Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

issue ni forex ipo ila ya mt4 sio forex, i am trying kusaidia watu waelewe izo tafauti kwa sababu kuna gap kubwa sana katii ya mt4 forex na forex yenyewe na hilo gap watu hawalielewi
Sasa mtu mmoja mwenye dollar 100 anaweza kutrade hiyo Forex halisi?

Namna gani naweza kutrade forex halisi tofauti na hii ya Mt5?
 
Bro nimekua nikiona kwenye "threads" watu wakipost kupata hela kupitia forex trading je ni uongo? Na je hamna namna mtu wa kawaida akapata pesa kupitia forex trading ikiwa Wamefanya training na kujua baadhi ya training skills?
ukiona mtu kapost kapata ela basi hajapata ela however kuna lengo kwann kaipost na hua inakua either
1) yuko kupigia kampeni broka flan na analipwa ela ya commision kwa kila kichwa akileta
2) anatafuta watu wa kuwafundisha

ya pili inatambulika sana ila wengi wanaangukia kwenye kipengele cha 1 because of this:

View: https://www.youtube.com/watch?v=L92tifEHvec&t=17s
 
Sasa mtu mmoja mwenye dollar 100 anaweza kutrade hiyo Forex halisi?

Namna gani naweza kutrade forex halisi tofauti na hii ya Mt5?

hapana haiwezekan, forex ni kazi kabisa watu wanasomea wanaenda ofisini kila sku na ofisini wapo wengi maamuzi wanaofanya sio kutafuta entries bali wanatafuta uwezekano wa kupressure watu ili wao sasa waingie mbinu ztatumiaka zote ila most trades wanazofanya ni DIGITAL: mfano kama ivi

View: https://www.youtube.com/watch?v=z4nCTdQlH8w&t=471s&pp=ygUDaGZ0

View: https://www.youtube.com/watch?v=WyPPaiZEYO4&pp=ygUDaGZ0

pia unatakiwa kujua the whole idea ya forex trading ni kuhakkikisha mtu mmoja analoose ili uchukue pesa yake
 
Mimi bado naendelea kufanya hii "Probability Business" ya kuwindana na Broker. Vita ni kubwa sana almost 7 years ya kutumia Common Forex books, Signals, Indicators, Robots, Sjui Supply and demand na kujifunza kwa You tube videos za abroad na bra bra zoooote bado hii Vita nimekimbia kwa muda. Nimerud nyuma kidogo sija surrender hii Vita bado Mbichi😀

Nimeingia mafichoni kutathmini shida iko wapi. Mbinu gani sasa iliyo sahihi?? Strategy gan nitumie kuspeculate the movement of Price??

Well, Mapema mwaka huu nikakaa chimbo mwenyewe nikajitoa kwenye telegram groups, WhatsApp groups, Un-Following most common Forex mentors na influencers... .e.t.c

Nikafanya uchambuzi wangu binafsi nimefuatilia kwa kina baadhi ya Pairs, Economic data, Geopolitical data dhidi ya Movement of Charts kwa kutumia akili yangu ya kuzaliwa, binafsi kuna vitu vingi nimevigundua vina work vzr 80% kama sio 100% in long run ambavyo sijawah kusoma wala kuona mahala popote.

" If you want something you never had, You have to do something you never done"

So narud vitani tena 2025 mpaka mwezi kama huu panapo majaaliwa Mungu akitupatia uzima nitakuja kutoa feedback ya maendeleo yangu.
mkuu yaani mawazo yako ni kama yangu tu, mimi mwezi huu teali narudi kupambana na broker vita ni kali sana ila nitamchapa tu in long run
 
ukiona mtu kapost kapata ela basi hajapata ela however kuna lengo kwann kaipost na hua inakua either
1) yuko kupigia kampeni broka flan na analipwa ela ya commision kwa kila kichwa akileta
2) anatafuta watu wa kuwafundisha

ya pili inatambulika sana ila wengi wanaangukia kwenye kipengele cha 1 because of this:

View: https://www.youtube.com/watch?v=L92tifEHvec&t=17s

Kwahiyo bro mimi kama mtu ninaetaka kuanza forex trading unanishauri kuanza kutrade au ji scam? Maana nimepata broker mmoja anaitwa "lite finance" au nisije nikapoteza hela huko
 
Kwahiyo bro mimi kama mtu ninaetaka kuanza forex trading unanishauri kuanza kutrade au ji scam? Maana nimepata broker mmoja anaitwa "lite finance" au nisije nikapoteza hela huko

kutrade forex halisi hautumii broker unatakiwa utrade na source husika electronically, mfano kutrade pair TSH/USD you will have to be one to one na bank of tanzania apo ikimaanisha wewe una dola unataka quick exchanges za tsh back and forth

kwa broka sio trading ni betting kwa sababu there is nothing your actually trading, you are only creating and deleting PERPETUAL CONTRACTS ama kwa kiswahili mkeka and broka can do anything with your position including add leverage for you, its just betting nothing is there, unaweza deposit $100 na broka aka 100x badala ya $100 ukawa na $100,000, in simple words no trading goes there

kiutalam hii aina ya trading inaitwa RETAIL and no market or assets are there: you can read more from these screenshots

1738344298301.png

1738344506235.png

mkuu yaani mawazo yako ni kama yangu tu, mimi mwezi huu teali narudi kupambana na broker vita ni kali sana ila nitamchapa tu in long run
ata usipoteze mda wako you cant, its impossible
 
Sasa we ulishasema hufanyi forex mbona unabishan na waliokuwa ktk game, trading wapo wanaoloose na wanaogain kulingana na maarifa na management sokoni
HAKUNA ANAYEPATA FAIDA KWENYE FOREX WOOTE NI LOOSER TU.
FOREX NI BETTING NI KAMALI AMBAYO IMEKUJA KWA JINA LA BIASHARA ILA NI KAMALI TUPU.

