captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
Pamoja sana mkuuPia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...)
KUTOKANA NA HILI SWALI LAKO, NAKUSHAURI ACHANA NA KUDEPOSIT PESA KWA BROKER NA UJIKITE KUJIFUNZA KWENYE DEMO ACCOUNT MPAKA PALE UTAKAPOJIRIDHISHA KUWA STRATEGY YAKO INAUWEZO WA KUKUPATIA PIPS NGAPI KWA WIKI.
Pamoja sanamkuuTemplerfx
Yeah mkuu na kilimo pia nafanyaBora ukafanye kilimo
HUYU MGENI INAONEKANA NI FRESH GRADUATE KWENYE HII INDUSTRYMambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
Karibu katika ulimwengu huu before nilitumia templer sijajua kama bado anaoperate Maana kuna kipindi alistop nikachana naye.Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
MTFE uhakika sana MkuuHii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nongwa
Kwa anaetiji kuijuwa trading from scra
Hii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nonch