Forex Trade imeniumiza

Umemaliza mkuu asipoelewa hapa basi. Na ni kweli anaonekana mgeni wa game YAANI $1000 kuwaka moto unachanganyikiwa asee??? Wengine tukikueleza tuliyopitia katika forex kuamini kwako itakuwa vigumu sana.
Haha the trading journey is a rollercoaster,we just have to enjoy the ride I hope ameelewa mkuu
 
Ushafika USD 1000, kwanini hukutoa capital yako ili ubaki nayo ile faida ndo ufanye mtaji ?
 
Kumbuka kuweka stop-loss na pia usirisk mtaji wako zaidi ya 2%! Alafu wengi wanakosea kuweka wanawekaga entries zao karibu na pullbacks aisee haya huwa yanachoma account faster mno kama hujui kuya tredi.

Big Boys sio mafala wale, ni wakwenda nao kwa akili mno yaani katika biashara zinazohitaji kutumia akili nzuri timamu na umakini mkubwa sambamba na ku monitor psychology yako mwenyewe basi ni hii ya Forex...
 
Mnajipaga sana matumaini mkisha pigwa. Endeleeni kupigwa tu na vijichange zenu hamna namna kwasabab hamsikii. Ungekuwa mjanja ungelima hata kabustani kambogamboga uwani kwa shemeji yako ungetoka kiaina na kukuweka busy.
 
Forex ni kamali. Hata usome vipi utaunguza tu! Hakuna biashara ya hivyo.
 
Hasara ya kilimo au biashara nyingine ni tofauti na ya forex. Forex unaunguza mtaji wote wakati wowote lkn biashara nyingine angalau waweza kupata hasara lkn kuna mtaji utasalia.
 
Forex ni kamali, FULL STOP.
Kuna watu wanajiita wataalam na wamefanya hiyo kitu miaka mingi na bado wanaunguza mara kwa mara! Bora kubeti.
 
Forex siyo biashara, ni kamari.
 
Hasara ya kilimo au biashara nyingine ni tofauti na ya forex. Forex unaunguza mtaji wote wakati wowote lkn biashara nyingine angalau waweza kupata hasara lkn kuna mtaji utasalia.
Unaunguzaje acct yote kwa pamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…