NDO MAANA NCHI ZNAZOJIELEWA WAMEPIGA MARUFUKU FOREX .
 
Duuh, hatuatai kwamba trades zetu hazionekani la hasha na ndo maana kila order ina namba ,ilo suala eti utrade mwingne akilose ndo upewe uo ni uongo, broker yeye anapeleka oda in total sokoni kama ni za buyers or sellers so profit zinakuja wa broker in total or loss inaondoka tokea ktk loosing positions kwenda sokoni, kama broker ataamua kujifanya ye ndo soko sawa ila ni inategemea na type
Thus why ata umade 100ml dollar utalipwa zote
SOKO LIPI HILO??
HILO SOKO LIPO WAPI??

NI UTAPELI MTUPU HELA ZENA ZINAISHIA KWA BROKERS ANAAMUA AKULE ELA ZAKO PAPO HAPO AU AKUACHE KIDOGO AKULE BAADAE
 
mkuu yaani mawazo yako ni kama yangu tu, mimi mwezi huu teali narudi kupambana na broker vita ni kali sana ila nitamchapa tu in long run
KAMWE HAUTAFANIKIWA BROKERS ANA ABSOLUTE CONTROL DHIDI YAKO.

HELA UMEDEPOSIT KWENYE MFUMO WAKE ANAE CONTROL NI YEYE. AKIAMUA ACHEZESHE STOP LOSS NA TAKE PROFIT YAKO ANAWEZA VZURI TU.

ANAWEZA AKAZUIA WITHDRAW AKIAMUA NA HAUNA CHA KUMFANYA WALA HAKUNA PAKUMSHTAKI.

KIMBIA FOREX KAWEKEZE NGUVU NA PESA MAHALI PENGINE BROTHER.
 
Watu Wengi Wamepoteza Pesa Forex Kwa Kukurupuka Na Kutotaka Kupata Elimu Ya Forex.

Wanahisi Ni Biashara Ya Ku-download Pesa Mtandaoni
Forex SIO BIASHARA PIA HAINA ELIMU YOYOTE NI PUMBA TUPU. ZILE COURSE ZENYEWE MNAZOSOMA WAMETENGENEZA MABROKER ILI WAWADANGANYE MKIPOTEZA PESA MUONE KUWA UMEPOTEZA KWA SABABU HAUNA ELIMU YA FOREX KUMBE NI WIZI PRO MAX.
 
FOREX HAINA CHA KUSOMA SABABU NI KAMALI AMBAYO MMEDANGANYWA NA BROKER KUWA NI BIASHARA.

HATA USOME MIAKA ISHIRINI HUWEZI FANIKIWA.
Najaribu kusoma hizi uzi. Kuna mwanangu akilala akiamka yeye na forex tu.Anaamini kuna siku atatusua. Vipi mkuu nimshauri au nimwache at least nyinyi mna experience na huu mchezo
 
I only deal with Pie network just mining as a pioneer to get some couns. Trump ameshasaini executive order kuiruhusu iingie sokoni maisha yaanze upya na mwezi march tunaanza kutrade. Hii ya hao wenhine wazee wa forex watawaibia mpaka mkome
 
kutrade forex halisi hautumii broker unatakiwa utrade na source husika electronically, mfano kutrade pair TSH/USD you will have to be one to one na bank of tanzania apo ikimaanisha wewe una dola unataka quick exchanges za tsh back and forth

View attachment 3220136

View attachment 3220143
Sawa ila naanzaje kutrade sasa? Website ipo wapi ya kufanya trading
 
Sawa ila naanzaje kutrade sasa? Website ipo wapi ya kufanya trading
hakuna sehem website utaenda kwa ajili ya kutrade na BOT, you have kwenda ofisini upewe settings zote you will need a company you cant trade as an individual and you need atleast $700k to do that as a capital na trading za uku sio charts hazipo you need to trade electronically, umeangalia izo video nmekutumia, now check this also

View: https://www.youtube.com/watch?v=z4nCTdQlH8w&t=471s&pp=ygUDaGZ0
 
hakuna sehem website utaenda kwa ajili ya kutrade na BOT, you have kwenda ofisini upewe settings zote you will need a company you cant trade as an individual and you need atleast $700k to do that as a capital na trading za uku sio charts hazipo you need to trade electronically, umeangalia izo video nmekutumia, now check this also

View: https://www.youtube.com/watch?v=z4nCTdQlH8w&t=471s&pp=ygUDaGZ0

Nimekuelewa Unauliza kwa sisi matraders wadogo je tuachane na mambo ya forex? Je youtube kibongo bongo inalipa?
 
hiyo sio forex .embu elewa na maana ya forex .ili ndilo nimetoka kuongea kusoma vitabu mtaki alafu unakurupuka kujibu.
hiyo ni ponzi au investment scam kama mfano JATU au mr kuku .kwani jatu ni forex ana fanya bereu exchange foreign market
Vitabu vya nini akati huo utapeli bana...
 
Nimekuelewa Unauliza kwa sisi matraders wadogo je tuachane na mambo ya forex? Je youtube kibongo bongo inalipa?
mwisho wa sku ni jinsi gan ulivo serioues na kazi unayotaka kama kwel unataka kufanya forex na unaweza dedicate maisha kufanya forex basi achana na mabroka kuza mtaji unaohitajika na utapata ela nzuri tu japo ela ya kuanzia ni ndefu ila rewards zake its worth it

kuhusu youtube sio field yangu ila principle za maisha ni zile zile commitment kama wapo waliofanikiwa ata wewe unaweza kufanikiwa
 
Back
Top Bottom