Eurobond ni neno la kuficha neno kuu MKOPOTanzania ndio maana kuendelea ni ngumu sana, hata Nairobi na Kigari zinaanza kuelekea kuwa financial hub za EA, bongo huwezi kuona Eurobond na hata forex brokerage license huwezi kupata lakini wenzetu wanazo, angalia pension funds zina pesa kuliko serikali lakini only thing wanachofanya ni kununua government securities, stupid real estate na kuwakopa CCM, hovyo!!
ukipoteza pesa mtandaoni sio pesa zako bali umepoteza mapato ya nchi, Ukituma pesa nje benki kuu inalipa hio transaction kwa dola ambazo kuzipata ni kwa mbinde sana, kwa lugha nyepesi wananchi wengi ni wajinga na kuwaelewesha ni kazi ngumu zaidiNashangaa tu jinsi serikali wanaropoka tu muda mwingine na kuingilia vitu private. Kwani serikali ndo kusema wanawaonea sana huruma vijana kupoteza pesa kwenye forex.. vitu vingine waviache vipite tu. Hakuna nchi duniani zaidi ya Tanzania ambayo gavana wa benki kuu yupo bize na vitu vya kijinga kama hivi
“Mama” yenu kukopa ndio shughuli yake kubwa, na lile bakuri mnaloita misaada mnalotembeza kila siku linaitwa mikopo pia, CCM mmelogwaEurobond ni neno la kuficha neno kuu MKOPO
Diaspora tunatuma billions kuliko sekta yote ya utalii mliyofeli kuiendesha lakini bado mnaleta siasa za kijinga, na wahalibifu wakubwa wa foreign currency ni hao unaowashabikia na kununua V8 and Bentleys, huna akili weweukipoteza pesa mtandaoni sio pesa zako bali umepoteza mapato ya nchi, Ukituma pesa nje benki kuu inalipa hio transaction kwa dola ambazo kuzipata ni kwa mbinde sana, kwa lugha nyepesi wananchi wengi ni wajinga na kuwaelewesha ni kazi ngumu zaidi
dogo mbna swali rahisi maelezo mengi ya nn, nitajiei nchi ambayo haikopiDiaspora tunatuma billions kuliko sekta yote ya utalii mliyofeli kuiendesha lakini bado mnaleta siasa za kijinga, na wahalibifu wakubwa wa foreign currency ni hao unaowashabikia na kununua V8 and Bentleys, huna akili wewe
Sijasema mikopo ni mibaya, usilete siasadogo mbna swali rahisi maelezo mengi ya nn, nitajiei nchi ambayo haikopi
Hii ndo naiskia kwako. Yaani utafute pesa kwa jasho lako halafu serikali wakupangie namna ya kuitumia? Futa hiyo kauli yakoukipoteza pesa mtandaoni sio pesa zako bali umepoteza mapato ya nchi, Ukituma pesa nje benki kuu inalipa hio transaction kwa dola ambazo kuzipata ni kwa mbinde sana, kwa lugha nyepesi wananchi wengi ni wajinga na kuwaelewesha ni kazi ngumu zaidi
Kuzipata hizo dola ni kwa mbinde sababu selikari ya kipumbavu ya ccm bado imekumbatia sera za kitumwa ila iendelee kuwa tawala nyie wapumbavu!ukipoteza pesa mtandaoni sio pesa zako bali umepoteza mapato ya nchi, Ukituma pesa nje benki kuu inalipa hio transaction kwa dola ambazo kuzipata ni kwa mbinde sana, kwa lugha nyepesi wananchi wengi ni wajinga na kuwaelewesha ni kazi ngumu zaidi
kwan dola wewe unadhan znatolewa wap? unadhan kuna sehem wanaenda tu kuzichukua si ndioKuzipata hizo dola ni kwa mbinde sababu selikari ya kipumbavu ya ccm bado imekumbatia sera za kitumwa ila iendelee kuwa tawala nyie wapumbavu!
Nchi za wenzetu dola si issue kwao sababu wanazalisha na wanauza nje...
Wewe hata chupi uliyovaa unategemea uletewe toka China.
Kazi kushabikia chura kiziwi tu akili ahaaa
Kuzipata hizo dola ni kwa mbinde sababu selikari ya kipumbavu ya ccm bado imekumbatia sera za kitu wa ila iendelee kuwa tawala nyie wapumbavu!ukipoteza pesa mtandaoni sio pesa zako bali umepoteza mapato ya nchi, Ukituma pesa nje benki kuu inalipa hio transaction kwa dola ambazo kuzipata ni kwa mbinde sana, kwa lugha nyepesi wananchi wengi ni wajinga na kuwaelewesha ni kazi ngumu zaidi
Kama hata hujui dola inapopatikana basi wewe ni takataka tu kama hao matakataka menzio yanayotawala kwa mtutu wa bundukikwan dola wewe unadhan znatolewa wap? unadhan kuna sehem wanaenda tu kuzichukua si ndio
inawezekana kama sio kichaa kinakusumbua basi uashachizika tayar una makasiriko sana 🤣 🤣Kuzipata hizo dola ni kwa mbinde sababu selikari ya kipumbavu ya ccm bado imekumbatia sera za kitu wa ila iendelee kuwa tawala nyie wapumbavu!
Nchi za wenzetu dola si issue kwao sababu wanazalisha na wanauza nje...
Wewe hata chupi uliyovaa unategemea uletewe toka China.
Kazi kushabikia chura kiziwi tu akili ah
Kama hata hujui dola inapopatikana basi wewe ni takataka tu kama hao matakataka menzio yanayotawala kwa mtutu wa bunduki