Forex traders naombeni msaada tafadhari

Forex traders naombeni msaada tafadhari

captain 21

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2021
Posts
585
Reaction score
1,185
Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.

Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
 
Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...)

KUTOKANA NA HILI SWALI LAKO, NAKUSHAURI ACHANA NA KUDEPOSIT PESA KWA BROKER NA UJIKITE KUJIFUNZA KWENYE DEMO ACCOUNT MPAKA PALE UTAKAPOJIRIDHISHA KUWA STRATEGY YAKO INAUWEZO WA KUKUPATIA PIPS NGAPI KWA WIKI.
 
Pamoja sana mkuu
 
Hii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nongwa
 
Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.

Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
HUYU MGENI INAONEKANA NI FRESH GRADUATE KWENYE HII INDUSTRY
 
Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.

Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika hali nzuri kdg...
Karibu katika ulimwengu huu before nilitumia templer sijajua kama bado anaoperate Maana kuna kipindi alistop nikachana naye.

Njia sahii ninayo iona saivi ni kupitia Bank ndani ya siku 3 pesa Yako unaipata. Lakini Broker Kama hotforex ana mawakala wake hapa bongo unaweza kucheck nayo..

Kuhusu pips Kwa wiki hilo ni swala gumu sana, Hatujui una trade pair Zipi, Hatujui your risk appetite ikoje. Inshort ni swala la mtu binasfi.

Kwenye hii Biashara unaweza kushangaa wiki ikakatika hujaona set up Nzuri Hata moja , so don't force a trade
 
Hii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nongwa
MTFE uhakika sana Mkuu
 
Kwa anaetiji kuijuwa trading from scra
Hii fx inanichanganya sana mm Kuna jamaa yangu broker wake ni MTFE na ishu ya signal anatumia robot ndo linatrade,ananishawishi niingie huko lkn moyo wangu umekuwa ngumu sana nawaza robot ndo linitengenezee pesa?je kitu hiki ni possible?nahofia inaweza kuwa kudiposit ni simple ila kuwithdraw ikawa nonch
 
Back
Top Bottom