Forex Trade imeniumiza

Forex Trade imeniumiza

Last week was hell... mi natrade pair moja tu Gold pekee.. nilipigwa za uso nikaclose trade zote mpaka leo sijaingia trqde yoyote sababu sijaona setups za kuelweka
Jana ilishuka pips 70 in 3 minutes [emoji119]. Juzi ilifanya the same in 2mins, yaani ukitaka kuunguza account trade Gold bila stop loss, halafu tumia lot size kubwa[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Gold tamu sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Boom
Screenshot_20220408-165840_MetaTrader%205.jpg
 
Mnajaribu kutrade binary/deriv?
Huko ni kutamu zaidi.
Kwasasa nina trade Boom 300 na Crash 300
Hawa wadudu wanatema dola sana
Mkuu nipe tip kuna mdogo wangu nae alinipa tip juzi yani hio ni tamu sana inatii muelekeo ikianza inaelekea huko huko haibounce back kirahisi
 
Aisee how to trade on it msee?
Jambo la kwanza kabisa nimetengeneza strategy zangu ambapo nina trade Boom na crash 300, 500 na 1000 tu.

Katika hizi nimezijulia 100%
Trends na bihavya zake.

Hizi huu zina uelekeo mkuu mmoja tu so zinapogeuza huwa zinageuza kwa ku pull back tu ili kujipanga kurudi katika uelekeo wake.

Faida muhimu unatrade kila siku 24/7
 
Jambo la kwanza kabisa nimetengeneza strategy zangu ambapo nina trade Boom na crash 300, 500 na 1000 tu.

Katika hizi nimezijulia 100%
Trends na bihavya zake.

Hizi huu zina uelekeo mkuu mmoja tu so zinapogeuza huwa zinageuza kwa ku pull back tu ili kujipanga kurudi katika uelekeo wake.

Faida muhimu unatrade kila siku 24/7
So it means kuchoma ni nadra au sio
 
Back
Top Bottom