Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha amini kwamba wanaotrade ili wafanyie show wanakutanaga na vitu vizito...Ulivyodouble acc ungetoa deposited amount. Tatizo mnatrade ili mfanyie show off hizo digits zinazoonekana kwenye Trading platform.
- "Trade to withdraw"
- Risk only 2% of your equity.
- Follow the plan and plan will trade for you
Mkuu hivi ww ndo mihayo wa mwanza? Tulikua group moja la fx back then 2017 na kina young millionaire, na mwalimu wetu mzee wa renko chart?Hiyo ni real maana hawachelew ni demo sijui nini...ninawafahamu watu wanapiga pesa zaidi ya 5k per month kupitia hiiView attachment 2301747
Hahahaaa hii kali.Wewe ni kama motivation speaker..!!
Kuna jamaa huko huwa anazunguka kwenye semina za vijana ili kuwahubiria vijana wajiajiri, ila yeye ni mwajiriwa wa Sido.
Kwahiyo Kazi yake ni kuhamasisha vijana wajiajiri kupitia jukwaa lililomwajiri yeye la SIDO.
#YNWA
utajiri hauji kirahisi,ilibidi nipitie hii hatua ili nipate hasira,sasa najifua kama mandonga ,sasa ni mwendo wa stop loss tu na disciplineTrend is you friend mijicho kama hujui pakuset stop loss hujui kutrade kaka....
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu unatumia strategy ipi ?utajiri hauji kirahisi,ilibidi nipitie hii hatua ili nipate hasira,sasa najifua kama mandonga ,sasa ni mwendo wa stop loss tu na discipline
Niko najifunza bado hii kitu wanaota ema,trend lines na zones combined ,naona mentor wangu anatumia hizo
Fanya utafiti vizuri jijue ww ni mtu wa aina gani. Kisha fanya utafiti wa aina za traders Kuna scalper, day trader, swinger na positional traders...afu muulize mentor wako ni aina gan ya trader....sio Kila mentor anaweza kuwa mentor Bora kwako...ukimaliza hatua hizi weka juhudi binafsi....utatupa mrejesho baada ya kuyafanyia kazi haya yoteNiko najifunza bado hii kitu wanaota ema,trend lines na zones combined ,naona mentor wangu anatumia hizo
sawa sawa nashukuru sana kwa ushauriFanya utafiti vizuri jijue ww ni mtu wa aina gani. Kisha fanya utafiti wa aina za traders Kuna scalper, day trader, swinger na positional traders...afu muulize mentor wako ni aina gan ya trader....sio Kila mentor anaweza kuwa mentor Bora kwako...ukimaliza hatua hizi weka juhudi binafsi....utatupa mrejesho baada ya kuyafanyia kazi haya yote
NonsenseUlisoma kipengere cha psychology of trading and risk management kule babypips.com au investopedia.com ?? Demo ulifanya Demo account Kwa kipind cha muda Gani na Broker tofaut tofaut ?? Miaka mingapi imejatika tangu uanze kujichimbia kujua The secret in side of foreign exchange ? Unawajua market makes na ECN Broker you mzuri na yupi hafai ...??? Ulikuwa unajua nn una trade bond, currency, stock, commodity au future etc ?? Inshort huwezi kuwa Dokta bingwa bila kupitia procedure ya uhakika ili kuakiki kile ufanyacho,, huwez kuwa ruban kisa flan namjua kawa ruban unajua Time gn Ali spend to understand what's going on ? ? Piga book kiongozi, hii sio betting Wala Biko, kwenye betting hakuna risky management and over trading lkn huku ipo chakwanza it's must capital ikindwe ndio maana kun S.L na T.P .....!!! Soma kk jifunze kwa waliofanikiwa kina George Soros na wengine uone wakianzaje ukikaza ipo siku utareta mrejesho JF .....!!!! Myself imetimia kiaka 4 na miez yk kujua ukweli wa forex I thanks God blessed my forex journey 1.2 million kwa week ni uhakika kwa elimu yng ya 7.
kiufupi babypips.com sasa ndio kama darasa langu,plus nimeanza kujua risk management na namna ya kuweka hizo sl,tp.Now i know some working strategies at least kwa kiasi fulani, pia kuna hizi challenges za ftmo,or myforexfund.com ,nimeanza nazo mdogo mdogo ili niweze kupata mtaji mkubwa wa kutrade.All in all safari inasonga ingawa nimepigwa pigwa tena hapa kati ingawa vi amount vidogo.Tutafika tuUlisoma kipengere cha psychology of trading and risk management kule babypips.com au investopedia.com ?? Demo ulifanya Demo account Kwa kipind cha muda Gani na Broker tofaut tofaut ?? Miaka mingapi imejatika tangu uanze kujichimbia kujua The secret in side of foreign exchange ? Unawajua market makes na ECN Broker you mzuri na yupi hafai ...??? Ulikuwa unajua nn una trade bond, currency, stock, commodity au future etc ?? Inshort huwezi kuwa Dokta bingwa bila kupitia procedure ya uhakika ili kuakiki kile ufanyacho,, huwez kuwa ruban kisa flan namjua kawa ruban unajua Time gn Ali spend to understand what's going on ? ? Piga book kiongozi, hii sio betting Wala Biko, kwenye betting hakuna risky management and over trading lkn huku ipo chakwanza it's must capital ikindwe ndio maana kun S.L na T.P .....!!! Soma kk jifunze kwa waliofanikiwa kina George Soros na wengine uone wakianzaje ukikaza ipo siku utareta mrejesho JF .....!!!! Myself imetimia kiaka 4 na miez yk kujua ukweli wa forex I thanks God blessed my forex journey 1.2 million kwa week ni uhakika kwa elimu yng ya 7.
