Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Kuna mzee wa karibia miaka 60 jana kanipa simu yake nikuelekeze jinsi ya 'ku-screen shot'. Hiyo page aliyokuwa kafungua inahusu mambo ya forex. Kimoyomoyo nikajisemea mzee anaenda kuliwa kichwa siku sio nyingi.
 
Kuna mzee wa karibia miaka 60 jana kanipa simu yake nikuelekeze jinsi ya 'ku-screen shot'. Hiyo page aliyokuwa kafungua inahusu mambo ya forex. Kimoyomoyo nikajisemea mzee anaenda kuliwa kichwa siku sio nyingi.
Nitumie namba ya huyo mzee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuuu nimekua inspired na story yako. We on the same chain with different vision.
Ila jiwekeze tu. Just imagine mm nimefanya kazi zote ngumungumu Kama kuvunja mawe, kuponda kokoto, kuchimba mchanga na vifusi ili Maisha yaende.
But now at least nimejiwekeza kdgo napata hela ya kula. Mradi unanipa zaidi ya kilo 6 kwa mwezi.
Tukomae tu mkuuu hakuna namna
 
Hana akili ana bahati, maana alivyokuwa kwenye hiyo forex alikuwa akifanya randomly tu mwenyewe Amesema. hata kwenye ku bet alikuwa akibet kiasi kingi , Sasa mtu Kama huyu mkimpa kichwa Sana anarudia Tena na bahati haiji Mara 2
 
Hata ukiweka position moja tu ya 0.02 kwenye 4hr au daily pia utachoma akaunti?
Yes any open positions if won't be managed can burn account, so know you edge cut losses hold profit and don't be frustrated,enjoy pips
 
Nataman nikushaurii vitu ilq naona weee ni mpanbanqji mzuriii. Skia fanya ivi kama kwelii ulikuwa unaiweza forex na ukatusua ivyoo ila ukafanya makosa jifunze katika hayo makosa rudii sokon nakama unaona huna maaarifa mengi lipia course soma kwa mtu anaeaminika ndani na njee ya tz. Huku ukiwa unafanya iviii tumia kama milion tano kufanyia biashara hapa je ni biashara gan sasa. Hapa unaweza fungua duka la chakula. Unaweza fungua sehem za chips zenye hali nzuriii. Au nendea kalime. Sikushaurii uache fx ninakushari ufanye diversification ya mtaji ulio nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…