Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Kilichokufanya kukupa tishio la kulala njaa ni kutokuwa na Physically Investment ila uzuri umelijua hilo.

Kwa 10M fanya biashara ya 7M isiyo na mahesabu mengi na iliyo rahisi kusimamiwa na mtu hata kama haupo ninamaana ikifika wakati atakuwa anaisimamia mtu wewe unagonga pips zako geto...kwangu mimi biashara isiyo na mahesabu mengi Car wash na 7M ni mtaji sahihi hiyo 3M itakuwa akiba uta push hadi uhakikishe inaingiza faida then utageuka kwenye Forex hapo hata ukichoma account yote hutalala njaa...unanafasi kubwa ya kuwa success popa.

NB:USISAAU KUNIAJIRI GRADUATE MWENZIO NISIJE FARIKI BULE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo umekosea sana kuwema Lot size ya 1. Nakwambia hivi, ukiwa na nidhamu kama uliyokuwa nayo mwanzo ungekuwa umetoboa sana. Nikuulize, hivi ungetrade kupata dola 20 tu kwa siku....je hiyo ni hela ngapi?

Halafu SL ni lazima. Asikudanganye mtu bwana.

Forex pays. Tatizo ulileta tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni fundi wa fx. Kuna kitu nnakufata PM...tafadhali mimi mwenyewe ni expert so usidhani nakuja kuombe unifundishe ila kuna issues za broker nahitaji kujua.

Nimeacha kutrade kama miezi 3 hivi kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
Tatizo fx unaweza jiwekea kanunu lakin ukishaanza kutrade unajikuta umeshachapa 0.5 kwenye mtaji wa 100. Ila ushauri wako nitaufanyia kazi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah ww dogo nakuona utafika mbali sana in the future kwa maana ni risk taker mkubwa yani huogopi safi sana nimekupita miaka miwili ila nina cha kujifunza kwako mdogo wangu but nikushauri fanya biashara ambayo hutotumia mtaji wote maana huwezi jaribu kina cha maji ya bwawa kwa kutumbukiza miguu yote.
 
Daaah ww dogo nakuona utafika mbali sana in the future kwa maana ni risk taker mkubwa yani huogopi safi sana nimekupita miaka miwili ila nina cha kujifunza kwako mdogo wangu but nikushauri fanya biashara ambayo hutotumia mtaji wote maana huwezi jaribu kina cha maji ya bwawa kwa kutumbukiza miguu yote.
Shukran mkuu nitafanya hivyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu SL ni lazima. Asikudanganye mtu bwana.
Na Iwapo hataki kutumia SL, basi awe mtaalam wa kufanya hedging either manually au aweke EA itakayokuwa ina monitor trades zake.

Moja ya EA nzuri ya hedging ni hii hapa: Hedge EA Advanced | Forex Trading App for MT4 ,Hii EA kwa sasa ipo ya Mt4 tu.
1576563075041.png

Pichani ni hedging manually, ukiangalia hapo v75 badala ya Ku_buy nili_click sell, kuja kushtuka price iko mbali, nakafanya kufungua position Tano zaidi za BUY, manual hedging, ili ku_cover loss na kufunga trades zote baada ya profit kusoma.

jooohs asingepoteza fedha yote siku hiyo kama hii concept ya hedging angekuwa nayo na tayari alikuwa akitumia.
 
Akishindwa car wash anunue chombo cha usafiri afanye usafirishaji. Yeye mwenyewe itakuwa vyema, bajaji, boda au gari. Nasisitiza aendeshe mwenyewe. Huku anaendelea na fx.
Ofisi unayotembea siiaminigi hata kidogo Tigopesa iliyoanzishwa kwa 3M utaona ina survive miaka 5..10..+ ila boda, bajaji nk hutojua imeenda wapi...then jamaa ni Online businesman hiyo haimfai haitompa muda na kwa mantiki ya kufanya yeye mwenyewe Je atapofikia wakati anataka a-base online zaidi atamwachia mtu ndio mwisho wa biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom