The Mafia
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 257
- 545
Ulikuwa na greed mno nadhani lot size kubwa halafu bila ya sl.
Sahihi kabisa, nliingia na lot size ya tembo, position 6, without sl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa na greed mno nadhani lot size kubwa halafu bila ya sl.
How did you know if it was a real trading account
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwenye Forex don't trust these cheap greed.Duh bro ali login platform yake, na nkaona sio cent ni real
Kwenye Forex don't trust these cheap greed.
Kuna cent accounts Zina real badge
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Poa ka mkubwa, sema hili game tofauti na unachoongea machimbo ukiziotea tu ushawin, sema huku inahitaji miaka kadhaa ya kuliwa, kula, kupata na kupoteza kiufupi uzoefu, pia ujuzi lazima iwe na akili mingi sio huo wa kawaida wa kuchimba madini, sema nikizishika hautaona ngonjera zanguHuwa naamini kwamba,"short cut,always is the wrong cut"
Hizi story tumeisha zizoea,ni nadra sana watu kueleza michongo ya kupsta pesa,watu wakigundua sehemu Kuna "mgodi"(fulsa) wa dhahabu,watachimba kwanza kimya kimya,wapige pesa,hakuna hatakae weka hadharani!!
Mpaka ugundue mwenyewe.
Kwenye mihangaiko yangu ya ku hustle,niliwahi kufika kwenye makampuni yanayochimba madini,kule watu wanalipwa vzr sana,sasa nikawauliza nitaingiaje huku,zikaanza story ndeefu.wao wenyewe Wana mtandso wao,Kuna watu wanapiga kazi kuanzia bongo,SA,west Africa,wao ni kuluka na pipa tu,Hawa jamaa Wana ujuzi wa kawaida tu,lakini hawaweki wazi jinsi ya kupata!Ili kila mtu afaidike.
Sasa nikapiga hustle zangu,nikaingia,kule ndani nikakutsna na jamaa yangu,siku zote Niko nae kitaani,nilikuwa najua yupo huku anapiga mpunga balaaa!!
Nikajuuliza kwanini hakuwahi kuniambia huu mchongo?
Aliponiona akashituka,ebwana vipi,mbona ukuniambia kwamba unakuja huku,?
Nikasema nilikuwa nasubuli niingie kwanza bro!
Watu wakiwa kwenye asali hawasemi hadharani!
Sasa Hz kelele za forex ni upuuzi tu,piga pesa tuone kwanza,kizuri kinajiuza,kibaya kinajitembeza,
Yaani ukiweza ku control only two human emotions i.e fear and greed Basi you're done with trading. But it's very very difficult na ndio Mana zinatawala watu wanakuja kusema kuwa Ni scam Mana Ni gambling. Yes everything is gambling nothis quite white/black Kama tulivyoaminishwa tukiwa wadogoSahihi kabisa, nliingia na lot size ya tembo, position 6, without sl
Bro kwema?? Nahitaji ushauri wako kwenye trading with real accountYaani ukiweza ku control only two human emotions i.e fear and greed Basi you're done with trading. But it's very very difficult na ndio Mana zinatawala watu wanakuja kusema kuwa Ni scam Mana Ni gambling. Yes everything is gambling nothis quite white/black Kama tulivyoaminishwa tukiwa wadogo
Unaweza ukapoteza shilingi ngapi hapo ulipo na usipate maumivu ndio Kuna hup mitihani. Utauweza kweli hilo pepa ama umeshafeli.Bro kwema?? Nahitaji ushauri wako kwenye trading with real account
Bro kwema?? Nahitaji ushauri wako kwenye trading with real account
Unataka kuingia huku?Bro kwema?? Nahitaji ushauri wako kwenye trading with real account
Unataka kuingia huku?
Una kifua bro?View attachment 2514022
Kifua nnacho sana mzee nataka niingie kwa akili sana ... nshatrade demo account for one year ma zaidi na kwa pair moja tu..Unataka kuingia huku?
Una kifua bro?View attachment 2514022
bro ups and downs psychologucally nNa experience za kuchoma sana tu back in the days nilikua na mtaji mdgo na knowledge ndogo nw nimepevuka ni mtu mzima thats why nikakuquote ww mana najua unaelewa game kundani na falsafa zake..Unaweza ukapoteza shilingi ngapi hapo ulipo na usipate maumivu ndio Kuna hup mitihani. Utauweza kweli hilo pepa ama umeshafeli.
Pia hii mie sitaki kutoa ushauri Mana unaweza ukapoteza kila kitu ulicho baadaye ukaja kunishauri Ila sijajua how much or to extent you're a risk taker. Hii unahitaji wale watu wenye roho ngumu ya kujilipua. Mfano wake vijana waliptoka bukoba wakiwa kwenye chasis wakakamatiwa geita,Kuna mkenya Alibana kwenye tairi la ndege mpaka Amsterdam,Kuna wanaija watatu walibana kwenye sehemu gani sijui ya meli mpaka wakafika ulaya siku 11 majini.
Hii ishu Ni ma risk taker wenye kwa mbali Kama gambler's mentality sema huku huendi kindezi unatafuta odds ambazo zitakuwa in your favor. We're making money trading by having an edge over the market. We're getting rich slowly. Yaani katika trades buku unaweza ukapata loss 600 wins 400 Ila hizi wins zinakuwa more than twice of what you lost. It isn't magic but it's numbers game.
Jaribu kurusha coin juu zaidi uwe unarekodi heads and tails Mara 1000 then rekodi heads and tails. So ucheki kuwa ungekuwa unapata twice ya unachopoteza kwa upande ambao sio wako ndio ujue uta gamble kiasi gani ili usije ukapoteza mtaji ili uweze ku gamble kwa muda mrefu.
Mkuu Ila hii sikushauri Mana inaweza ikakuendesha badala ya wewe kuindesha Ni long term life endeavor na sio kuwa utazama leo ndani ya mwaka umeki money. Think about making money after 5yrs of days and nights studying and practicing until knowledge transform into intuitive wisdom.
Kuna muda Kama sio kobe Bryant ama Michael jordan alifanya tizi mpaka asubuhi alikuwa ana shot target ili kujenga connection between hands and mind to the basket.
Sio career laini laini kwa watoto laini. Ila binafsi sikushauri uingie humu mkuu ungecheki ishu zingine za kufanya kwa maoni yangu. Yaani njia nilizopita kila kitu kikichukuliwa toka kichwani mwangu siwezi rudia kukomaa.
It's very painful journey Mana tunapiga a bila ya kuwa na mtu wa kukushika mkono ujue ama kukupa maelekezo.
Are you ready to die with nothing while your dream zikiwa Ni trading success. Mie nishajitoa Ni Bora nizeeke ama niwe mzee wa kawaida tu uzeeni mwangu ili tu niishi hili life. Mbona watu wanakufa wakiwa wadogo so I have nothing to lose labda wanangu watakuwa Kama watt wa peasant.ama uzeeni naomba ulinzi. Ila naamini haitotokea Mana Kuna progress ama kitu nakiona kinakuja.
Sema I really hate this so called normal life. I don't want to die normal.yaani kwenye kifungo Cha 9/5 jobs nisubirie pension kagari kanyumba kamoja no Ni Bora niwe nakuoshea gari lako ama nakufungulia mpango Ila to I was fighting for my dreams to come true. I was ready to dedicate more than even 20yrs just to make sure kuwa I figure it out this assshole shiiit
Try binary/derivKifua nnacho sana mzee nataka niingie kwa akili sana ... nshatrade demo account for one year ma zaidi na kwa pair moja tu..
nishatrade real account templer kama miaka minne nyuma ila nikawa bize na harakati nyingine za kutafta hela so sikua makini sana huko kwa forex..
ila nw nataka nirudi kwenye gane rasmi so swali langu kwa mnaotrade real account kwa muda mrefu ni je hakuna any chart manipulations kati ya real na demo??
Je inaweza kutokea broker akablock account ukashindwa kuwithdraw?
keisangora
Thanks but tryn new things mzee bora ambayo tayari nna experience nayoTry binary/deriv
Kimsingi strategy na chart ni ile ile mkuu.Thanks but tryn new things mzee bora ambayo tayari nna experience nayo
Upande wa brokers vp mkuu hawana michezo yoyoteKimsingi strategy na chart ni ile ile mkuu.
Huhitaji kitu kipya saana
Vitabu vyote hivo nishasoma mkuu siko empty kivile kwenye nshu ya kuingeza maarifa.... vitabu ya kiyosaki vyote nimesoma niko 4m 6 huko... hivyo vya huyo think and grow rich series zake nimesoma.. maisha tu katkat hapa yalikeep busy sana nikatoka nje ya mstari so nw ni kurudi kwenye game kuapply knowledge kwenye industry ya forex...Ktk live uko tayari kuunguza mara ngapi au niiweke je uko tayari kukosea mara ngapi itakacho kupelekwa kuunguza account ambayo unauwezo wa kuifund.
Mfano unaweza kufund Dola 50 au 100, je unaweza kustahimili kuunguza account hizi hata mara 50 ukiwa ktk hatua ya kuifahamu Forex ili uwe independent profitable trader?
Hakuna kitabu,guru ,online course itakayokufundisha vizuri zaidi kuhusu market bali market yenyewe.
Hebu soma kitabu cha think and grow rich , pia unaweza soma kitabu cha the greatest sales man of the world pia unaweza soma kitabu cha the richest man in Babylon .
Hivyo vitabu havihusiani na Forex Ila vinaweza kukupa ajili chanya na kukuandaa kisaikolojia kuhusu mafanikio Kwa ujumla wake .
Kifupi Forex ni ngumu Ila kama umejitoa ingia bila kumtegemea yoyote ,nenda wewe kama wewe.
Chukua demo from $10k mpaka $100k or $1M baadaye ndio ujitathamini. Poa nishakuelewa mkuu. Subiria kwanza Mana hizi Mambo sio za kukurupuka. Muda huo fanya iyo tizi niliyokuambia.pia trade kwa relative drawdown ya 4% of your equity. Pia usiweke trade bila ya sl ,uwe una risk not more than 1% ya akaunti yako.bro ups and downs psychologucally nNa experience za kuchoma sana tu back in the days nilikua na mtaji mdgo na knowledge ndogo nw nimepevuka ni mtu mzima thats why nikakuquote ww mana najua unaelewa game kundani na falsafa zake..
Mimi natrade pair moja tu baas na hizo nyingine sigusi kabisaaa nascalp few pips only two or one trade a day inantosha kwa pair yangu nshatrade account demo for 1000$ kama tatu nikapandisha nikachoma nikaanza tena moka so kiaina nna idea... nasita kuweka mpunga mrefu i want to make it my career
Fanya tafiti za brokers ,kudhamini sio kigezo kutokuwa na uhuni. Mana huko watu wanahitaji hela so kudhamini anatangaza analipa watu wamuoneBroker hapana Hana shida,Ila usiitumie broker anayetokea Africa . Tumia broker WA uhakika mfano FBS anadhamini timu ya Mpira ya premier uingereza,au Pepperstone na broker wengine kadhaa.
Kila heri