Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Hongera sana, naona una kuja kama yule anajiita Sir................... na hangover za Kilinda, etc. ujanja ni huu chukua ndugu zako wote na ukoo wako wote waingize huko mpate mapesa mengi. Mkishakuwa matajiri kama MO, AZAM, etc. na wengine ntajiungana wewe
 
5penct anayozungumzia mzungu sio sawa na ya mbongo mzee mzungu ana kuwa na zaid ya 10000usd capital akisema 5pnt means pesa ndefu, haawa wa usd 100 200 ni mwendo wa hollygrail tu ukitoboa umetoboa no way
Usikariri please be flexible man. Ndicho trading uzuri wake unaweza kuuza ama kuseli shares or any financial instruments. You're long and you're wrong then reverse your order if your criteria za ku short the market is met.
Usiwe rigid kuwa lazima uwe long Kama investor anaye buy hisa so yeye Hana Option ya kuuza instantly.

Kuna mwamba mmoja katika hii industry I think wako wawili nawakubali.
First Kuna Jesse Livermore huyu alianza from scratch halafu Sasa katika mazingira magumu enzi hizo Mana alizaliwa 1875 alipokuwa na 14yrs tayari akaajiliwa kwa stockbroker as a quotation board boy.
Akiwa na 15yrs ameshaianza career Ile depression ya 1929 Ali short market akafika $100M.
Kumbuka hakuzaliwa na hata a cent.

Kuna huyu hapa wa Pili Richard Dennis alianza na dola 400 akaipeleka mpaka 200M dola ndani ya miaka nane. It's the skills or numbers game nothing is a miracle or left by chance/lucky.
Labda wa mwisho dogo mmoja wa kijapan anaitwa Takashi Kotegawa $13600to $158M na dogo still anakula kawaida na anavaa tisheti lake la second hand.
It's up to you.
 
Ungejua watu wanavyofilisika na hiyo michezo, ungenyamaza tu
They rush to make money. Niambie Kama Kuna aliye tulia akastadi hii gemu for not less than 5yrs na akaanza kufanya zoezi kwa demo mpaka akaongeza digit moja kwa demo then akaingia live na akafilisika. They rush to be rich I know people emotionally how we behave all.
That's our human weakness so to make money understand our nature and then do opposite of it uone.
We all love instant gratification,we love to procrastinate things.
We love to feel happy,we seek pleasure and avoid pain by any means even to lie to ourselves. Our mind has two characteristics 1; to avoid pains 2- to relate the last moment with now moment.
Hujawahi sikia hapa watu wakishasikia kabila fulani wanasema ama wanahitimisha kuwa Hawa wako ivi.

Basi ngoja niache
 
Hiyo miaka mitano ya kustudy game huna kazi ya kufanya au?
 
Usiwe biased na usiwe na fixed mind,unachoelewa ama mie nachoelewa Ni sehemu ndogo mno ya whole knowledge.
Sikiliza Sasa unaweza uka dabo akaunti yako ama uka triple ndani ya siku moja na bila risk ya kuinguza akaunti yako. Uelewe pia hakuna specific curriculum ya trading. Kuna akaunti ikitoka $1460 ndani ya 28hrs ikawa inasoma $64600. Hii ishu Ni skills na inachukua muda mno kuzitrngengeneza. Ile craft and mastery of the craft it takes time to master and build it.
Na sio ivyo tu Bali the right and correct information ndio msingi. Ziko info nyingi ishu kubwa Ni kuzi filter
Wewe usidanganye wenzako, kwa hilo ulilozungumza bado huijui Forex, Top 10 ya matajiri duniani hakuna Fx trader, trader yeyote mzuri anaweza ku double account, lakini double account kwa lengo la kukuza mtaji baada ya hapo endelea ku trade kwa discipline...
Pro tadera anaweza double account lakini wanajua its too risk, hakuna setup au analysis kwenye fx itakupa uhakika 100 % all the time... Hata uwe best vipi Forex inahitaji discipline...
Jaribu kupunguza ujuaji na usiwapoteze wenzio, hivi wewe unaijua Forex kuliko waliotengeneza MT4/MT5 na zile indicators? Bora ukae kimya
 
But kuna mabilionare wakubwa tu dunia hii in US Dollar ambao utajiri wao umetoka kwenye hedge funds..... and hedge funds make money through trading
 
5penct anayozungumzia mzungu sio sawa na ya mbongo mzee mzungu ana kuwa na zaid ya 10000usd capital akisema 5pnt means pesa ndefu, haawa wa usd 100 200 ni mwendo wa hollygrail tu ukitoboa umetoboa no way
Ndio hivyo msi force, Fx inahitaji capital, kwani mi sijui 5% ninayozungumza, dola 100 kanunue simu mdogo wangu, we endelea kuwa motivated na hao wapigaji wanawauzieni vitabu vya head and shoulders wakiwadanganyeni unaweza anza na dola 100, ndio maana majority ya jf members wanajua ni fx ni betting, endelea..
 
