Forex ilivyofilisi maduka yangu mawili ya nguo

Forex INA pande mbili unaweza kufanya kama kamali au kama biashara ni maamuzi yako tu.
Huyu ni kilaza muache Mana naona Kama amekariri maisha yake.
Hata hajui Warren buffet,Joji Soros wanafanya biashara gani ama akina Ray dalio.
Akina jp Morgan,Merrill Lynch,
Yeye akariri kuwa kujenga nyumba sio kamari.
Anaweza akajenga nyumba baadaye ilo eneo likawa la familia ama likaleta mgogoro ama watumishi wakahamishiwa dodoma ,ama wanafunzi wakajengewa hostel za Bei nafuu na serikali wakahama.
Duu kweli sijui huyu alisoma history ipi.
Hajui kuwa professional doctors huwa Wana probability kwenye career zao.
Kama wametoa dawa wanacheki imeleta effects gani mfano kwa watu buku so wanafanya research
 
Hujanielewa nawewe. Kama unaongelea casino as gambling zile huwa ndo Zina win mkuu.
Ila elewa hakuna investment ambayo ni 100% sure.
Hata duka unavamiwa unaibiwa sio risks hizo.
Usikariri kuwa kamali ni kwenda Las Vegas na kuanza kubeti.
Pia elewa kuwa wapo wanaoishi wewe unapopaogopa.
Kuna kuuza drugs unaogopa risk mwenzako anacheza kamari maisha yake anatoboa mkuu.
Wewe upo na nyumba zako ambazo unapokea hela za nyanya.
Mwenzako Mara moja tayari Ana hela za kwenda visiwa vya Caribbean na Latino America kucheza na watt wa huko.
Sasa wewe Kodi ya laki mbili ama tano lini utashika.
Pia kila mtu huwa Ana risk appetite.
Usikariri kuwa kamari ni kwenda casino tu.

Nimekuambia kuwa hata unapowasha gari yako kwenda point B from A hujui hapo katikati utakutana na Nini kwa sio kamari iyo.
Hjui Kama utakutana na lisemi likanyage benzi yako iwe chapati ama like kontena lianguke juu yako.

Yaani wewe ni kilaza mpaka naumia kukufahamisha
 
Forex ni betting. Stock market ni betting. Cryptocurrency investments ni betting. Kwa hizo investments, Watu wanaweka millions of dollars ambayo hata ikipotea hawajali. Sasa ww unaweka hela yako pekee kwenye kamari? Lazima ulie tu
😂😂
Ni sawa tu na kupokea mshahara wote ukaenda kuuchezea kamari Casino!
 
Hata forex Ina namna ya kupunguza risk za kupoteza wengi wanai treat Kama kamari really wakati inatakiwa uwe speculation.
Unaponunua nafaka zipande uuze kwa so zinaweza zisipande Bei zikashuka kwani sio kamari iyo ama wewe umekariri kamari ni kubeti mpira.
 
Wewe NDIO USIKARIRI KWAMBA FOREX SIO BETTING.. Mwenzako kaliwa maduka mawili ya nguo yotee. MIMI SIPOTEZI MUDA KUELIMISHA MTU KAMA WW NDUGU YANGU. NENDA KAFANYE FOREX.. UTALIA TU.. GUARANTEED!!
 
Kuna biashara nyingi sana nchi hii zinafeli na watu wanapata hasara ila husikii vikipingwa vita lakini forex kheee sijui iliwakosea nini hata betting haipingwi vita kabisa.
Ontario alizaba watu na kitu kizito kichwani
 
F
Fx niya kwenda nayo mdogomdogo pupa lazma uwekwe waaaa. Wanasema markets ziko na high risk ukikumbuka uliambiwa huna mbele wala nyuma na X basi badala yakutumia 0.2 lot size kwa account ya $100 unapata unatandika lot ya 0.5 au above uku umefanya analysis ya kiwaki basi unatulizwa tuu. One thing fx is not a scam na tuache kupangilia hela ambazo hatujatia mkononi. Chezea a quality lifestyle, tutulie tuendelee kusoma mdogomdogo consistency is the key. Wakumbaf wanapiga ela 😂😂
 
