Its Jensen
Member
- Mar 30, 2023
- 59
- 97
...
Thread ifungwe.Wewe kima forex haifanywi na maskini jitambue
Kwani wapi kasema yeye ni masikini?Wewe kima forex haifanywi na maskini jitambue
Kmnina😂Wewe kima forex haifanywi na maskini jitambue
AjitazameKmnina😂
Ipo 150k cash nipo kimanga hata now niwashe mkweche wangu tumalize biashara maana karume 200k hzo so syo mbaya nkublessHabari wana jamwi ninauza monitor yangu bado mpya kabisa nilikua natumia kwenye forex ila nimeliwa hela zote, nimeuza laptop tayari imebaki monitor tu
Ni HP flameless, monitor ni mpya na nzima haina tatizo lolote, naiuza kwa bei ya hasara 250,000 tu kama upo tayari kununua piga simu 0744288929 nipo Tabata na risiti ya manunuzi ninayo
View attachment 3620588View attachment 3620590View attachment 3620591
Mkuu ongeza kidogo hata 210K hapo mashine ni mpya nipo mwenyewe kimanga njia pandaIpo 150k cash nipo kimanga hata now niwashe mkweche wangu tumalize biashara maana karume 200k hzo so syo mbaya nkubless
Mzee hyo bei yenyewe nmekubless maana machinga unapata mpaka kwa 170k mpyaaa ikifaaa tumalize kabla sijaila hela yenyewe mkononi hapa ipo 150kMkuu ongeza kidogo hata 210K hapo mashine ni mpya nipo mwenyewe kimanga njia panda
Hakujua tofauti kati ya FIREX na FOLEKSI. Alikuwa anafanya foleksi akidhani ni ForexWewe kima forex haifanywi na maskini jitambue
Mkuu vipi bado ipo?Habari wana jamwi ninauza monitor yangu bado mpya kabisa nilikua natumia kwenye forex ila nimeliwa hela zote, nimeuza laptop tayari imebaki monitor tu
Ni HP flameless, monitor ni mpya na nzima haina tatizo lolote, naiuza kwa bei ya hasara 250,000 tu kama upo tayari kununua piga simu 0744288929 nipo Tabata na risiti ya manunuzi ninayo
View attachment 3620588View attachment 3620590View attachment 3620591