Forex ni scam au real?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]watu mna maneno sana

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hii biashara kama inawatajirisha mbona mnatumia nguvu nyingi saaana kuwaingiza watu wengine??
Kwanini msipige pesa kimyakimya au mkawaunga ndugu zenu ili mtoke kimaisha?
Comment kama hizi huwa zinanichekesha sana Jf ina watu wa kila aina.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
You can teach some basics lakini to make serious money naamini ni wewe mwenyewe, nafikiri watu ambayo ni wazuri in math ambao wanaweza kuona some pattern Wana good chance ya kufanikiwa in forex(not necessarily)
You don't need to be a mathematician to make money from fx trading unless you want to create a mathematical indicator.
 
The markets move due the forces of supply and demand.

The imbalance of supply and demand makes the price to move up and down .

I love Fx siwaelewi wachimbachumvi wakitanzania

Anyways baadae
 
Haya maswali hayaongezi chochote cha maana kwa forex trader.

Forex trader anahitaji (strategy, risk management, position sizing)
Mimi naweza kukuambia kama vyote unavyo umepungukiwa na kimoja

Nacho ni "understand yourself better before entering in the market"
 
Nina elf 50 (Tsh) I'm I good to go, on forex market?
You are joking

Usilete utani .

Fx sio Kama kuuza karanga .

Kwanza unao ujuzi .?

Kama huna ujuzi hio 50 kanywe bia itajishukuru baadae

Otherwise unaketa masihara[emoji1]
 
You are joking

Usilete utani .

Fx sio Kama kuuza karanga .

Kwanza unao ujuzi .?

Kama huna ujuzi hio 50 kanywe bia itajishukuru baadae

Otherwise unaketa masihara[emoji1]
Let's say nina ujuzi, kipi kinazuia nisichukue profit?
 
Nina elf 50 (Tsh) I'm I good to go, on forex market?
Your welcome champ ila usipoangalia utaweza ipoteza hata nusu saa haijaisha ila nisikutishe kama una maarifa unawez pata 5 pcnt daily
 
Nice guys, very nice.... naona kuna wakali humu...
Mnaonaje ikiwepo forex contest...

Mu waonyeshe watu jinsi trades zinavyofanyika?... kwa faida za wengine na wanaoamini fx ni betting...
Ningependa zaidi ningeona haya madini na maarifa kazini kuliko kwenye maandishi... au mnasemaje ndg zangu?

Tunaweza kufungua competition fxblue na mtu atakayependezwa ata join, matokeo yata display live....

najua hamtoniangusha ndugu zangu.... hii itaitwa jf forex cup.. tutaweka hata mwezi 1 au muda wowote...
Tutaweka pia uzi maalumu wa updates...
Acc ukipenda demo au real...

Nawasilisha...

Perth
The imp
LURIGA
sirmweli
Mwl.RCT
Dit000
Matawi ya juu
NDORANGA


Na wengineo .....
 
Unajua watu wanashindwa kuelewa tu kwamba kujifunza kutrade ni pamoja na kujua kuchagua broker yupi wa kutumia,
Wapo brokers wengi ambao hata uwe trader mzuri mwenye strategy yenye accuracy kubwa lakini kutokana na fix atakazokupiga daily unakuwa hutoboi yani,
Msiishie tu kujifunza strategy au kununua signals, jifunzeni pia kuwachunguza brokers wenu.

Uzuri brokers wako wengi sana, kwa kuanzia anza na wale ambao watu wengi huwatumia
Mfano

tickmill ,
JP, templer n.k
 
Wewe jamaa ondoa matangazo yako hapa Na vilink vyako unataka affiliate percent
Moderator Cookie
 
Mimi naweza kukuambia kama vyote unavyo umepungukiwa na kimoja

Nacho ni "understand yourself better before entering in the market"
Hayo ni maneno ya kujifariji.

Forex trader anahitaji (strategy ambayo ni entry and exit rules)
 
It is a good idea for self evaluation, sharing experiences and learning more from other traders. Tengeneza hiyo competition na utupe link ya kujoin.
 
It is a good idea for self evaluation, sharing experiences and learning more from other traders. Tengeneza hiyo competition na utupe link ya kujoin.
Sawa mkuu...
 
Mimi naweza kukuambia kama vyote unavyo umepungukiwa na kimoja

Nacho ni "understand yourself better before entering in the market"
"understand yourself better before entering in the market" inaangukia hapa , pale macho yako yanapoona chart akili yako inafikiliaje?(MIND SET) na ikishafikilia akili yako inachukua hatua gani?(PSYCHOLOGY).
 
Ukiniambia neno moja lakukushauri kufanya, hiyo hela kampe mama ntilie kama huna chakufanyia.

Forex ni mchezo mchafu, usidanganyike kuwa odds zipo upande wako, unapigwa na market, na broker, cfd yaani unapigwa kote kote mbaya zaidi ukiwa na nyota nzuri ukapiga hela, my dear hupati hela broker anakupiga na huna pakushitaki, njoo kwenye serikali yetu unawekwa ndani πŸ˜πŸ˜… sasa wewe jifanye una tafuta odds

Market yoyote ina circle, ikiwa katika circle nzuri, hata mbumbumbu anaweza kupata profit FX lakini soko likigeuka ni wanao elewa tu, economic, business, stocks, futures etc ndio wanao piga hela.

Wapo wanao fanya hicho kitu, na broker wao sio hawa mnao wajua, kwanza kufungua account tu si mchezo, hebu wewe mwenyewe fikiria yaani kitu chakukuingizia mahela unafungua leo unaanza kutrade eti leo au kesho, kichwa chako kinachaji kweli πŸ˜•πŸ™Œ wakati kuchukua mkopo mkubwa benki sio siku mbili. Broker hawa ni wawatu wachache, tena entry zao si chini ya $ 50,000 na kuendelea.

FX ni gamble, ila Stock market ni investment, vyote hivi ni lazima ujuwe who are your enemies. Kwenye hela hakuna urafiki ila kuna maadaui.

Kama wewe unapenda ku take risk, fanya hivi kama unataka kufanya FX;
  • Soma chimbuko la FX na uhalisia wote unaozunguka FX.
  • Soma wanaoshikilia FX, na kuelewa structure nzima ya FX marketing.
  • Soma about currency and little bit of economic related to currency exchange, etc.
  • Soma stocks, future and correlation between them and FX.
  • Fahamu pillar za economic.
Na mengineyo utajua ukiwa uasoma hayo, then fanya hivi;

β€’ fungua account ya FX demo, trade efficiently and effectively with resonable strategy kwa 6 mnths hata year. Then ukiweza kutengeneza pesa, win to loose ratio. Then fungua really account na anza kutrade.

Ila nafahamu ukifwata hatua hizo zote hapo utanambia, mwishoni huta trade FX na kama uta trade itakuwa kwa mwezi unatrade mara moja hadi mara tatu nawe utakuwa ni long time trade, wa ku buy and hold kwa miezi kadha, kama Stock investor.

Kama wewe ni forex trade hafu hujaelewa nilicho kisema, ndugu unahatari sana. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…