Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini


Aisee nimesoma apa ad cha kukujibu sina, ila ukiachana na masuala ya emotion kuna itikadi pia, kila mtu ana itikadi zake na vile anavyoichukulia fx, ila amini usiamini kuna watu hapahapa bongo wanapiga hela vibaya mno kupitia fx, sema hawana makelele kama sisi, wao wanapiga kimyakimya, nna ushuhuda wa mtu ana position 5 zinasoma $100,000, zingine $200,000 na sio demo ni real mze... ila najua ni ngumu mtu kukupa mfumo wake, tafuta mfumo wako, nlimuuliza bro unatumia strategy gani, akanijibu EMA 200, lakn sio kweli ni kwa sababu na mm naitumia hiyo 200ema, lakin ainipi matokeo kama yake....
 
There is reason for playing it safe bro, low key n muhimu
Yani Kwa mfano ukishafanya muamala wa 500m kaka, utaingizwa matatizon bila kupenda hawakawii hawa kukubambikiza kesi za kijinga.

Utapewa mpk kesi za uhujumu uchumi ,
Low key ,low profile diversifying earnings ndo njia pekee ya kuwakwepa mapashkuna!
 
What you are saying is very true pal,

IMO don't argue with people about what they believe and what they don't,

Mfano mtu mwenye 1billion na mtu mwenye 1million kwenye account hawawez kua na mentality sawa , unaweza jua aina ya personality ya mtu Kwa kuangalia anavozijenga hoja zake, the way he/she react to question asked, the way he argue forth and back at particular topics, ukweli mchungu lkn it's the reality.

I have been in the Financial markets world for a very long time,

Someone who say i can't make money in financial markets it's like convincing me that it's a dark night while i can see a sun in a broad daylight , i consider them handsomely stupid idiots,

It take a genius to make money in financial markets and i feel sorry for them not being so!
 
Sawa ila kutumia nguvu kwa watu wengi kutetea inaleta walakini Bora hata wanaokaa kimya Kuna uwezekano mkubwa wanapiga pesa kuliko hawa wenye kelele.
 
Big up sana mkuu, keep it up
 
🙄🙄🙄
Hey what do you mean sending these emoji? Nmekuliza upo mkoa gani nijue ili kama upo karibu uweze drop home ,,,,, am having bad feeling about u,

may be you are just another joker like any other, haupo serious, Sorry don't anticipate anything from me. Kila lakheri
 
Bro mbona unakua harsh mzee...it's just kusaidizana tu.. you never know what tomorrow takes you got it right 👍?.. Goodluck bro
 
Iyo ema 200 Ni ukweli,ujue strategy sio ishu Bali uimara Ni kichwa chako,your mindset,your attitude,your mind frame Basi. Ishu kubwa Ni kichwani Ila strategy mtu akikuambia Ni ya kijinga mno yaani mno utashangaa. Kuna Ile kiss i.e keep it simple stupid or keep it straight and simple or simple and sweet
 
Bro mbona unakua harsh mzee...it's just kusaidizana tu.. you never know what tomorrow takes you got it right 👍?.. Goodluck bro
Dah sorry, you know hizi emoji zna emotions perception , i thought you were trolling my messages,

Samhn bwana mdg, don't hesitate to hit me up on February 2023 , I'll be delighted to help you coz ntakua na free time ya kutosha.

I've been seeing you since umeanzsha thread, also pm me your emails I'll send you a book worth reading, Incase you want to purchase it it's only $100+ on Amazon buh I'll give t 2 you for free you have nothing to lose pal,
Pia Kuna mtu kanivuruga apa am not in the right mood smh i overeacted
 
Wewe ulijuaje kuwa ni real account na sio cent account ?

Unajua kuna broker cent account inaandika real account?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
How did you know if it was a real trading account

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Haijlaishi kama ni real ,cent or demo suala ni je inawezekana au haiwezekani, ni risk or sio risk , ipo ivi unakuta nina acc ya usd 5000 ninatenga profit usd 500 labda naitrade NFP, au FOMC Full margin AU setup yoyote full margin, flip it from 500-5000 in two trades, then 5000-50000

Na sio hand earned money uzifanyie ivo utaiona fx ngumu, 1:3000 acc ya 500 usd nafunguwa 10+ lot ni do or die
 
Una milongo ama decades ngapi mkuu labda please. Umeandika kwa mihemuko fulani ama Kama ego inakusukuma fulani. Yaani arrogance fulani naiona. Mie nadili na your subconscious mind and what you're talking
Soma ulete hoja hamna kitu huko
 
Huwa naamini kwamba,"short cut,always is the wrong cut"
Hizi story tumeisha zizoea,ni nadra sana watu kueleza michongo ya kupsta pesa,watu wakigundua sehemu Kuna "mgodi"(fulsa) wa dhahabu,watachimba kwanza kimya kimya,wapige pesa,hakuna hatakae weka hadharani!!
Mpaka ugundue mwenyewe.
Kwenye mihangaiko yangu ya ku hustle,niliwahi kufika kwenye makampuni yanayochimba madini,kule watu wanalipwa vzr sana,sasa nikawauliza nitaingiaje huku,zikaanza story ndeefu.wao wenyewe Wana mtandso wao,Kuna watu wanapiga kazi kuanzia bongo,SA,west Africa,wao ni kuluka na pipa tu,Hawa jamaa Wana ujuzi wa kawaida tu,lakini hawaweki wazi jinsi ya kupata!Ili kila mtu afaidike.
Sasa nikapiga hustle zangu,nikaingia,kule ndani nikakutsna na jamaa yangu,siku zote Niko nae kitaani,nilikuwa najua yupo huku anapiga mpunga balaaa!!
Nikajuuliza kwanini hakuwahi kuniambia huu mchongo?
Aliponiona akashituka,ebwana vipi,mbona ukuniambia kwamba unakuja huku,?
Nikasema nilikuwa nasubuli niingie kwanza bro!
Watu wakiwa kwenye asali hawasemi hadharani!
Sasa Hz kelele za forex ni upuuzi tu,piga pesa tuone kwanza,kizuri kinajiuza,kibaya kinajitembeza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…