Forex Trade imeniumiza

What happen is
Unasema "daah hapa nimekosea kidogo, ngoja niweke nideposit tena, safari hii nitakua makini"
And you become fucked up again
mpaka unasema umetegewa wewe tu Why always me πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜₯πŸ˜‚
 
Ikiwa zilikuwa za urisi kwa hiyo aendeleze maombi ili apate misiba zaidi au sio?
Sio urisi

Urithi

Hivi mtu unawezaje kusoma madarasa saba ya msingi na manne au sita ya sekondari na bado hujui kuandika?

Wazazi wako walikuwa yani hawajali lolote la shule yako, wanakuangalia tu ?
 
Achana na hawa waliokaririshwa na mamentor kwamba indicator ni useless ktk fx. Hakuna best strategy kwenye fx kila strategy ina work. Kikubwa ni saikolojia yako tu.
Yaan nilichoka na majibu Yao nikapuuza,ukiona mtu anaponda indicator bc kashindwa kuitumia
 
Guys naomba maoni kuhusu huyu broker, naona watu wanamsifia na anatrend sana

bit.ly/33VMRCL
 
Sio urisi

Urithi

Hivi mtu unawezaje kusoma madarasa saba ya msingi na manne au sita ya sekondari na bado hujui kuandika?

Wazazi wako walikuwa yani hawajali lolote la shule yako, wanakuangalia tu ?
K la mama yako wazazi wangu wanaingiaje hapa msssenge wewe!

What do you know about my education background? I have far better education than the whole of your ancestors combined!
 
Nilikuwa natumia inchimonku kinko hio kuwatisha watu wanuliza iyo nini alafu nakuA bize unyama ni EMA
NA MA30
Cdhan m indicator moja tu inwz kutosha,ni vzr ktumia indicator zaidi ya moja kupqta strategy yako
 
K la mama yako wazazi wangu wanaingiaje hapa msssenge wewe!

What do you know about my education background? I have far better education than the whole of your ancestors combined!
Elimu yote hiyo lakini bado hukujua kuandika neno "urithi" ?

Unasema "urisi" kwenye jamvi la wazi kama hili, halafu ubishe kwamba usomeshwaji wako haukuwa neglected ?
 
Forex ni kama kamari ya kistaarabu, kuna kupata na kupoteza.
Maisha haya yenyewe kamari kuna kuzaliwa,kuishi na kufa

Unalikubali hilo!?

Ndoa yako ni kamari tu[emoji2]

Kazi uliyoajiriwa na kamari ukizingua unatimulia anytime

Biashara unayofanya huko kitaa ni ksmari tu muda wowote chumaulete wanapita na wewe au moto unapita na wewe.

Everything starts with what your brain decides in which way u intend to perceive something.
 
Elimu yote hiyo lakini bado hukujua kuandika neno "urithi" ?

Unasema "urisi" kwenye jamvi la wazi kama hili, halafu ubishe kwamba usomeshwaji wako haukuwa neglected ?
Mimi nasikitikia zaidi walio neglect kukufunza adabu na kubakia kutukana watu tu unnecessarily na ikapelekea kuwatukanisha na wao.

Uwache ujinga wa kutukana watu ovyo, kama kweli unajiona umeelimika!
 
Mimi nasikitikia zaidi walio neglect kukufunza adabu na kubakia kutukana watu tu unnecessarily na ikapelekea kuwatukanisha na wao.

Uwache ujinga wa kutukana watu ovyo, kama kweli unajiona umeelimika!

Kusema elimu yako ilikuwa neglected sio tusi.

Unaachwaje hujui "urisi" sio "urithi" ?
 
mkuu nikiwa na 1m naweza ifanya hyo biashara ikanipa matokeo mazuri??

mwongozo please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…