Mgogo Vitani
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 492
- 867
[emoji84]fx not for everybody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana unamjua Warren Buffett mmiliki wa Berkshire Hathaway? Vipi George Soros?Wakuu Heb twende taratibu...tatika forbes list ya 100 billionaire ni yupi kati yao ni tajiri wa forex..heb tuanzie hapo tafadhali.
Karibu sana kaka[emoji120]Mkuu kuna la kujifunza kwako
This is my strategy boss [emoji1635]single game. Win ni 80℅ [emoji106][emoji122]
We umelewa et unafikiri sisi hatujui source ya utajili wa hao jamaa halafu buffet hatrade forex ana stock exchange sawa mzee acha habari za kimotiveshenoKijana unamjua Warren Buffett mmiliki wa Berkshire Hathaway? Vipi George Soros?
Unajua Elon Musk kanunua BTC za $1.5 billion kwa pesa ya Tesla. Unajua kafanya kitendo gani kwenye Forex.
Hao wote wako list ya top billionaires duniani. Hawa wa kibongo wanaojiita majina mbele wakamalizia Fx ni watoto. Kucheza chandimu kwenye mbigiri ukashinda njaa hakumaanishi duniani wacheza mpira waliofanikiwa hawapo.
Wewe ni mmoja wa watu wa Ontario?View attachment 1719988
Mcheki COVID_520 telegram ununue moja kati ya hizo kozi,then jifunze.Au mtafute Ontario (Sirjeff ) akupe shule.
Namaanisha atleast uwe na mtaji huo kidogo unaweza kusurvive ila hizi mtaji za 200$ na lots za 0.01 hahahahaUnazungumzia usd 5000 wakati juzi hapa kuna boya kachomoa usd 80000 kwa news ndani ya sekunde 25 tu.
Enewei wacha tuendelee ku bet na ku trade pia.
Wazee wa Demo tunawaona [emoji41][emoji41][emoji41]Forex ina wenyewe ni biashara ya matajiri...
ww nenda kalime au kauze karanga.....
kamwe usirudie kufanya vitu usivyoweza utapasuka pu.mbu
Mfuasi wa ontorio huyu sio bureWewe ni mmoja wa watu wa Ontario?
Hakuna demo hapoWazee wa Demo tunawaona [emoji41][emoji41][emoji41]
Unaposema inawenyewe na ndo mmoja wao au nikupe muda kidogoHakuna demo hapo
Kama ww ni trader nikupatie signo kutoka j3 tu ijumaa......then nakuacha uendelee na maisha yakoUnaposema inawenyewe na ndo mmoja wao au nikupe muda kidogo
Nipe izo signal mkuu niingie nazo kwenye mtanange wiki hiiKama ww ni trader nikupatie signo kutoka j3 tu ijumaa......then nakuacha uendelee na maisha yako
Stock exchange uko ananunua na kufanya hold kwa muda mrefu. Hii haipo kwenye Forex?We umelewa et unafikiri sisi hatujui source ya utajili wa hao jamaa halafu buffet hatrade forex ana stock exchange sawa mzee acha habari za kimotivesheno
Huyo utajiri wake unatokana na kampuni yak ya open society uko forex ni kama part job tu mkuuStock exchange uko ananunua na kufanya hold kwa muda mrefu. Hii haipo kwenye Forex?
Ukifanya intraday au ukafunga kwa 4H yeye akafanya ya miezi sita au miaka mitatu mnachotofautiana ni mtaji na muda wa holding. Yeye akinunua Tesla (TSL) kuwa inakua, wewe ukanunua NASDAQ au US30 mnakuwa na tofauti ndogo.
Kwa Buffett umemjibu bora ana utata. Kwa George Soros utajiteteaje?
Mtu anayebeti football hawezi mkataa anayebeti mbio za farasi kuwa hafanyi betting. Wote walewale
Ok poa kesho j3 wakati wa London session kati ya saa tatu kamili na saa sita nitakupa signal...Nipe izo signal mkuu niingie nazo kwenye mtanange wiki hii
Pw pw weka mzigo hii prove by actionOk poa kesho j3 wakati wa London session kati ya saa tatu kamili na saa sita nitakupa signal...
EUR/USD GBP/USD...nitakupa hapa hapa ili wengine wasiojua wajue hizi mambo sio gambling ni skills....
na jioni wakati wa New York session I Will do the same.....kaa stand bay.....
Kwa niweke hata lot ya 10 sini uhakikaOk poa kesho j3 wakati wa London session kati ya saa tatu kamili na saa sita nitakupa signal...
EUR/USD GBP/USD...nitakupa hapa hapa ili wengine wasiojua wajue hizi mambo sio gambling ni skills....
na jioni wakati wa New York session I Will do the same.....kaa stand bay.....