Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

nilijaribu kusoma kwalengo lakuingia uko nikaacha
nikajaribu tena nikaacha
bado nilijaribu tena nikaacha na nimeacha kabisa

majaribio mawili ya mwisho ni kutokana na ushawishi wa jamaa zangu
Mimi bado naendelea kufanya hii "Probability Business" ya kuwindana na Broker. Vita ni kubwa sana almost 7 years ya kutumia Common Forex books, Signals, Indicators, Robots, Sjui Supply and demand na kujifunza kwa You tube videos za abroad na bra bra zoooote bado hii Vita nimekimbia kwa muda. Nimerud nyuma kidogo sija surrender hii Vita bado MbichiπŸ˜€

Nimeingia mafichoni kutathmini shida iko wapi. Mbinu gani sasa iliyo sahihi?? Strategy gan nitumie kuspeculate the movement of Price??

Well, Mapema mwaka huu nikakaa chimbo mwenyewe nikajitoa kwenye telegram groups, WhatsApp groups, Un-Following most common Forex mentors na influencers... .e.t.c

Nikafanya uchambuzi wangu binafsi nimefuatilia kwa kina baadhi ya Pairs, Economic data, Geopolitical data dhidi ya Movement of Charts kwa kutumia akili yangu ya kuzaliwa, binafsi kuna vitu vingi nimevigundua vina work vzr 80% kama sio 100% in long run ambavyo sijawah kusoma wala kuona mahala popote.

" If you want something you never had, You have to do something you never done"

So narud vitani tena 2025 mpaka mwezi kama huu panapo majaaliwa Mungu akitupatia uzima nitakuja kutoa feedback ya maendeleo yangu.
 
Trading ni biashara kama biashara zingine ila upekee wa Forex ni psychology based business ila kila kitu ni the same. Ukiingia kichwa kichwa lazima uje kuwaambia watu ni scam ila kumbe scammer ni wewe mwenyewe.

Binafsi sijajenga Wala gari ninayotumia sijanunua kwa hela ya forec ila home familia inaishi kwa forex no stress kabisa it's just about time kufanya makubwa zaidi. Kama wewe ni trader unaeanza usikatishwe tamaa na yeyote pambania unachoamini.
 
Reason why people lose money:
  • Not following money management;
  • Do not know how position sizing works;
  • Do not have trading system;
  • Over trading!

    sio kwel, ivi vyote ulivotaja vinajulikana na hata ukivifanya you can never be profitable, you may ask why, because you are a retail trader upo chini kwenye rank za traders na kila elimu unaoijua kuhusu trading ni bullshit, have u ever asked yourself wanaopata pesa wanatumia njia gan kutrade na kwann wako tafauti?
 
Mkuu unainanga sana forex trading, wakati huo unajiita stakehigh unabet?
 
Mkuu unainanga sana forex trading, wakati huo unajiita stakehigh unabet?
issue ni forex ipo ila ya mt4 sio forex, i am trying kusaidia watu waelewe izo tafauti kwa sababu kuna gap kubwa sana katii ya mt4 forex na forex yenyewe na hilo gap watu hawalielewi
 
issue ni forex ipo ila ya mt4 sio forex, i am trying kusaidia watu waelewe izo tafauti kwa sababu kuna gap kubwa sana katii ya mt4 forex na forex yenyewe na hilo gap watu hawalielewi
Bro nimekua nikiona kwenye "threads" watu wakipost kupata hela kupitia forex trading je ni uongo? Na je hamna namna mtu wa kawaida akapata pesa kupitia forex trading ikiwa Wamefanya training na kujua baadhi ya training skills?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…