Tafuta house bubble mkuu.
Pia unapojenga kumbuka pia nyumba yako yaweza kuungua ama any natural calamity ikaikumbuka investment.
Hapo uliposema kuwa unacheki risk ni kweli Ila pia penye high risk Kuna high return.
So ukiogopa risk utakaa bila kufanya kitu
Kuna risk kila sekta mkuu. Hata mkeo unajua kuwa anachapwa na anaweza akaleta magonjwa sema Nini hujaiogopa iyo risk umeamua kuzama ndoani ili umeki family uitwe baba ama mama.
Sio kuwa nakuombea Bali nakuonyeshea everything is risk hata kukaa bila kuteki risk ni risk pia.
Ina Mana mfano unapojenga hela unayojengea ungeamua kununulia Kosta ndani ya kila mwaka na nusu Kosta inakujengea na unaweza dumu nayo above five years.
Ila umeamua ku diversify your capital.
Pia kumbuka unapo diversify it means you don't know what are you doing na pia hauna uhakika na ukifanyacho.
Ni sawa hauna uhakika kuwa mbinguni hakuna Mungu
 
Huu ni uongo kama uongo mwingine.
 
Naona hapa unakubaliana na mimi. Risks zipo.. lakini ni muhimu u-invest huku uki-minimize risks. Binafsi imenisaidia sana. Naona watu wanalia kila siku.. na asilimia kubwa wana-invest tu bila risks analysis. Nyumba kuungua ndio maana ya reliable insurance. Ulisema maisha ni kamari.. hio ni kwako. Binafsi maisha yangu siyachezei KAMARI KAMWE
 
Big yes life is a poker mkuu and not a chess.
Niambie ambacho haufanyii analysis ya ku minimize risk.
Unapominimize risk Ina Mana unafanya probability ama mahesabu kuwa huu upande sio na ndo Mana ukiwa na risks nyingi kwa Mana probability haijaku favour unakwepa hapo hauingizi pesa yako.
Yaani hata ukatae hiyo ni probability huwa unafanya.
Mana unacheki proba ya kitu fulani kuja vibaya.
I know people love white or blacks but between like gray no.
People love to say yes or no but nothing is 100% sure or 0% impossible everything is dancing between zero and one.
Yaani ndo Mana watu huwa wanaambiwa uongo ili wafurahi Mana everything in investment going on is probability.
So probability mindset ni ngumu kibinadamu kuipenda.
Kwani why Sasa unaweka reliable insurance Sasa si kwa Mana kuwa risks inaweza ikatokea.
Listen insurance companies zinafanya biashara zao kwa probability mkuu.
Probability una assess risks so unafanya ambayo ni less risk kwani iyo sio kubeti kwa lazima analysis zako zikubali Kama ulivyo analyze.
Nimekuambia hata unapoamua kusafiri hauna uhakika Kama utafika.
Ila naona Kama hatuelewani. Ngoja nisevu hizi energy Mana zapotea bure.

If you're hundred sure with real estate why unakata insurance?
So kubaliana namie kuwa nothing sure hapa duniani.
Waweza fanya maamuzi mazuri ukapata matokeo mabaya na ukafanya maamuzi mabaya still ukapata matokeo mazuri.
An event can be extremely likey but not happen and an event can be extremely unlikely to happen but still happen.
 
Hata usiendelee stori haina hata chembe ya mvuto
 
SIO KWELI. KAMARI MANAKE UNAWEZA UFANIKIWE AU USIFANIKIWE. MIMI KILA JAMBO NINALOLIFANYA MAISHANI LAZIMA LIFANIKIWE. Mara ngapi kamari inafanikiwa wewe? Mimi SIJASIKIA HATA SIKU MOJA MTU AMETOBOA MAISHA KWA KUCHEZA KAMARI. NEVER! Wewe endelea tu na ku-bet hela zako kwenye michezo ya Betting Halafu Eti UNAKUJA KUANDIKA UJINGA HAPA unaona umeandika kitu cha maana ILO KUKIFARIJI TU. Kwa fikra hizo utakufa maskini. Halafu UNAANDIKA MANENO MENGIII ILA NI PUMBA TU. Kwa ufupi Narudia.. mimi MAISHA YANGU KAMWE SIYACHEZEI KAMARI.. NA KILA NINALOFANYA LAZIMA NIFANIKIWE.
 
