Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Fafanua vizuri mkuu, biashara hii inaendeshwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaendeshwaje kivipi Mpwa? Unaweza kuanza na machine moja nzuri, dust cleaner na vifaa kidogo! Tafuta eneo zuri kwa biashara, maji na umeme viwe vya uhakika! Jitahidi kupata vijana waaminifu na wewe jitahidi uwepo! Then Customer Care iwe nzuri
 
Ofisi unayotembea siiaminigi hata kidogo Tigopesa iliyoanzishwa kwa 3M utaona ina survive miaka 5..10..+ ila boda, bajaji nk hutojua imeenda wapi...then jamaa ni Online businesman hiyo haimfai haitompa muda na kwa mantiki ya kufanya yeye mwenyewe Je atapofikia wakati anataka a-base online zaidi atamwachia mtu ndio mwisho wa biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijiunga ubber na bolt inakuwa vyema. Anaweza tenga muda anapiga mishe asubuhi hadi saa 3 asubuhi anamuachia mtu then anakamatia tena jioni hadi usiku. Hapo kati anaweza fanya mambo yake.

Fx kama inaenda poa anapaki tu chombo chake, hali ikiwa tete anaamsha.
Ni ishauri tu atapima mwenyewe urahisi ulipo. Ila ana mtaji mzuri yaani nimemtamani😀
 
Ukijiunga ubber na bolt inakuwa vyema. Anaweza tenga muda anapiga mishe asubuhi hadi saa 3 asubuhi anamuachia mtu then anakamatia tena jioni hadi usiku. Hapo kati anaweza fanya mambo yake.

Fx kama inaenda poa anapaki tu chombo chake, hali ikiwa tete anaamsha.
Ni ishauri tu atapima mwenyewe urahisi ulipo. Ila ana mtaji mzuri yaani nimemtamani[emoji3]
[emoji251][emoji251][emoji251]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaendeshwaje kivipi Mpwa? Unaweza kuanza na machine moja nzuri, dust cleaner na vifaa kidogo! Tafuta eneo zuri kwa biashara, maji na umeme viwe vya uhakika! Jitahidi kupata vijana waaminifu na wewe jitahidi uwepo! Then Customer Care iwe nzuri
Ahsante mpwa, ngoja nifanye savei kwenye carwash yoyote nijifunze zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaongelea $1600 siku moja niliunguza $8000 nikiwa natrade news nililia kama mtoto mdogo
Hahahaha zina tokea sema ukisha shtuka,kuwa uko wrong direction unachukua action faster.
Screenshot_20191217-095234.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Account ya $1600 unaweka lot size ya 1 af unaonekana unatrade bila SL ulitegemea nini kikupate?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatakiwa kuwa na elimu ya kutosha mimi huwa situmi sl. Na trade zangu kwenda tofauti na mimi ni ngumu. Huwa nafunga manualy kama na risk dollar 4000 basi huwa nakuwa happy kabisa kupotezaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom