Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Pigeni fedha ndugu zangu. Huwa nashangaa kweli kweli mnatumia nguvu nyingi kubishana na wajinga ambao hawataki kupiga fedha kama ninyi wajanja mnavyopiga. Au mnataka kila mtu ashtuke na awe tajiri kama ninyi?
Forex iko na hela mingi mno, huwezi maliza yote, ni vyema kuwajuza wenzako, sio kama hizi biashara zingine where mkiingia wengi faida inapungua..,
 
Kwenye hiyo paragraph niliyo I quote ndiyo kuna UTALELI wenyewe. Hakuna pesa ya ku DOWNLOAD Duniani. Kama huwezi kuweka Benki ukapata riba basi kanunue bonds, otherwise wekeza kwenye TRADING of commodities au Real Eastate
Wengi mmeninukuu vibaya sijaleta uzi kwa ajili ya kurubuni watu wajiunge na hii biashara, hasha!
Nimeandika mahsusi nikijua wapo watu wanaonufaika na hii kitu, hivyo nimeandika ili kupata busara baadhi zakunifanya kujiamini zaidi, na kusema ukweli nimepata zaidi ya nilichotarajia. Cha kushangaza zaidi busara zao ndo zinaring bell kichwani, ila mapovu ya baadhi yawasiojielewa nimeyapuuza kirahisi mno.
Na, kwa research niliyoifanya, kwa knowledge nliyoitafuta kilichobaki ni nikunoa hii skills ili inifaidishe mbeleni, hivyo hakuna mtu wa kunishawishi ni utapeli au sijui ni very risk and bla bla katu hawaezi fanikiwa simply because they're not me.
 
Kama maada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa Jf.

Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo online trade huwa inakuwa attacked kama we ni beginner ni rahisi kukata tamaa.

Lakini baada ya kupata knowledge nimegundua hiyo sio tu side hustle bali unaweza kujiajiri kabisa na ukasahau hiyo 9/5 jobs.

Ujanja ni huu;
a. Usimuamini mtu anayekwambia umtumie hela ili a trade on your behalf then mgawane faida, hiyo utapigwa.
b. Tafuta maarifa na kujifunza mwenyewe uelewe financial markets zinavyooperate, hiyo utakuwa hatua moja kabla ya kutoboa.

c. Baada ya kupata knowledge fungua demo akaunti ufanye mazoezi ya kutosha, hiyo utakuwa unakaribia lengo.

Nb. Kulifikia lengo lenyewe hayo juu hayatoshi, kuna discipline, usipokubali kuliwa huli utaishia kuwa frustrated, kuna kumanage risk hayo yote utayapata kutokana na experience.

Soon najilipua na live account so sad maada za fx Jf haziungwi mkono kutokana na matapeli wachache waliotutangulia kuliona jua
Uwe na Roho ngumu.

Uwe na Imani zaidi ya aliyeokoka.

Uwe na subirá kama unamsubiria Jesús kurudi.

Usikate Tamaa kama mtoto mdogo.
 
Unahitaji elimu ya theory then unahitaji experience ya live market...... na vyote hivyo sio kitu cha muda mchache it takes time.

Si kweli, hata ukiwa ofisini unaweza kujifunza for as long as long una mtandao, sababu the most part utajifunza after work hours, execution huhitaji kukomalia charts ni kuset alerts tu zikiita unacheki kinachoendela, na mtu aliyeajiriwa best strategy ni swing trading. Ofisi hizi za kibongo ambazo mtu work hours yupo whatsap na instagram ushindwe kufanya execution???? Si kweli.
Tena ukiwa na kazi pressure ya pesa za haraka inapungua so unajifunza more effectively kuliko mjobless
Dope👍
 
Hakuna mtu amesema Fx ni scam, kingine amini unachoamini lakini kaa ukijua forex trading may make you rich if you are a hedge fund with deep pockets lakini for the average retail trader ni bahati nasibu, mwisho nikutakie safari njema.
Ukiwa na akili za bahati nasibu kwenye hii biashara unakuwa umesha fail kabla hata hujaanza. Knowledge is the master key, kwenye fx. I'm telling you, ukiwa na maarifa unaweza trade hata 5$-to whatever you want. Tafuta maarifa ndugu.
Hii biashara watu walifundishwa vibaya, walikuwa motivated kuwa ni mwendo wa kuchota tu hela thubutu.Hela zipo mingi but it takes knowledge kuzichukua.
 
Nimeikuta mahala uko ndo kutoboa kwenyewe
 
Attachments

  • Screenshot_2022-10-26-23-10-39-02_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    Screenshot_2022-10-26-23-10-39-02_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
    78.8 KB · Views: 36
Rudia kusoma nilichoandika !!! (Yaani your attention to detail leaves a lot to be desired; kweli wewe ndio utaweza ku-nit pick the fundamentals and their meaning)!!! Nimesema Hata kama tukidhani ni hivyo hatuwezi kufanya hivyo (Yaani tukidhani Bangi ndio inaongeza Creativity hatuwezi kui-market kwa watu) hence ndio kama wewe unavyodhani predicting the market is a science au kuna strategy yoyote full proof kwenye forex au any other given market..., In short hakuna ......

Nani kaongelea insider trading..., yaani wewe una facilities za kugather information za happenings za hii dunia kama mfano banking institutions zenye na big firms zenye wadau kila kona ? Huenda information ikikufikia wewe wengine walishaipata masaa

Nani ameongelea manipulation ?!!! Nilidhani tunaongelea fundamentals ambazo zinapelekea decision makings za watu..., sasa hujui kwamba hata mradi mkubwa kufanyika sehemu fulani au watu kusign hiki au kile kuna level za information kufikia watu mpaka kuwa general knowledge au unadhani information inazagaa instantaneously

who said otherwise ? Kwanza hata zile Bureau de Change nazo ni Forex Trading (forex exchange) sasa tukija kwenye haya mambo yana categories kuna day traders n.k. sasa kama unamshauri mtu awe day trader lazima umuandae kabisa na kumwabia risks involved both economically and emotionally na huwezi kulinganisha hii na biashara nyingine this is a risky endeavor (kupata kwako hakubadilishi riskyness ndio maana nikakuuliza ni percent ngapi ya mamilioni ya day traders waliopo wanaobreak even)?

Kwamba football sio legal ?!!! Unajua maana ya gambling ? Unajua hata kwenye football kuna vitu wanaita arbitrage; cross arbitrage au Matched Betting watu wanatumia loopholes ya bonuses kuhakikisha wanapata pesa even before ball is kicked ?!!!

Ndio hapo unapopotea its not only about knowing au experience unaweza ukajua kila kitu ila information unazozipata sisiwe on-time.., na sababu hakuna I repeat hakuna a full proof strategy kwahio hata mtu akijufunza to the core hakuna a foolproof strategy

Pili hata ukiwa na money management skills kiasi gani when emotions kick in that goes to the wayside (au utafundisha na emotions)?
Komaa na traditional businesses..... unahangaika sana kulazimisha mambo.
Financial markets tuachie tuliyavulia maji nguo being a trader of any instrument is a lifetime commitment and is not for everyone. Watu kama nyie ndo mnakatisha tamaa beginners kwa misinformation.....
Any trader in here, keep doing what you do mpaka ufanikiwe, kama wengine wanaweza basi you can.
And FYI inside trading happen kwenye stocks huko hedge fund level.
 
Unajua maana ya inside trading ? Au nani hapa kaongelea inside trading ? Kama currency inaweza ikawa swayed na political happenings na kuna firms zinauweza wa kujua sera au chochote kile kinachofanya na government masaa au siku kabla that is factual (uwezo wa kupata information haulingani; that is a fact) unless otherwise unasema fundamental analysis haina msaada wowote au any political news / release haina effect kwenye market....

Pili hili ni Jukwaa la kujibizana hoja sio kupeana Kudos pekee au kuungana mkono ni la ku-criticize pia ili mwisho wa siku mpita njia apate pro and cons..., sio tu kuambiwa ua rose linanukia bila kuambiwa athari ya miba hivyo huenda angevaa gloves angefurahia zaidi hili ua na sio kuchomwa miiba akashindwa ku-enjoy mazuri
 
Stick to unachokiamini... mambo yasiwe mengi
 
Narudia mfano wangu..., hata kama Jani ndio lilisababisha Nester Akaandika mistari bora hatuwezi kuli-promote jani kwa kila mtu..., kwahio wewe kufanikiwa kwenye Forex haipunguzi uhatari wake..., Hivi unajua percent ngapi ya solo day traders Ulimwenguni wanakula loss kwa mwaka let alone break even kwenye forex ?

Achana tu na Riskiness bali pia the odds are stacked against them; Hivi unajua pia Mabenki yana Traders na amount of information walizonazo sio jambo la ajabu kufahamu kitu au government plans siku au masaa hata kabla hakijatangazwa...

