Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Wakuu Heb twende taratibu...tatika forbes list ya 100 billionaire ni yupi kati yao ni tajiri wa forex..heb tuanzie hapo tafadhali.
Kijana unamjua Warren Buffett mmiliki wa Berkshire Hathaway? Vipi George Soros?

Unajua Elon Musk kanunua BTC za $1.5 billion kwa pesa ya Tesla. Unajua kafanya kitendo gani kwenye Forex.

Hao wote wako list ya top billionaires duniani. Hawa wa kibongo wanaojiita majina mbele wakamalizia Fx ni watoto. Kucheza chandimu kwenye mbigiri ukashinda njaa hakumaanishi duniani wacheza mpira waliofanikiwa hawapo.
 
We umelewa et unafikiri sisi hatujui source ya utajili wa hao jamaa halafu buffet hatrade forex ana stock exchange sawa mzee acha habari za kimotivesheno
 
Unazungumzia usd 5000 wakati juzi hapa kuna boya kachomoa usd 80000 kwa news ndani ya sekunde 25 tu.

Enewei wacha tuendelee ku bet na ku trade pia.
Namaanisha atleast uwe na mtaji huo kidogo unaweza kusurvive ila hizi mtaji za 200$ na lots za 0.01 hahahaha
 
We umelewa et unafikiri sisi hatujui source ya utajili wa hao jamaa halafu buffet hatrade forex ana stock exchange sawa mzee acha habari za kimotivesheno
Stock exchange uko ananunua na kufanya hold kwa muda mrefu. Hii haipo kwenye Forex?

Ukifanya intraday au ukafunga kwa 4H yeye akafanya ya miezi sita au miaka mitatu mnachotofautiana ni mtaji na muda wa holding. Yeye akinunua Tesla (TSL) kuwa inakua, wewe ukanunua NASDAQ au US30 mnakuwa na tofauti ndogo.

Kwa Buffett umemjibu bora ana utata. Kwa George Soros utajiteteaje?

Mtu anayebeti football hawezi mkataa anayebeti mbio za farasi kuwa hafanyi betting. Wote walewale
 
Huyo utajiri wake unatokana na kampuni yak ya open society uko forex ni kama part job tu mkuu
 
Nipe izo signal mkuu niingie nazo kwenye mtanange wiki hii
Ok poa kesho j3 wakati wa London session kati ya saa tatu kamili na saa sita nitakupa signal...
EUR/USD GBP/USD...nitakupa hapa hapa ili wengine wasiojua wajue hizi mambo sio gambling ni skills....
na jioni wakati wa New York session I Will do the same.....kaa stand bay.....
 
Pw pw weka mzigo hii prove by action
 
Ok poa kesho j3 wakati wa London session kati ya saa tatu kamili na saa sita nitakupa signal...
EUR/USD GBP/USD...nitakupa hapa hapa ili wengine wasiojua wajue hizi mambo sio gambling ni skills....
na jioni wakati wa New York session I Will do the same.....kaa stand bay.....
Kwa niweke hata lot ya 10 sini uhakika
 
Back
Top Bottom