Karibu ulimwengu wa trading...... binafsi nna miezi 21 toka nimeanza kujifunza na skill niliyoipata naiamini na sasa nipo kwenye real account with proper knowledge toka September. Nafanya zoezi la kucompound.
Na compounding yangu ikienda vizuri kama nilivyopanga by June mwakani ntakua nishauaga umasikini 100%

Cha kukushauri tu... kama umedumu na strategy moja kwa miezi mitatu mfululizo huku ukifanya journaling ya uhakika na ushaelewa strength na weaknesses za strategy yako ingia real hata kwa dollar 100 itakusaidia kujua how far along are you when it comes to PSYCHOLOGY

Extra tips....
1. I always record on telegram, nna channel of myself all my analysis and how zimeplay out kwa screenshot plus psychology yangu during execution
2. Every weekend I go through namna gani nimeperform wiki nzima na kama kuna jambo jipya nimenotice, aim ni kukomaa na yale mazuri na kugive up bad behaviour
3. Every month napitia mwezi mzima ulivyoenda and I rate my performance kwa huo mwezi in comparison na mwezi wa nyuma
4. My fx book is a very good tool kuelewa unaperfom vipi sababu it's detailed mnoooo

NOTE: zoezi langu ni rahisi sababu I only trade GU na gold
2. I use fibs and supply and demand targeting 1:2 minimum
3. Target yangu ni 25% growth weekly bila kuoverlage (maximum lot for every 500 dollars ni 0.1 unless i scale in to a winning position and previous position zikiwa risk free.... per pair mara nyingi max ni 2 entries mimi sio mtu wa many entries) ambayo as far as I have been backtesting and live trading ni achievable
4. I don't look at what other traders are doing ni mimi na charts zangu na alerts Kwenye zones nnazozitaka, tp and sl areas.. in other words my goal ni kuangalia chart only when necessary
5. Kwa wiki PER PAIR set ups 2 mpaka 3 zinanitosha sanaaaaaaa

ATTACHMENT BELOW NI NAMNA I RECORD MY ANALYSIS KABLA MARKET HAIJATEMBERA

TRADING WILL MAKE ME A MILLIONARE IN USD BILA KUUZA SIGNAL, KUFUNDISHA WATU WALA KUMANAGE ACCOUNTS.
 
Attachments

  • Screenshot_20221025-114604_Telegram.jpg
    Screenshot_20221025-114604_Telegram.jpg
    82.6 KB · Views: 31
But kuna mabilionare wakubwa tu dunia hii in US Dollar ambao utajiri wao umetoka kwenye hedge funds..... and hedge funds make money through trading
Hedge funds mitqji ni mikubwa mno, Soros alikuwa na zaidi ya 10 billion USD kwenye lile tukio la black Wednesday, usifananishe na hawa wa dola 100..
 
Hedge funds mitqji ni mikubwa mno, Soros alikuwa na zaidi ya 10 billion USD kwenye lile tukio la black Wednesday, usifananishe na hawa wa dola 100..
Amini unachokiamini bro mambo yasiwe mengi.
1. Trading sio utapeli, iwe forex, stocks, options, future, commodities or indexes
2.Huhitaji capital kubwa hata kufanikiwa for as long as umewekeza nguvu na nidhamu kufafuta maarifa na kuyatumia maarifa hayo kwa nidhamu pia capital as low as 200$ inakupea hela nyingi within a year kama umeikuza kwa njia sahihi.

Some people work best with big capitals and others small capital is all they have na wanascale in kupitia hiyo hiyo
 
Mark my words.ukianza kutrade real account ukachezea vipigo mfululizo utakuja kujua kwa nn wenzio wanakuwa walimu na kuandaa maseminars na kujitangaza kwamba wamefanikiwa kupitia forex instead of trading themselves and earning more .

Mwaka mmoja mbele utakuwa unauza vitabu na maroboti.
 
Back
Top Bottom