Kwahio haya mambo sio ya kumshauri mtu aingie unless otherwise unataka tu kumuuzia kitu, ni jambo ambalo unaamua wewe binafsi kuingia (labda kama unataka kujitafutia lawama za bure)
Heshima kwako mkuu!
 
Ukiwa na akili za bahati nasibu kwenye hii biashara unakuwa umesha fail kabla hata hujaanza. Knowledge is the master key, kwenye fx. I'm telling you, ukiwa na maarifa unaweza trade hata 5$-to whatever you want. Tafuta maarifa ndugu.
Hii biashara watu walifundishwa vibaya, walikuwa motivated kuwa ni mwendo wa kuchota tu hela thubutu.Hela zipo mingi but it takes knowledge kuzichukua.
Huyu nimeongea ama nimemwambia Naona Kama hajanielewa.kuna mtu ametoa akaunti from 50$ mpaka $60k.
Watu hawaelewi Mana ya skills kabisa.
Skills ama ujuzi ndio hela zenyewe. Ukiwa fundi ujenzi like brick layer waweza enda USA na kendee zako tu Ila ndani ya ten years ukarudi na billions of tzs.
It's a skill no magic pill ,no miracle,no chance,no luck only honing of skills everyday,you do the same thing every day ,you repeat the same shiit everyday until become subconsciously or you do in in automation level without even thinking that your doing something.

Mastery of your craft takes huge amount of energy,time, dedication,blood, tears, sweat, uncounted sleepless nights, highest level of commitment sio commitment ya kitoto Mara upo mazoezini demu wako anakuita unaacha tizi lako ndio ukapige,kaulize christiano ronado,Kobe Bryant, Michael Jordan,Jeff Benzos,Elon musk ama anord shwaznegger walikuwa wanajitoaje kwenye craft zao. To be a master of something of any craft it takes something within someone who trust himself or believe without seeing Ila many see then believe.

So hii sio ya kulazimishana Mana wengine wapo radhi wanasotea binti miaka mitano aje awe mke wake , mwingine hata mwezi,wiki ama siku Kama haeleweki anapiga chini. Akimpa changamoto kidogo anampiga chini ,anawahi kuachana naye anacheki mwingine Tena. Sasa huku trading inakupa changamoto kila yaani kila siku utapoteza hela yaani utapoteza tu somo Ni kujua namna ya kupoteza vizuri yaani to be best loser since the best loser wins in the long run.
Hapa hii dhana ya ku lose inakuja kuku collide with our inbuilt defence mechanism ambayo inakata ama inatulinda tusipoteze kitu kilicho thamani kwetu.

Yaani brain Ina self mechanism namna ya ku counterbalance like pains ,loss,failure Ile subconsciously bila ya wewe kujua in logic/ratio/concious level ambazo sio rafiki kwa trading na ndio Mana inakuwa ngumu kufanywa na binadamu otherwise inabidi a train mind yake ku destroy that self defense mechanism na kuijua ama kuzijua sio ishu ya siku moja.

Trading inahitaji uwe
1-psychologist
2-psychriast
3-entrepreneurship
4-bussnessman
5-poker player face or mentality
6-casino expert lazima ujue cassino zinavyofanya Kazi Mana wao in long run wanameki hela.
7-uwe risk manager or assessment
8- money manager lazima ujue how to use money to get more money hata kuhonga unahonga ili upate something,mbegu unaipanda ili upate more seeds.
9-probabilistic mindset hii sio rahisi kila mtu kuielewa ama kuifanyia kazi,unaweza ukaielewa sema to work in function level sio leo.
10- actruarial science lazima ujue insurance zinavyofanya Kazi mbona wanatibu watu kwa bima ama wanalipa magari kwa ajali kwani hawpaati hasara.
11-inatakiwa uwe archeologist lazima ujue how this brain we've that we inherited from our ancestors how it worked at that time ili ujue weakness ya hii brain tuliyo nayo baadaye you do opposite to it.
12-tax expert
13-you are your own mentor and coacher,uwe daktari wako mwenyewe

Naomba niachie hapa. Sasa haya Kama huna Ile burning desire sio rahisi lazima utaliwa kichwa utakuja kulialia hapa kuwa Ni utapeli Mara Ni kamari na Ni lazima uijue kamari.
Sema Sasa hii sio rahisi kwa binadamu ya kawaida otherwise uwe na ule moyo wa upendo ambao ulikuwa nao ulipokuwa around 17yrs ulipokuwa unasubiria demu wako hata masaa manane hajatokea mlikubaliana akiakuambia kuwa mama alinituma ndio Mana sikuja Wala hukasiriki.
Unakuwa kawaida kabisa. So lazima uwe na upendo wa agape. Can you go with ten years bila ya kumeki a real living from it and still ukawa unaipenda ama utataka instant gratification.

