Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Mkuu Ulikuwa slow kama kingo!

Ile ni betting tu.
 
Forex ina wenyewe ni biashara ya matajiri.

Wewe nenda kalime au kauze karanga.

Kamwe usirudie kufanya vitu usivyoweza utapasuka
 
Attachments

  • Screenshot_20210308-224705.png
    Screenshot_20210308-224705.png
    236.1 KB · Views: 26
Forex is not for crying babies like you.

Hakuna pesa rahisi hapa duniani kila biashara ina changamoto zake, halafu watu wote hawezi kuwa matajiri

Ata kweny kilimo kuna wengine wanakuwa matajiri, wengine wanapata pesa kidogo, wengine wanapoteza.

NB. Forex sio rahisi, ni ngumu sanaaaaa
 
Mbona unafukua makaburii mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Forex is not for crying babies like you.

Hakuna pesa rahisi hapa duniani kila biashara ina changamoto zake, halafu watu wote hawezi kuwa matajiri

Ata kweny kilimo kuna wengine wanakuwa matajiri, wengine wanapata pesa kidogo, wengine wanapoteza.

NB. Forex sio rahisi, ni ngumu sanaaaaa
Hao jamaa wana akili ndogo sana.

Kila biashara duniani ipo based kwenye probability.

Hata ukisema nikafungue duka kariakoo naweza kutoboa au nikapoteza.

Na Forex ni ngumu sana kwa wanao ijua
 
Forex ina wenyewe ni biashara ya matajiri.
ww nenda kalime au kauze karanga.
kamwe usirudie kufanya vitu usivyoweza utapasuka pu.mbu
Sijasena eti hakuna faida faida na kwa sababu umepata faida basi eti itakuwa ni ya uhakika no forex is gambling coz market can change any second.
 
Hao jamaa wana akili ndogo sana....
kila biashara duniani ipo based kwenye probability.....
hata ukisema nikafungue duka kariakoo naweza kutoboa au nikapoteza.....
na Forex ni ngumu sana kwa wanao ijua
Bado kuna tofauti kubwa kati ya gambling na real trade percentage ya kufail kweny gambling ni ni 80%
 
Back
Top Bottom