Forex ilivyofilisi maduka yangu mawili ya nguo


Umeongea pint ila hapo mwisho ni point kubwa zaidi
 
Ma
malizia nini kilifuata
 
Vijana tujitahidi kufanya investment ambayo ni real.

Unless otherwise,unaliwa kichwa.
 
Hiyo miaka 4 utakua ulipigwa za uso lkn ndani ya mwaka unarudisha zote ulizopteza miaka 4 nyuma,hkn km fx bana.
 
Kwahiyo ww boc umejifunza miezi 6 ukawa pro trader au vp master?
 
Unaonekana bado hujaijua forex ni nini haswa.... nashauri ukae utulie kuisoma, kisha invest an amount which you can bear the risk[emoji106]
 
Wewe ulikuwa una bet bana sio Fx hio[emoji2][emoji2]
 
Uko wapi bro mindset yako iko 99% kwenye uhalisia wa dunia vijana wengi tunakosa this mindset..
 
Uko wapi bro mindset yako iko 99% kwenye uhalisia wa dunia vijana wengi tunakosa this mindset..
Watu wengi pamoja na huyu kijana yeye anajua ama anaijua keshoa yake kuwa alipooa ana uhakika kuwa wataZeeka ama atazaliwa na huyo mke wake, yaani bana hajui hata nyumba aliyojenga inaweza ikapitiwa na earthquake, yeye mwenyewe anasafiri kwenye gari yake hajui anaweza akapata ajali na yumo na watt wake na mke wake, hajui kuwa future is uncertainty hakuna anayeijua kesho sema anajiona bingwa kinyama, matibabu yenyewe madaktari wanacheza na probable or probability Ile kapime ichi anataka awe na namna ya kutoa outcome ya ishu inayokusumbua. Na ndio mana odds zinaweza zikawa against na yeye, nothing is certainty only tax and death Mana hizo Zina guarantee. Ila mengine hatuyajui like hata umri wetu wa kuishi, ama ukifanya biashara utafikia kiasi gani ama Leo utauza mauzo.kiasi Gani
 
πŸ‘ Vijana wajifunze risk management kwenye kitu chochote wanachofanya watabadilisha maisha coz everything ni risk..
 
πŸ‘ Vijana wajifunze risk management kwenye kitu chochote wanachofanya watabadilisha maisha coz everything ni risk..
Kumbe Kama unanielewa wewe ndio mana umeuliza Niko wapi, hata kuoa huwezi enda oa Malaya wa kona bar ama demu aliyekuwa na history ya kugongwa na Kila mtu, biashara zenyewe lazima tufungulie mahala ambapo unaweza ukatoboa , ama penye watu wengi, lazima ujue mahala pa kuishi, hata simu yenyewe ukitaka kununua lazima ufanye utafiti wake , hapo unafanya analysis ya risk or in case uki lose, umeona Yale magari yetu yameporwa Mali huko goma, Hawa jamaa sijui Kama walikata insurance, everything is risk, hata kwenye sofa unakufa umekaa,
Trader jina lake halisi ni risk manager , hata jambazi huwa anapiga hesabu za risk anapata odds zikiwa in his favor ndio anajidungua anaingia mzigoni anajua kuwa hakuna kuuiwa hapa na anaomba Mungu kabisa .
Watu Wana complicate Maisha wakati we do these shits automatically and everyday at every second of our own thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…