Kaka forex ni ujanja sana kaka mi kuna jamaa yangu anaaminiwa na watu wanatoka mkoani kwenda kweny training zake ela anapata ila we acha tu akikosa training na gharama anavutia watu kuvaa visut ukinunua yu kiatu anataka kupiga nacho picha vizing kibaoKuna jamaa mmoja alikuwa anaonyesha watu screenshot ya ac yake ina 450,000usd lakini ametoka kufukuzwa kwenye nyumba(studio room) ya 200,000tsh/month..Mixer sijui anauza roboti sijui,ndo nikahitimisha kwenye Forex kuna uongo mwingi sana..lakini naamini wapo ambao wanafanya low-key..hawa wa kushowoff ni matapeli tu.
Huwezi kua millionaire kwa kutrade forex never never never never never never never never never never never never never never.
Huenda broker uliyemtumia ndio tatizo inabidi uchague broker wa uhakika kama Online trading platform | Forex, commodities and indices | Deriv
n.k
Pia vilevile upate mwalimu mzuri(mentor) na utumie demo taratibu ukiwa unajifunza mpaka pale utakapokuwa consistent ndipo uanze kutrade real
Naomba niwe mwanafunzi wako tafadhari
Naomba niwe mwanafunzi wako tafadhari
No, kelele za watu mie hazinisumbui kila mtu ananjia yake ya mafanikio, nina kama miezi 16 hivi najifunza fx kupitia demo na kusoma vitabu, hivyo maamuzi nilishayafanya kitambo, sema tu bado nina hofu ya kuingia real account.Hapana boss, kelele ni nyingi sana, naomba zidi kupambana kama unahisi elimu haitakupa kushika hela
Hii ktu vijana wasipo ongeza na zao kwenye polojo za uongo wa mentor wao oooohKuna jamaa mmoja alikuwa anaonyesha watu screenshot ya ac yake ina 450,000usd lakini ametoka kufukuzwa kwenye nyumba(studio room) ya 200,000tsh/month..Mixer sijui anauza roboti sijui,ndo nikahitimisha kwenye Forex kuna uongo mwingi sana..lakini naamini wapo ambao wanafanya low-key..hawa wa kushowoff ni matapeli tu.
Asante mkuu ye ndo fx sio gambling eehHuenda broker uliyemtumia ndio tatizo inabidi uchague broker wa uhakika kama Online trading platform | Forex, commodities and indices | Deriv
n.k
Pia vilevile upate mwalimu mzuri(mentor) na utumie demo taratibu ukiwa unajifunza mpaka pale utakapokuwa consistent ndipo uanze kutrade real
Weka hoja kuprove sio term ya gambling uelimishe jamiiihahahahahah, Huwa nacheka sana thread za vijamaa vinaweka usd 50 akichoma anaweka tena usd30 then anakuja na hitimisho forex ni betting
Pambana na hali yako
We umeweza kuwa millioneia mkuu au unasemea wenginewewe ndio huwezi boss, usihitimishe mambo kwa wote
Kuna atapigwa apaaaNo, kelele za watu mie hazinisumbui kila mtu ananjia yake ya mafanikio, nina kama miezi 16 hivi najifunza fx kupitia demo na kusoma vitabu, hivyo maamuzi nilishayafanya kitambo, sema tu bado nina hofu ya kuingia real account.
Hata niwe bilionea kwa fx bado tasema ni gambling ndo maana haina insurance mkuuu vpwewe sasa ndo umetoa mfano sio mleta mada analia lia tu na lot size zake za 0.01 zikiwa mbil tatu anajiona katrade mpka anafikia hatua anachanganyikiwa. Na kuanza kuita betting
Almost everything in life is gambling. Hata hiyo unayoita "outcome ya uhakika " inaweza kuwa gambling. Why? Kwa sababu unaweza tegemea kuipata na usiipate.