Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mzee wa karibia miaka 60 jana kanipa simu yake nikuelekeze jinsi ya 'ku-screen shot'. Hiyo page aliyokuwa kafungua inahusu mambo ya forex. Kimoyomoyo nikajisemea mzee anaenda kuliwa kichwa siku sio nyingi.
Nitumie namba ya huyo mzeeKuna mzee wa karibia miaka 60 jana kanipa simu yake nikuelekeze jinsi ya 'ku-screen shot'. Hiyo page aliyokuwa kafungua inahusu mambo ya forex. Kimoyomoyo nikajisemea mzee anaenda kuliwa kichwa siku sio nyingi.
Zipo mkuuNaweza pata line ya mtn Uganda kwa ajili ya kufanya deposts?
Sitaki niwe sehemu ya kufanikisha mzee huyu kuliwa hela zake[emoji1787]Nitumie namba ya huyo mzee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
naipata wapi mkuu msaada wako tafadhaliZipo mkuu
Akijibu nitagnaipata wapi mkuu msaada wako tafadhali
Njoo pm nikupe namba ya mtu anaeuzanaipata wapi mkuu msaada wako tafadhali
nishakuja pm mkuu naona kimyaNjoo pm nikupe namba ya mtu anaeuza
shukrani mkuu nimeionaNjoo pm nikupe namba ya mtu anaeuza
Pamoja mkuu, tuendelee kumuadhibu brokershukrani mkuu nimeiona
Hana akili ana bahati, maana alivyokuwa kwenye hiyo forex alikuwa akifanya randomly tu mwenyewe Amesema. hata kwenye ku bet alikuwa akibet kiasi kingi , Sasa mtu Kama huyu mkimpa kichwa Sana anarudia Tena na bahati haiji Mara 2Kama stori hii ni kweli, una mkono na akili ya kamari ndugu. Tumia strategy uliyokuwa unatumia wakati una shida. Weka mental state ya umakini kama vile ulivyokuwa una shida.
Cheza na 10% ya hela yako katika hizo forex na kamari kidogo kidogo kama una laki. Una skills tayari za kufikisha 100m ila naona akili yako haijakubali kufunction vizuri muda wote mpaka iwe do or die.
Utapofika hapo 100m anza hayo mambo ya kudivertify. Kwa sasa endelea kuishi kidogokidogo. Hela utapata ila nasisitiza zisiingie akilinj. Ushafeli mara moja katika hilo usifeli tena. Usihame, usinunue gari, usiongeze allowance kwa mama, usigawe hela ovyo mpaka ufikishe 100m.
Sasa Mzee iki move kidogo against wewe si unakuwa umeshachoma account, au Forex hata huijui weweWatu wana dola 50 na wana swing! What matters ni jinsi unavyojua kusoma candles + Uvumivu wako.
Hata ukiweka position moja tu ya 0.02 kwenye 4hr au daily pia utachoma akaunti?Sasa Mzee iki move kidogo against wewe si unakuwa umeshachoma account, au Forex hata huijui wewe
Yes any open positions if won't be managed can burn account, so know you edge cut losses hold profit and don't be frustrated,enjoy pipsHata ukiweka position moja tu ya 0.02 kwenye 4hr au daily pia utachoma akaunti?