Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Yap unaweza ukawa na positive experience na uvutaji bangi ila haimaanishi bangi hazina madhara au sababu haujashikwa mpaka leo kesho hautashikwa....Mimi hapa niko na positive experience na hii biashara ya forex.,
Kwahio Sababu Bob Nester Marley alikuwa anashuka mistari murua na anatumia nyasi hatuwezi kusema tuanze kuvuta nyasi (madhara yake ni well known)
Knowledge haizuii unpredictability na riskiness of such....yale umeandika ni ukweli na pia sio ukweli., ni ukweli kama mtu hana proper knowledge ya forex.,
fundamental analysis zipi na zinatokea saa ngapi na wewe unareact vipi na kwa muda gani ? Kuna vitu vitanatokea instantaneously na kuna vitu huwezi uka-predict reaction ya watu..., pia kila mtu akipredict kama wewe na akifanya same thing kama wewe unadhani nini kitatokea ?na pia kauli yako sio ukweli kwa yule alie na uelewa kikamilifu, unaweza ku project where the market is headed ukielewa fundamental analysis..,
Ingekuwa rahisi hivyo na sio kwamba hawafanyi sasa hivi kuna Bots (yaani haya wewe unayodhani unafanya unayatengenezea computer coding na bots zinafanya yake at a supersonic speed.., na hayo yanafanyika ndio maana kuna saa utashangaa vitu vinavyotokea kwenye market..., hence kwenye fundamental analysis yako lazima uweke bizo bots and computer software into account...
Kwamba katika historia ya Vita hilo halijawai kuwa vice versa..., yaani prediction ya of the obvious kwenda pear shapedkwa mfano, vita vya Ukraine na Russia na impact yake Europe ilikua obvious Euro na Pound zitashuka dhamani, na dollar ya marekani, gold na oil kupanda.., hapa nimevuta hela ndefu sana!!..,
Nakuuliza tena katika historia ya currency forex haijawahi kutokea the obvious kuwa vice versa ? mfano hivyo vita ?!!!Tazama vile US dollar ilipanda against major currencies na Euro na Pound kuporomoka.., ilikua obvious sana, ama pengine ni kwa vile mimi naelewa na prediction yangu ilikua 90% correct.., ila in forex unahitaji kukua 30% correct to make a profit kama unaelewa kile unafanya..,
EURO/USD.., tokea mwanzo wa mwaka, hizi ni weekly charts,
View attachment 2398425
GBP/USD (Pound against Dollar)
View attachment 2398426
hapa kama unge invest kshs 200 (Tsh 4000).., ungekua na Ksh.20,000 (Tshs. 400,000) sasa hivi, na kama wewe uko na account kubwa where u can enter a bigger position, hiyo Tsh.400,000 unaweza multiply by 100 ungekua na Tshs 40,000,000., tokea January hadi sasa hivi na pengine ungekua ume risk maybe Kshs 1000 (Tshs. 20,000) incase the market goes a gainst u..,