Forex inahitaji elimu sahihi ukiingia nakujaribu bila kupata elimu sahihi utatoka na kuja kushuhudia mambo ambayo si sahihi firex ni kazi ngumu na tam sana
 
Wewe NDIO USIKARIRI KWAMBA FOREX SIO BETTING.. Mwenzako kaliwa maduka mawili ya nguo yotee. MIMI SIPOTEZI MUDA KUELIMISHA MTU KAMA WW NDUGU YANGU. NENDA KAFANYE FOREX.. UTALIA TU.. GUARANTEED!!
Endeleeni na mawazo mazuri kama haya hatutaki watu wengi humu msije stukia tunavyopiga hela kijanja asee
 
Forex ni betting. Stock market ni betting. Cryptocurrency investments ni betting. Kwa hizo investments, Watu wanaweka millions of dollars ambayo hata ikipotea hawajali. Sasa ww unaweka hela yako pekee kwenye kamari? Lazima ulie tu
Stock na Crypto usifananishe kabisa na Forex. Ukitaka pesa nyingi kwa haraka lazima uone Stock na Crypto haifai.

Uzuri wa Stock na Crypto unaweza ku-invest kiasi kidogo sana cha pesa na return yake ikawa kubwa sana. Cha muhimu katika Stock na Crypto ni kuwekeza kwenye kampuni au projects zenye future nzuri kipindi zikiwa katika bei ya chini na kuja kuuza zikilipuka. Kwenye Stock na Crypto uvumilivu ni muhimu sana, huku watu wanawekeza kwa ajili ya miaka 5 hadi 10 ijayo.
 
Na ndio nilisema.. inatakiwa uweke millions of dollars ambayo hata ikipotea hauumii. Sasa mtu unatoaje hela ya duka, halafu uiweke kwenye forex? Hilo ni kosa sana..
 
Uko sahihi kabisa.. pia ni long term investment. Manake matunda usiyategemee hadi miaka kadhaa ijayo.
 
Forex ni betting. Stock market ni betting. Cryptocurrency investments ni betting. Kwa hizo investments, Watu wanaweka millions of dollars ambayo hata ikipotea hawajali. Sasa ww unaweka hela yako pekee kwenye kamari? Lazima ulie tu
Kulima matikiti maji kwa mtaji mkubwa ambayo hujuhi hata kama utavuna na ukivuna utamuuzia nani na kwa bei gani ni GRAND BETTING!
 
Kulima matikiti maji kwa mtaji mkubwa ambayo hujuhi hata kama utavuna na ukivuna utamuuzia nani na kwa bei gani ni GRAND BETTING!
Kabla haujaweka mtaji mkubwa inatakiwa uwe umeshatumia mtaji mdogo kwa Majaribio na ukafanikiwa Vizuri. Kabla ya mtaji mkubwa Inatakiwa ujue kilimo hicho vizuri . .. Inatakiwa ujue msimu mzuri. Inatakiwa ujue soko zuri utauzia wapi na msimu mzuri wa kuuzia ni upi. Inatakiwa ujue vitu gani vitaharibu mazao kisha uchukue Tahadhari Zote. Inatakiwa utumie maji ya kumwagilia yanayopatikana muda wote. Ujue mbolea gani nk zinafaa. Uwe na wakulima au wafanyakazi wataalamu shambani na waliobobea katika kilimo hicho. Ww mwenyewe USIMAMIE KAZI YAKO KILA SIKU NA UWEPO SHAMBANI NA UWE NA UTAALAM KIASI FULANI.
 
Kulima matikiti maji kwa mtaji mkubwa ambayo hujuhi hata kama utavuna na ukivuna utamuuzia nani na kwa bei gani ni GRAND BETTING!
Ni Grand Betting Ya Kijinga. Kumbe ndio mnawekezaga namna hio?? Poleni sana ww na huyo Keisangora wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…