Kama maada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa Jf.
Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo online trade huwa inakuwa attacked kama we ni beginner ni rahisi kukata tamaa.
Lakini baada ya kupata knowledge nimegundua hiyo sio tu side hustle bali unaweza kujiajiri kabisa na ukasahau hiyo 9/5 jobs.
Ujanja ni huu;
a. Usimuamini mtu anayekwambia umtumie hela ili a trade on your behalf then mgawane faida, hiyo utapigwa.
b. Tafuta maarifa na kujifunza mwenyewe uelewe financial markets zinavyooperate, hiyo utakuwa hatua moja kabla ya kutoboa.
c. Baada ya kupata knowledge fungua demo akaunti ufanye mazoezi ya kutosha, hiyo utakuwa unakaribia lengo.
Nb. Kulifikia lengo lenyewe hayo juu hayatoshi, kuna discipline, usipokubali kuliwa huli utaishia kuwa frustrated, kuna kumanage risk hayo yote utayapata kutokana na experience.
Soon najilipua na live account so sad maada za fx Jf haziungwi mkono kutokana na matapeli wachache waliotutangulia kuliona jua
Don't rust to demo account. Add one digit kwa demo account ndio ujilipue. Yaani mfano ukifungua demo ya $10k make sure inagusa $100k ndio uingie live.
If you've desire anything in your life you'll find a way otherwise you'll find an excuse.
Read below paragraph kwa umakini nakuona unaanza kuelewa Ni Nini Cha kufanya.
Kumbuka hii Ni mental game Sasa Kama Ni mental game inatakiwa uwe na mental game strategy. Tukisema game strategy ya football sio shida ama ishu ngeni kwa watu Ila hapa inatakiwa uwe na strategy ya mental game so is common game familia kwa majority. Training ya mpaka uijue trading sio ya kitoto. Otherwise trave safe road with knowns or certainties Mana huku Ni uncertainties and uknowns za kutosha for majority of brains don't comply with this kind of game.
Finally nakuachia kitu Kama ipo damuni mwako najua hii itakuingia.
If you are really great at something - anything - the money will come. So money is never the goal. The goal is competence, skill,Maintaining discipline is vital for consistent and profitable trading
You trade proven forex trading strategies, over and over, so that across a series of trades, the strategies work enough to produce an overall profit.
It’s like making shot after shot on the basketball court so as to accumulate a winning number of points. The more shots you take, the more likely you will amass points The winning player is the person who first develops the skill to make the shot consistently so that at every possible opportunity, the ball is likely to go through the basket.
They’ve developed the skill to learn how to shoot the ball the same way every single time. Consistency is crucial!
It’s the same for trading. One must trade consistently, following a specific trading plan on each and every single trade.
If you trade one approach this time, and a different approach at another time, your performance will more than likely be haphazard.
We can’t stress this enough…