Kila PROJECT NZURI katika maisha ina RISKS. Lakini hio haimaanishi Kila Project Ni Kamari. Kamari kama FOREX au BETTING tatizo lake ni kwamba zinafanya mtu uwe addicted kwa michezo hio.. na mwisho wa siku WATU WANAPOTEZA KILA KITU NA HAWATOBOI KABISA kama huyu ndugu Mleta Mada. Biashara kama real estate, mtu hata usipotoboa mara moja, as long as kwamba LOCATION ni nzuri, jengo ni la kwako. Unaendelea tu kujifunza namna ya kufanya likuletee Faida kubwa. Haupotezi kitu hapo.
 
Soma Hio Ili Uelimike. Watu Mna Matatizo Sana. Eti kwa nini nakata insurance. Nilishakuambia, hakuna investment nzuri isio na risks. Lakini UWEZEKANO WA KUTOBOA KATIKA INVESTMENTS NYINGI UPO 100% USIPOKATA TAMAA NA UKIENDELEA KUJIFUNZA NAMNA YA KUONDOA RISKS. Ila hizo Betting Zenu UWEZEKANO WA KUTOBOA NI 0% na USIPOKATA TAMAA.. ETI UKAENDELEA KU-BET NDIO UNAZIDI KULIWA SABABU TEARI ODDS ZIKO AGAINST YOU. HATA UFANYEJE, UWEZEKANO WA KUPUNGUZA RISKS HAUPO.
 
Eti life is a poker.. HALAFU UNAONA UMEANDIKA JAMBO LA MAANA KWELI KWELI.. Nakuambia Your Life is a Poker. Wengine hapa MAISHA YETU HATUYACHEZEI KAMARI.. . NA TUNATOBOA KWELI KWELI. WW endelea tu kuchezesha maisha yako Kamari...
 
Ni kweli unapofanya risk assessment inakusaidia ku"minimize loss" High risk inakuja na faida kubwa ukifanikiwa, low risk inakuja na faida kidogo. Hata real estate haina uhakika wa faida. Marekani walipata shda saana kulipotokea mtikisiko wa uchumi wakati wa Bus. Wenye nyumba walipoteza na wengine kufunga biashara. Maamuzi kama ya serkali kuhamia Dodoma imeleta mauzauza kwenye biashara ya real estate Dar Es Salaam. Kwa kifupi hakuna biashara isiyo na risk, sema tu how high a risk are you willing to take (how high a loss are prepared to accept)
 
Hakuna biashara isio na Risk. Lakini Risks ya investments kama real estate ni ndogo sana. Waliopoteza nyumba USA mwaka 2008 ni mabwege sababu ambao hawakupoteza nyumba sasa ivi nyumba zina thamani zaidi ya mara 2 tokea 2008. TATIZO WATU HAMJUI KUTOFAUTISHA KATI YA RISKS YA KU-INVEST HELA ZAKO KWA INVESTMENTS NYINGINE NA RISKS YA KU-INVEST HELA ZAKO KWENYE INVESTMENTS ZA KAMARI KAMA FOREX, BETTING NK.. hizo biashara nyingine AMBAZO SIO KAMARI, Mtu ukiendelea kupambana na kujifunza kupunguza risks LAZIMA UTATOBOA. ILA HIZO ZA KAMARI,,, RISKS ALWAYS NI KUBWA NA UTAFILISIKA KIMOJA KAMA MLETA MADA NA HAKUNA SOMO LA MAANA UTAKALOKUWA UMEJIFUNZA ZAIDI YA KUJIFUNZA KWAMBA KAMARI NI MBAYA...
 
Eti life is a poker.. HALAFU UNAONA UMEANDIKA JAMBO LA MAANA KWELI KWELI.. Nakuambia Your Life is a Poker. Wengine hapa MAISHA YETU HATUYACHEZEI KAMARI.. . NA TUNATOBOA KWELI KWELI. WW endelea tu kuchezesha maisha yako Kamari...
Forex INA pande mbili unaweza kufanya kama kamali au kama biashara ni maamuzi yako tu.
 
Sasa huyu jamaa bado haelewi kuwa izo calculation anazopiga kuminize risk Ina Mana Ana minimize risk ,kwa maana nyingine ni kuwa anatafuta odds za event or outcome anayoitaka itokee.
Sijui naongea na ngwini Mana naona haelewi kuwa probability is a study of uncertainties of events or outcome.
Yeye kariri kuwa kamari unajilipua bila kufanya calculations,,

Forecaster man anafanya calculation mpaka anasema kuwa mvua itanyesha Sana mwaka huu Kuna factors anaangalia.
Yaani huyu sijui amefunga kichwa haelewi.
Sijui hata mtihani wake wa la Saba alijibuje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…