Maelezo meeengi kumbe bado unacheza na demo [emoji3]
Ingia weka mpunga utapigwa uchakae.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Mbona unaongea kitu ambacho hujui unaongea Nini mkuu. Hivi unajua lakini daktari anakaa miaka mingapi darasani kusoma tu?
Unajua ana practice miaka mingapi neurosurgeon mpaka anaachiwa mtu anamfanyia operesheni ya kichwa lakini.
Ama unajua kuwa unasoma miezi sita ama unahudhuria weekend course Basi unakabidhiwa mtu kumchana kichwa.
Unajua lawyer anasoma YouTube na baadhi ya PDF na anakuja kusimamia kesi between multinational companies like barrick and Tanzania na anashindwa kesi aliyoisimamia.
Unajua tu rubani anademo mwaka anaaachiwa arushe ndege amebeba mamilioni ya watu.
Hii Ni career Kama Career zingine zilivyo sema sie tuna rush to make money instead of developing the skills. Unapokuwa na skills hela Ni outcome ya right skills.
Unajua Michael Jordan ama kobe Bryant alikuwa ana practice Mara ngapi ama masaa mangapi per day.
Eliud kipchoge alikimbia siku 365 za mwaka bila ya kumisi hata siku moja akijiandaa na marathon aliyocheza uk na ndio ilikuwa sababu yake ya kushinda.
Kupata A ya Fizikia ama maths lazima ufanye mitihani kibao unanipa mwenyewe mazoezi mitihani isiyopungua hata alafu kumi,Tena unaifanya kwa muda mchache kuliko ule wa necta ili uingie uichukue A yako.
Hata mbususu unaisotea Ila mbususu ya maana sio hizi za kuuzwa mtaaani ama leo umechukua namba leo leo umemaliza.
Kuna unaipenda na umeipatia mbususu yako unayoipenda utaweza sotea hata miaka na miaka Ila ukiwa una uhakika wa kuipata.
Nothing come easy.
Samahani mie Ni kilaza ,am loser ,am just dambu esihole so relax