The Mafia
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 257
- 545
Forex itakuwa ni real pekee kama nyie gamblers msiojitambua kuandika Uzi kulazimisha watu waamini mnachoamini.
[emoji117]Inakuwaje unatumia nguvu kuaminisha watu insteady stay at your room making money and cash out.
[emoji117]Kwa nn mnakuwa wapumbavu kiasi cha kupost mpaka faida ,means forex traders 99% ni washamba ukiwaangalia ulishwai kuona wahindi wakipost amount wanapata per day na hao ndo wanatuburuza kwa pesa.
[emoji117]Roho za binadamu tunazijua kabisa hawezi kuelewa kitu wewe mtu baki bila ya kunufaika ,ni kwamba ukiitwa kwney fursa wewe ndo fursa.
[emoji117]Usichokijua forex ni emotional oriented na iko kukamata akili kwanza ili ulipigwa bado unaenda kusema ipo siku kama betting behind the scene ni kwamba akili yako ishatekwa ndo maana vitabu vingi viko kuandaa emotional na soko .kila forex guru atakuja na story nishwai kupigwa pes ndefu hata $10,000 na zaidi ili wewe ulipigwa na mbele unaona giza uzidi kuhold na kuendelea huku ukiwa na matumaini lukuki.
[emoji117]Tunajua matajiri wengi hata shabiby juzi kasema at 19 years alikuwa na ndinga ila hajawai sema katoa wapi ,ila ni forex tu mtu anakuambia pesa hizi nimetoa kweny forex.
[emoji117]Forex lazima ipigiwe promo coz wanaonufaika ni dealer na players kweny soko ambao wengi hawana risk za moja kwa moja ,Watu hao ni mentor/coacher, brockers, writers wa vitabu na wazee wa IB( refferal link) hawa wa kusambaza link kama IB( introducing broker) na ndo bongo wako kibao hata mentors wanakuforce unatrade na broker wao.
Niko kwney industry kitambo madogo wengi mmetoka chuo na emotional ndo maana mnaaminishwa vitu havipo..Sio mchongo forex ni mchongoma
Hawa matajiri bongo wote kwa kiasi fulani wapo kweny cycle moja unaweza usijue ila ukweli nakusanua ni ngumu big deals zote wasitambua na wanapeana shavu kwa kiasi fulani ila aliyenacho aongeze ..Nina maana diamond ana ukaribu na Mo dewji ,mzee mengi ( marehemu) hata vunjabei ..
So Nina maana gani?[emoji117] Kama forex ingekuwa mchongo hao wangekuwa vinara maana hata Mo dewji mchongo wa cryptos anaujua angewatonya ila kwa bongo ni uongo hata Mimi katika kumshirikisha ubongo forex unajikuta kama chini unajaza mastatus ya magraph kwamba umepiga pesa kama kichaa kwa nn ni forex tu? Kuna walakini mahali.
Usikae ukadanganya watu watakuwa pumbavu kabisa forex regulations zake am pretty sure ziko swa na za betting.
Povu ruksa!!
Aisee nimesoma apa ad cha kukujibu sina, ila ukiachana na masuala ya emotion kuna itikadi pia, kila mtu ana itikadi zake na vile anavyoichukulia fx, ila amini usiamini kuna watu hapahapa bongo wanapiga hela vibaya mno kupitia fx, sema hawana makelele kama sisi, wao wanapiga kimyakimya, nna ushuhuda wa mtu ana position 5 zinasoma $100,000, zingine $200,000 na sio demo ni real mze... ila najua ni ngumu mtu kukupa mfumo wake, tafuta mfumo wako, nlimuuliza bro unatumia strategy gani, akanijibu EMA 200, lakn sio kweli ni kwa sababu na mm naitumia hiyo 200ema, lakin ainipi matokeo kama yake....