Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Smart Contract

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,158
Reaction score
2,847
Kama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF.

Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo online trade huwa inakuwa attacked kama we ni beginner ni rahisi kukata tamaa.

Lakini baada ya kupata knowledge nimegundua hiyo sio tu side hustle bali unaweza kujiajiri kabisa na ukasahau hiyo 9/5 jobs.

Ujanja ni huu;
a. Usimuamini mtu anayekwambia umtumie hela ili a trade on your behalf then mgawane faida, hiyo utapigwa.
b. Tafuta maarifa na kujifunza mwenyewe uelewe financial markets zinavyooperate, hiyo utakuwa hatua moja kabla ya kutoboa.
c. Baada ya kupata knowledge fungua demo akaunti ufanye mazoezi ya kutosha, hiyo utakuwa unakaribia lengo.

NB. Kulifikia lengo lenyewe hayo juu hayatoshi, kuna discipline, usipokubali kuliwa huli utaishia kuwa frustrated, kuna kumanage risk hayo yote utayapata kutokana na experience.

Soon najilipua na live account so sad maada za fx Jf haziungwi mkono kutokana na matapeli wachache waliotutangulia kuliona jua
 
Back
Top Bottom