Kwa ushauri tu demo trade mpaka triple triple your account ndio uwaze kuingia live.

Yaani Kama umeanza na $5000 demo Basi ikifika $50000 uwaze kuingia live yaani uwaze na sio kuwa ndio tiketi.
It pays once you've the right skills umeki money like no other career in this planet.

Jamani amini tu hii Ni utapeli tu Basi sio lazima uwe trader hata kuwa mchoma mahindi mbona maisha yanaenda pia sio lazima ufanye trading.
 
Unajua maana ya inside trading ? Au nani hapa kaongelea inside trading ? Kama currency inaweza ikawa swayed na political happenings na kuna firms zinauweza wa kujua sera au chochote kile kinachofanya na government masaa au siku kabla that is factual (uwezo wa kupata information haulingani; that is a fact) unless otherwise unasema fundamental analysis haina msaada wowote au any political news / release haina effect kwenye market....

Pili hili ni Jukwaa la kujibizana hoja sio kupeana Kudos pekee au kuungana mkono ni la ku-criticize pia ili mwisho wa siku mpita njia apate pro and cons..., sio tu kuambiwa ua rose linanukia bila kuambiwa athari ya miba hivyo huenda angevaa gloves angefurahia zaidi hili ua na sio kuchomwa miiba akashindwa ku-enjoy mazuri
Hapa nimeanza kuelewa tofauti ya waliosacrifice it all for trading na kunguru walokimbiza mbawa zao
 
Huyu nimeongea ama nimemwambia Naona Kama hajanielewa.kuna mtu ametoa akaunti from 50$ mpaka $60k.
Watu hawaelewi Mana ya skills kabisa.
Skills ama ujuzi ndio hela zenyewe. Ukiwa fundi ujenzi like brick layer waweza enda USA na kendee zako tu Ila ndani ya ten years ukarudi na billions of tzs.
It's a skill no magic pill ,no miracle,no chance,no luck only honing of skills everyday,you do the same thing every day ,you repeat the same shiit everyday until become subconsciously or you do in in automation level without even thinking that your doing something.

Mastery of your craft takes huge amount of energy,time, dedication,blood, tears, sweat, uncounted sleepless nights, highest level of commitment sio commitment ya kitoto Mara upo mazoezini demu wako anakuita unaacha tizi lako ndio ukapige,kaulize christiano ronado,Kobe Bryant, Michael Jordan,Jeff Benzos,Elon musk ama anord shwaznegger walikuwa wanajitoaje kwenye craft zao. To be a master of something of any craft it takes something within someone who trust himself or believe without seeing Ila many see then believe.

So hii sio ya kulazimishana Mana wengine wapo radhi wanasotea binti miaka mitano aje awe mke wake , mwingine hata mwezi,wiki ama siku Kama haeleweki anapiga chini. Akimpa changamoto kidogo anampiga chini ,anawahi kuachana naye anacheki mwingine Tena. Sasa huku trading inakupa changamoto kila yaani kila siku utapoteza hela yaani utapoteza tu somo Ni kujua namna ya kupoteza vizuri yaani to be best loser since the best loser wins in the long run.
Hapa hii dhana ya ku lose inakuja kuku collide with our inbuilt defence mechanism ambayo inakata ama inatulinda tusipoteze kitu kilicho thamani kwetu.

Yaani brain Ina self mechanism namna ya ku counterbalance like pains ,loss,failure Ile subconsciously bila ya wewe kujua in logic/ratio/concious level ambazo sio rafiki kwa trading na ndio Mana inakuwa ngumu kufanywa na binadamu otherwise inabidi a train mind yake ku destroy that self defense mechanism na kuijua ama kuzijua sio ishu ya siku moja.

