Jana ilishuka pips 70 in 3 minutes [emoji119]. Juzi ilifanya the same in 2mins, yaani ukitaka kuunguza account trade Gold bila stop loss, halafu tumia lot size kubwa[emoji23][emoji23]Last week was hell... mi natrade pair moja tu Gold pekee.. nilipigwa za uso nikaclose trade zote mpaka leo sijaingia trqde yoyote sababu sijaona setups za kuelweka
Mwaga lot wacha uogaJana ilishuka pips 700 in 3 minutes [emoji119]. Juzi ilifanya the same in 2mins, yaani ukitaka kuunguza account trade Gold bila stop loss, halafu tumia lot size kubwa[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mnajaribu kutrade binary/deriv?Gold tamu sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Kila pair inayotema pesa sana ni hatari sana piaJana ilishuka pips 700 in 3 minutes [emoji119]. Juzi ilifanya the same in 2mins, yaani ukitaka kuunguza account trade Gold bila stop loss, halafu tumia lot size kubwa[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
BoomGold tamu sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Hizi indices hazitaki mtaji mkubwa sana kama currencies? Naona watu wanatumia mitaji sungura tu
Mkuu nipe tip kuna mdogo wangu nae alinipa tip juzi yani hio ni tamu sana inatii muelekeo ikianza inaelekea huko huko haibounce back kirahisiMnajaribu kutrade binary/deriv?
Huko ni kutamu zaidi.
Kwasasa nina trade Boom 300 na Crash 300
Hawa wadudu wanatema dola sana
Lot size ndogo posho mlima😅
Hizi ukiwa mjanja kuanzia $10 una grow mtaji vyema tuHizi indices hazitaki mtaji mkubwa sana kama currencies? Naona watu wanatumia mitaji sungura tu
Ndio za kuishi nazo hizi😅Hizi ukiwa mjanja kuanzia $10 una grow mtaji vyema tu
O.2 kwa boom au crash 300 ni kubwa sana mkuLot size ndogo posho mlima[emoji28]
Aisee how to trade on it msee?O.2 kwa boom au crash 300 ni kubwa sana mku
Jambo la kwanza kabisa nimetengeneza strategy zangu ambapo nina trade Boom na crash 300, 500 na 1000 tu.Aisee how to trade on it msee?
So it means kuchoma ni nadra au sioJambo la kwanza kabisa nimetengeneza strategy zangu ambapo nina trade Boom na crash 300, 500 na 1000 tu.
Katika hizi nimezijulia 100%
Trends na bihavya zake.
Hizi huu zina uelekeo mkuu mmoja tu so zinapogeuza huwa zinageuza kwa ku pull back tu ili kujipanga kurudi katika uelekeo wake.
Faida muhimu unatrade kila siku 24/7
Very rare...tamaa pekee ndio itakuchomesha akauntSo it means kuchoma ni nadra au sio
Kwa kweli na mie naona,hii kitu ni kama ina addictions mbaya kuliko Heroin
Haya mambo ya trading umeanza lini unatafuta kupigwa sio mudaMkuu nipe tip kuna mdogo wangu nae alinipa tip juzi yani hio ni tamu sana inatii muelekeo ikianza inaelekea huko huko haibounce back kirahisi
Hahahahahah usimuamini mwanasiasa bro😅Haya mambo ya trading umeanza lini unatafuta kupigwa sio muda
Hahaha hakuna biashara isiyo na hasara.Njoo kwenye crypto.....hutojuta!!!!