Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Tanzania is not true free market currency, bado ni semi Soviet economy, hatuhusuTena 🤣 🤣 🤣 Huyo ndo anaetoa rates zote za pesa nchini
Tanzania is not true free market currency, bado ni semi Soviet economy, hatuhusuTena 🤣 🤣 🤣 Huyo ndo anaetoa rates zote za pesa nchini
kama sio tayar umechizika basi tayar hatunae tena! we ni mpumbavu na you should be ashamed of yourself, ni heri uwe mjinga means unafundishika ila wewe ni mpumbavuTanzania is not true free market currency, bado ni semi Soviet economy, hatuhusu
Naam kikubwa kuelewa uhalisia wake tuSisi hatuwalazimishi kuamini kwamba forex ni betting maaana hata tukiwaelezea vp as long ushajitune kwamba hautaki iitwe betting basi huezi kubali, lakini sometimes ni vema kujua ukwel kuliko kujificha kwenye kichaka
😂😂😂😂kama sio tayar umechizika basi tayar hatunae tena! we ni mpumbavu na you should be ashamed of yourself, ni heri uwe mjinga means unafundishika ila wewe ni mpumbavu
Nashangaa tu jinsi serikali wanaropoka tu muda mwingine na kuingilia vitu private. Kwani serikali ndo kusema wanawaonea sana huruma vijana kupoteza pesa kwenye forex.. vitu vingine waviache vipite tu. Hakuna nchi duniani zaidi ya Tanzania ambayo gavana wa benki kuu yupo bize na vitu vya kijinga kama hivishida nn mzee wa mikopo
Tanzania ndio maana kuendelea ni ngumu sana, hata Nairobi na Kigari zinaanza kuelekea kuwa financial hub za EA, bongo huwezi kuona Eurobond na hata forex brokerage license huwezi kupata lakini wenzetu wanazo, angalia pension funds zina pesa kuliko serikali lakini only thing wanachofanya ni kununua government securities, stupid real estate na kuwakopa CCM, hovyo!!Ni vema ukaelewa uhalisia wa mambo, na pia for overall community ambao wanatamani kujua ni heri wakajua kinachoendelea
Tanzania ndio maana kuendelea ni ngumu sana, hata Nairobi na Kigari zinaanza kuelekea kuwa financial hub za EA, bongo huwezi kuona Eurobond na hata forex brokerage license huwezi kupata lakini wenzetu wanazo, angalia pension funds zina pesa kuliko serikali lakini only thing wanachofanya ni kununua government securities, stupid real estate na kuwakopa CCM, hovyo!!
forex inamambo mengi mkuu muda mwengine soko halifuati news bali time session, siku pia huchangia soko kuwaje soko linavyokuwa j tatu ni tofauti na ijumaa. pia pair husika huwa na tabia zake.Nakuvaliana na wewe kwa asilimia nyingi tu , ni biashara kama biashara zingine na mi huwa naenda mbali nasema tatu mzuka, betting, fx mode ys biashara yao haijatofautiana hata kidogo. Ni wengi kupigwa na wachache kula faida,
News 9 jioni mchana au saa 10 yani ile imefika tu 1500 hrs. Au. 1600hrs. Chat zinatembea, hizo data zimesomwa saa ngapi mkuu
Sijui mkuu ad kakonda mda wote ni anajifungia kutrade, halali usiku.sehem ya kuzikwa ameshaandaa lakini
Ni kweli mkuu na nafahamu hilo,forex inamambo mengi mkuu muda mwengine soko halifuati news bali time session, siku pia huchangia soko kuwaje soko linavyokuwa j tatu ni tofauti na ijumaa. pia pair husika huwa na tabia zake.
Governor lenyewe CCM limebaki kuuza akiba ya dhahabu kufadhili anasa za watawala.sasa wewe na gavana nan anajua forex inaendeshwa vp? yeye ndo anajua kwanini dola moja ni 2500 unataka kushindana nae tena?
Nyie CCM mkiambiwa ukweli mnateka na kuua watu.Sisi hatuwalazimishi kuamini kwamba forex ni betting maaana hata tukiwaelezea vp as long ushajitune kwamba hautaki iitwe betting basi huezi kubali, lakini sometimes ni vema kujua ukwel kuliko kujificha kwenye kichaka