Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Mkuu Kuna kitu kinaitwa ZONES

Zone ziko major zone na minor zones

Kuhusu hilo swali lako it means utaangalia price imetoka na kuelekea kwenye zones za namna gani je major au minor

Hizo zone pia hupewa majina kadri zinapovunjwa au kuguswa mara nyingi majina hayo ni support and resistance (support zone ilitobolewa wakati price inatoka chini kwenda Juu na resistance zone ilitobolewa wakati price Juu kwenye chini )

Lakini la msingi zaidi zaidi zaidi uje market direction inaelekea wapi kwa unavyoona juu au chini .

Na je makert iko sharp(trending) au inacheza eneo moja tu(ranging) au au inasogea kwa very few pips kwa mwendo wa kivivu(chopping)

FX pana[emoji1787]tuishie Hapa

Professional za watu (respect)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaielewa vizuri endelea kusoma

Kwenye FX hakuna Mambo ya "kuweka" [emoji1787][emoji1787]

Tafadhali Sana soma uelewe ikikushinda kaa pembeni sio kesi[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo nafikiri utakuwa balozi mzuri kuwaeleza watu uhalisia wa FX,stock,binary,indices, commodity

Hakuna easy money
Kama huna hivi vitu

1.Knowledge
2.skills
3.Information.


Utapigwa daily


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi Moderator BADILISHENI title wekeni usomeke

"uchambuzi wa forex"

Mtu kauliza biashara ya kufanya watu wanaendeleza uchambuzi wa Forex wapi alikosea nini afanye,halafu mwenye uzi mwenyewe haonyeshi ushirikiano wa kutaka kujua Biashara anazoshauriwa faida zikoje au vipi.

Akiletewa ushauri wa biashara anajibu "asante kwa ushauri" ila akipewa tu hata kaswali kadogo kuhusu forex Anashuka aya mbili mpk tatu.

Kuna mtu huko nyuma alisema hapa kuna kaharufu ka uongo Sitaki kujua muongo nani mkweli nani ila nilichokiona hapa mwenye thread ana lengo lake la kufungua hii thread na nina uhakika kalitimiza,hilo la ushauri wa biashara nahisi kama aliweka ka chombezo tu ila lengo kamili majibu anayo PM kwake huko.

Watu mshaurini mwenzenu cha kufanya kashasema hataki forex anataka biashara nyie mnaendeleza story za forex anzia page 1 to 13 Forex tu, Elli alianza vizuriiiii nikajua ntakutana na comment dzaini yake ila matokeo yake,Muanzisha mada plus wachangiaji UZI wote mbember wa Forex dadeki.

Haya endeleeeni na uchambuzi halafu we jamaa mwenye thread acha kutu enjoy.
 
maombi yako mhimu izidi kushuka nipate ya krismas roho mkononi
 

Attachments

  • wash.PNG
    42.1 KB · Views: 14
Mkuu unaweza kuelezea vizuri hiyo WADU account ya TPB
 
Mkuu nimesoma soma vitabu ila nimeona ni vizuri nikaanza kutrade labda itanipa uelewa mzuri zaidi. Kwa experience yako nimtumie broker yupi ni mzuri zaidi. Pili nianze na kiasi gani kama mtaji. Sitaki kuanza na Demo,nishauri kwenye Real acc
 
Mkuu sasa ulikuwa unataka niwapangie cha kunishauri .

Kama umesoma uzi vizuri kunawatu wamenipatia ushauri tena mzuri sana sana sana

Kwa akili yangu ndogo niliyonayo kwa kweli wamenisaidia sana na nimeshukuru sana

Na mpaka leo nimepata pakuanzai

Kunawadau wengi nasema wengi sana siwezi kuwataja wamenifata PM kunipa moyo na ushauri wa biashara tofauti tofauti

Wengine tumepanga kukuta ana kwa ana ,

Mpaka sasa hivi nimetoka kukutana na jamaa mwingine wa humu humu.

Siwezi kukulazimisha ukubali maneno yangu kwani binadamu tunaakili tofauti

Ndio mimi nakubali kutokana na mtaji nilionao nimeona niachana na maswala ya forex lakini sijakataza mtu kutrade

Sasa mtu akitaka ushauri nisimpatie bro sinaroho chafu hiyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimesoma soma vitabu ila nimeona ni vizuri nikaanza kutrade labda itanipa uelewa mzuri zaidi. Kwa experience yako nimtumie broker yupi ni mzuri zaidi. Pili nianze na kiasi gani kama mtaji. Sitaki kuanza na Demo,nishauri kwenye Real acc
anza na yeyote anayeonakana
 
Nilipata tatizo kama lako kipindi cha nyumaa ila sikukata tamaa mkuu. Vizurii una idea sio haba.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu CONTROLA ukiona mtu ameshadumbukia kwenye FOREX na BETTING, ujue huyo kashakua addicted usipoteze muda wako kumshauri mambo mengine ya biashara hatafanya, mleta mada ni addicted gambler, huyu ni kumwacha tu aendelee na forex yake
Roho mbaya haijengi bro now nimetoka kupewa mchongo wakuingiza japo 15000 per day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata tatizo kama lako kipindi cha nyumaa ila sikukata tamaa mkuu. Vizurii una idea sio haba.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo bro.kuna jamaa pale juu alisema nimetunga story.

Nikamwambia akasome vizuri mada aunganishe mistari aniambie wapi nimedanganya nilete ushahidi hapa akakimbia

Mtu anashindwa kuja na point anakalia kusema story ni ya kutunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukisuka tena mkeka wa mil 8 usisahau ku share kule kwenye uzi wetu wa "wazee wa kuweka mzigo" tusafirie nyota yako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee brother CONTROLA mimi ni shabiki yake kindaki ndaki kwenye nyuzi zake za biashara lakini leo kapiga kufuli kunishauri[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua Thread ingine jooohs usiweke mambo za FOREX ongelea mtaji plus lengo lako

uone kama utanikosa humo kati kati,tatizo la huu uzi ume egemea ki forex forex mwanzo mwisho

sasa mimi mambo ya forex huku kwenye thread nafananishaga tu na zile thread za uwepo wa MUNGU na SHETANI.

wananchanganyaga tu wanaoanzisha yale ma thread so napitaga kimya kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…