Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

Trade live angalau miaka mitatu ,ndio uje na mrejesho
 
Si ushuhuda ni uhalisia hata nikifeli haiifanyi forex kuwa uwongo, ila nnachoamini siwezi kufeli nitapambana na saikolojia yangu sipambanani na market
Hakuna mahali nimesema sio real , Forex ni real kwa wale wanaonufaika nayo , Umesema upo kwenye Demo na hujawahi trade live account na ushaanzisha uzi tayari ni mapema sana , Kakomae na real account nakupa miez sita tu utaelewa point yangu.
 
 
Hakuna mahali nimesema sio real , Forex ni real kwa wale wanaonufaika nayo , Umesema upo kwenye Demo na hujawahi trade live account na ushaanzisha uzi tayari ni mapema sana , Kakomae na real account nakupa miez sita tu utaelewa point yangu.
Uzi huu utachangia kunipa will power thats what im looking for
 
Usiwe unaweka 1M at least weka 10M au 20M up to 50M ili ukipoteza akili ikukae vizuri
Sasa ndo kipato changu ningekuwa nayo ningeweka 10ml natrade comfortable ,uzuri ninkwamba sijachoma kwamba siijui forex la ni kutokana na human nature zangu nimetawaliwa na hasira sana Forex imenifanya nijitambue mi ni mtu wa hasira japo nilikuwa najionaga kawaida
 
Pole sana mkuu
 
Bro ningekua na hela mingi nisingeumiza kichwa kutafuta side hustle, na sijaona mahali nimeimba hizo pambio, ninajaribu kusikiliza maoni ya like minded but your not the one.
Sawa mkuu nimekuelewa, all the best
 
Na uzuri zile nyuzi za malalamiko kuhusu Forex zote nilizisoma, zipo zingine zlikuwa zinafutwa lakini 70% ya nyuzi nilibahatika kuzisoma.

Unaweza ukawa unapita na mbinu mpya tofauti na wale mashuhuda kuepuka kuchoma account na hicho ndio kikawa kinakufanya uone wale wa mwanzo kuna mahala walikuwa wanakosea

Ila huo mchezo una risk nyingi sana (japo na faida inadai2a kuwa kubwa) lakini hasara yake kama ni pesa basi huwa ni kipande.
 
Forex ni kama betting tu.... Kazi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…