Trading inahitaji uwe
1-psychologist
2-psychriast
3-entrepreneurship
4-bussnessman
5-poker player face or mentality
6-casino expert lazima ujue cassino zinavyofanya Kazi Mana wao in long run wanameki hela.
7-uwe risk manager or assessment
8- money manager lazima ujue how to use money to get more money hata kuhonga unahonga ili upate something,mbegu unaipanda ili upate more seeds.
9-probabilistic mindset hii sio rahisi kila mtu kuielewa ama kuifanyia kazi,unaweza ukaielewa sema to work in function level sio leo.
10- actruarial science lazima ujue insurance zinavyofanya Kazi mbona wanatibu watu kwa bima ama wanalipa magari kwa ajali kwani hawpaati hasara.
11-inatakiwa uwe archeologist lazima ujue how this brain we've that we inherited from our ancestors how it worked at that time ili ujue weakness ya hii brain tuliyo nayo baadaye you do opposite to it.
12-tax expert
13-you are your own mentor and coacher,uwe daktari wako mwenyewe

Naomba niachie hapa. Sasa haya Kama huna Ile burning desire sio rahisi lazima utaliwa kichwa utakuja kulialia hapa kuwa Ni utapeli Mara Ni kamari na Ni lazima uijue kamari.
Sema Sasa hii sio rahisi kwa binadamu ya kawaida otherwise uwe na ule moyo wa upendo ambao ulikuwa nao ulipokuwa around 17yrs ulipokuwa unasubiria demu wako hata masaa manane hajatokea mlikubaliana akiakuambia kuwa mama alinituma ndio Mana sikuja Wala hukasiriki.
Unakuwa kawaida kabisa. So lazima uwe na upendo wa agape. Can you go with ten years bila ya kumeki a real living from it and still ukawa unaipenda ama utataka instant gratification.

Kwa ushauri tu demo trade mpaka triple triple your account ndio uwaze kuingia live.

Yaani Kama umeanza na $5000 demo Basi ikifika $50000 uwaze kuingia live yaani uwaze na sio kuwa ndio tiketi.
It pays once you've the right skills umeki money like no other career in this planet.

Jamani amini tu hii Ni utapeli tu Basi sio lazima uwe trader hata kuwa mchoma mahindi mbona maisha yanaenda pia sio lazima ufanye trading.
Im finaly convinced that thing is more spiritual than rational mind can comprehend
 
Wala usicomplicate... trading is SIMPLE not EASY.... get a strategy achana na fundamental kama sio msomaji na kama huna knowledge ya uchumi technical inatosha, komaa kuilewa strategy before going hata kwenye demo, fanya live market predictions, ukiridhika na outcomes ingia demo for a while kutest entries (sababu unaweza ukawa mzuri kupredict direction but entries zikakuzingua) ukijiridhisha na entries 1 month to 3 months in live market ( sio lazima uwe perfect) ingia live na real cash
But uwe tu umeweza kujijibu maswali yafuatayo
1. Which pairs am I going to trade? 3 pairs max is effective i trade 2 myself, if you are aggressive may be 5 but the thing is it's hard to keep track of many pairs especially if you are still not profitable
2. How does my strategy perform during bad and good weeks
3. What's my minimum/average RR
4. Winning ratio %???
5. Average SL? Not having an average SL is a recipe for disaster
6. What trading style suits my lifestyle and psychology? Swing, day or scalping
7. What kind of account do I want to compound to after 3,6,9 to 12 months with a X starting capital? Vuta tu forex compounding calculator and jaza capital yako pale itakupa results utabaki kudecipe position sizing tu
8. What's gonna keep me going during storm times and winning times???? Because they do happen for real kwa sisi ambao bado hatujagusa profit za kuchange life
9. Jifungulie channel ya telegram na my fxbook kutrack progress yako.... then komaa mpaka ufike malengo huku ukijiassess weekly and monthly bila kujidanganya

Real account WITH SMALL CAPITAL, 100 is good, ili ujipime saikolojia yako na pia ili uijenge saikolojia yako, how long it takes itategema na una njaa ya kutoboa kiasi gani na namna gani unakimbizana kukomaa tabia nzuri na kuachana na mbaya.

Ukisikiliza watu wa humu utacomplicate tu trading yako na kuona somethings haziwekani, do you be you....
 
Thanx madam I owe you nothing but you owe me everytrhing
 
Nimekupa salute after ten years tutakuwa na profitable trader anayelishwa na market. Big up sema hayo maelezo yanaonekana Kama simple kuyaongea Ila sio rahisi in real life,easy to say,it takes time mpaka usamairizi trading in one to three sentences.
Keep it up.
Pia hizo pairs zako angalau ziwe very liquid pairs like gu eu au xau Dow NASDAQ sp500 dax ftse
 
Back
Top Bottom