Broker mzuri kwa sasa ambaye naona hata to/from sending money ni rahisi kuna huyo anaitwa exness naona intergration yao na mpesa ni dk sifuri tu.kiufupi babypips.com sasa ndio kama darasa langu,plus nimeanza kujua risk management na namna ya kuweka hizo sl,tp.Now i know some working strategies at least kwa kiasi fulani, pia kuna hizi challenges za ftmo,or myforexfund.com ,nimeanza nazo mdogo mdogo ili niweze kupata mtaji mkubwa wa kutrade.All in all safari inasonga ingawa nimepigwa pigwa tena hapa kati ingawa vi amount vidogo.Tutafika tu
Husjar kk ata me nmepigwa xn K.O na cap ndio mindset imeanza kukaa sawa, sasa ninaweza kujifAnyia account management and risk reward to grow my account.....!!! Vumilia Mr Mijicho xku ukipita ha Harrier New Model wasianze shangaa , ukiwambia Forex nao wataingia mzm uko Ndio sekeseke la kupigwa K.O linapoanzia...!!! Xku ya xk forex it's Scam's kumbe hutak kusoma before all ...... Pmj kk tutakutana fukwe za Ibiza Huko duniani xkumoja 🤣😂😂( jks )kiufupi babypips.com sasa ndio kama darasa langu,plus nimeanza kujua risk management na namna ya kuweka hizo sl,tp.Now i know some working strategies at least kwa kiasi fulani, pia kuna hizi challenges za ftmo,or myforexfund.com ,nimeanza nazo mdogo mdogo ili niweze kupata mtaji mkubwa wa kutrade.All in all safari inasonga ingawa nimepigwa pigwa tena hapa kati ingawa vi amount vidogo.Tutafika tu
bado nina tatizo kg kwenye saikologia,Stop loss ma kukubali kuwa trade imegonda stop loss kukubali hapo huwa inanipa shidaHusjar kk ata me nmepigwa xn K.O na cap ndio mindset imeanza kukaa sawa, sasa ninaweza kujifAnyia account management and risk reward to grow my account.....!!! Vumilia Mr Mijicho xku ukipita ha Harrier New Model wasianze shangaa , ukiwambia Forex nao wataingia mzm uko Ndio sekeseke la kupigwa K.O linapoanzia...!!! Xku ya xk forex it's Scam's kumbe hutak kusoma before all ...... Pmj kk tutakutana fukwe za Ibiza Huko duniani xkumoja 🤣😂😂( jks )
Kwani shida iko wp C.E.O Mr Mojicho,,, ukiona trade imeenda your position uitakayo unasogeza S.L main object Capital ixiguswe na Red ♦️ cardbado nina tatizo kg kwenye saikologia,Stop loss ma kukubali kuwa trade imegonda stop loss kukubali hapo huwa inanipa shida
Yap yap its very possible but siokichwa kichwa we unatrade account ya dollar ngapi mtaji kumake 600 per weekUlisoma kipengere cha psychology of trading and risk management kule babypips.com au investopedia.com ?? Demo ulifanya Demo account Kwa kipind cha muda Gani na Broker tofaut tofaut ?? Miaka mingapi imejatika tangu uanze kujichimbia kujua The secret in side of foreign exchange ? Unawajua market makes na ECN Broker you mzuri na yupi hafai ...??? Ulikuwa unajua nn una trade bond, currency, stock, commodity au future etc ?? Inshort huwezi kuwa Dokta bingwa bila kupitia procedure ya uhakika ili kuakiki kile ufanyacho,, huwez kuwa ruban kisa flan namjua kawa ruban unajua Time gn Ali spend to understand what's going on ? ? Piga book kiongozi, hii sio betting Wala Biko, kwenye betting hakuna risky management and over trading lkn huku ipo chakwanza it's must capital ikindwe ndio maana kun S.L na T.P .....!!! Soma kk jifunze kwa waliofanikiwa kina George Soros na wengine uone wakianzaje ukikaza ipo siku utareta mrejesho JF .....!!!! Myself imetimia kiaka 4 na miez yk kujua ukweli wa forex I thanks God blessed my forex journey 1.2 million kwa week ni uhakika kwa elimu yng ya 7.