Tatizo fx unaweza jiwekea kanunu lakin ukishaanza kutrade unajikuta umeshachapa 0.5 kwenye mtaji wa 100. Ila ushauri wako nitaufanyia kazi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu nitafanya hivyooDaaah ww dogo nakuona utafika mbali sana in the future kwa maana ni risk taker mkubwa yani huogopi safi sana nimekupita miaka miwili ila nina cha kujifunza kwako mdogo wangu but nikushauri fanya biashara ambayo hutotumia mtaji wote maana huwezi jaribu kina cha maji ya bwawa kwa kutumbukiza miguu yote.
Na Iwapo hataki kutumia SL, basi awe mtaalam wa kufanya hedging either manually au aweke EA itakayokuwa ina monitor trades zake.Halafu SL ni lazima. Asikudanganye mtu bwana.
Fafanua vizuri mkuu, biashara hii inaendeshwaje?Tafuta eneo zuri karibu na Barbara au Pub fungus Carwash ya kawaida tu! Utakua unalala na kama laki kwa siku kwa kiwango cha chini! Huku ukiendelea kubet
Ofisi unayotembea siiaminigi hata kidogo Tigopesa iliyoanzishwa kwa 3M utaona ina survive miaka 5..10..+ ila boda, bajaji nk hutojua imeenda wapi...then jamaa ni Online businesman hiyo haimfai haitompa muda na kwa mantiki ya kufanya yeye mwenyewe Je atapofikia wakati anataka a-base online zaidi atamwachia mtu ndio mwisho wa biashara.Akishindwa car wash anunue chombo cha usafiri afanye usafirishaji. Yeye mwenyewe itakuwa vyema, bajaji, boda au gari. Nasisitiza aendeshe mwenyewe. Huku anaendelea na fx.