Forex ni kamari ya kimtandao: "Emmanuel Mpawe Tutuba (Governer Bank of Tanzania)"

Mtu mwenyewe anasema hapa unakula, hii inaonesha ana mindset ya kikamalikamali
Bila kufuatilia hawez just forex ikumbukwe kua na kiongozi so kujua Kila kitu, ni lazima afuatilie kwa kina ndo ajue
 
Mtu mwenyewe anasema hapa unakula, hii inaonesha ana mindset ya kikamalikamali
Bila kufuatilia hawez just forex ikumbukwe kua na kiongozi so kujua Kila kitu, ni lazima afuatilie kwa kina ndo ajue
we mzee 🀣 🀣 kati ya yeye na wewe nani anaijua forex vizuri ama hujui anahusika kuset bei za fedha zote againsta tanzania 🀣🀣
 
FOREX = FOREIGN EXCHANGE
FOREIGN EXCHANGE = KUBADIRISHA FEDHA
FOREIGN EXCHANGE TRADING = BIASHARA YA KUBADIRISHA FEDHA.

Ukichukua Tshilling zako ukaenda kwa mtu mwenye dollar mkabadilishana kwa exchange rate ya Tshilling 2620. Ukamtafuta mtu mwingine anayetafuta dollar ukampatia hizo dollar kwa exchange rate ya TZS 2650, yeye akakupatia Tshilling zake. Ukarudia hilo zoezi kila saa, kila siku, kila wiki, kila mwezi na kila mwaka. Hapo utapeli uko wapi?

Pesa yeyote ni bidhaa kama bidhaa yeyote. Jambo la msingi uwe na soko. Tatizo watu wanafanya FOREX ya kubahatisha hawana soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…