nyie wazee wagumu sana kuwaelewesha 🤣Hata businesses na life in general ni kama zero sum game sio forex peke yake, kama unafanya forex bila knowledge utaumia kama biashara nyingine tuu, forex sio casino, analysis/data/charts/strategy ni muhimu sana na ndio zinaamua profit/loss
Hii ni misukule inayoonekana huwambii kitu wakakuelewanyie wazee wagumu sana kuwaelewesha 🤣
Majinga tu hayna lolote yanafikiri pesa zinpatkana kwa ku downloadunataka vita na Mwl.RCT
Huyo gavana na wewe wote hamna akiliunabishana na gavana wa benki kuu sasa
nyie wazee wagumu sana kuwaelewesha 🤣
Tatizo mnakariri na kujifanya mnajua, kwa akili yenu hata stock market ni kamari, na hakuna serious economist anaweza kusema alichosema huyo gavana, kamari haihitaji math/strategy/data etc lakini forex trading unahitaji, tatizo siwezi kufunguka humuNa wanaofanya hizi business za forex Hawana tofauti na misukule ya mwamposa make hawashauliki ata kwa dawa
una hali mbaya sana 🤣 🤣 , ulifukuzwa shule nn you cant be this way as an idiotTatizo mnakariri na kujifanya mnajua, kwa akili yenu hata stock market ni kamari, na hakuna serious economist anaweza kusema alichosema huyo gavana, kamari haihitaji math/strategy/data etc lakini forex trading unahitaji, tatizo siwezi kufunguka humu
Tatizo siwezi funguka hapa sitaki unijue, tuishie hapouna hali mbaya sana 🤣 🤣 , ulifukuzwa shule nn you cant be this way as an idiot
Inajulikana una imani sana na CCM na wateule wake, ukiangalia policies zinazotoka BOT mwenye akili anajua ni PhD za makaratasi tuu pale ndio maana nchi maskini sanasasa wewe na gavana nan anajua forex inaendeshwa vp? yeye ndo anajua kwanini dola moja ni 2500 unataka kushindana nae tena?
Nakuvaliana na wewe kwa asilimia nyingi tu , ni biashara kama biashara zingine na mi huwa naenda mbali nasema tatu mzuka, betting, fx mode ys biashara yao haijatofautiana hata kidogo. Ni wengi kupigwa na wachache kula faida,forex huwa inatoa matokeo yakupanda na kushuka kutokana na habari husika huwa inasema nini, na watu huwa wana react palepale tu habari inapotoka utaona soko linafanya yake!.
Hii ni biashara ya live ndio maana unaona news zinakuwa namatokeo ya haraka hivyo.
ndio soko la forex muda mwengine hufanyiwa ukanjanja aidha na central banks wakiweza kuwasiliana wanaweza kufanya jambo walipeleke wapi soko!, hii ilishawahi kutokea na ilipokuja kubainika hatua zilichukuliwa, vilevile brokers wengine huwa wanamtindo wa kuchezea chat ili watengeneze faida ndio maana wengi wao wanashauliwa kabla hujaamua kumtumia broker fulani basi hakikisha sehemu alizosajiliwa n.k na ikithibitika wamechezea chart unaweza kuwashitaki.
Mi nafikiri swala hili la forex lina changamoto zake ambazo hata biashara nyengine zinachangamoto vilevile na ili uweze kufaulu kwenye biashara yoyote ile ni lazima uhakikishe unaweza kutatua walau asilimia 70 ya changamoto ktk biashara husika!.
kwani mkulima anaelima nyanya halafu anakuja kwenda sokoni anakutana bei kwa tenga ni tofauti na yenye hasara harudishi hata mtaji!, huyu anatofauti gani na mtu wa forex ambae amekula loss maana hawa wote wawili hawakulisoma soko vizuri.
tena huyohuyo mkulima anaweza kukutana na madalali sokoni na wakampiga!, nafikiri kila biashara inachangamoto zake na ukifaulu kuzitatua basi faida utaiona!.
kasome kisa cha George soros alivyoitetemesha serikali ya uingereza na wala hata hakushikwa!, na wala hata hakushikwa kwa maana halikuwa kosa lile yeye aliona upenyo akautumia!.
Kuna pimbi mmoja tulibishana sana hapa jukwani, alipinga kabisa kuwa forex siyo kamali..
View: https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert riskmanager
ifike mda tufunge mjadala sasa
ndo maana wazungu uiita betting on forex ,ingekuwa kuna kupiga pesa nje nje situngeona matajiri wa forex kwenye forbes list
View: https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert riskmanager
ifike mda tufunge mjadala sasa
Sisi hatuwalazimishi kuamini kwamba forex ni betting maaana hata tukiwaelezea vp as long ushajitune kwamba hautaki iitwe betting basi huezi kubali, lakini sometimes ni vema kujua ukwel kuliko kujificha kwenye kichakaNakuvaliana na wewe kwa asilimia nyingi tu , ni biashara kama biashara zingine na mi huwa naenda mbali nasema tatu mzuka, betting, fx mode ys biashara yao haijatofautiana hata kidogo. Ni wengi kupigwa na wachache kula faida,
News 9 jioni mchana au saa 10 yani ile imefika tu 1500 hrs. Au. 1600hrs. Chat zinatembea, hizo data zimesomwa saa ngapi mkuu
Kuna pisi moja mpaka hisia zake zimekufa ni yeye na forexhhahaha kuna watu huwaambii kitu kuhusu forex