Forex traders naombeni msaada tafadhari

Ni kweli hakuna kitu cha bure.
Ukiamua kutoa bure, wanakudharau.
Sema kuna wengine hawavuni chochote sokoni ila wanapiga mentorship.
Kuna mdau kupitia mentorship anakusanya mpaka 20 million ila in reality anatumia demo.
Dunia ina siri sana.
 
Forbes ya nini mtu akiweza kukidhi mahitaji yake na kuzikaribia ndoto zake ni mwanzo wa ushindi, mi nikifundisha bure huwa sipungukiwi na chochote wala kuongezeka chochote zaidi tu nakuwa na marafiki wengi
 
Hii hata mie naweza nikaichukua nikaituma mahala Kama wewe ulivyotuma mkuu sijakukatalia.
Listen show us that withdraw from your Trading account even show us your one name, au ficha two names ionyeshe zile initial. Zen show up that withdraw amount in your bank account ama uweke hapa your investor password Kama wewe Ni mwanaume. Hasa hasa weka investor password ndio inaondoa mzizi wa fitina. I know all shits in this game Probabily 60%. Hapo nitaamini kweli kuwa unawapenda watu na sio bure na mie nitakupΓ tia wengi uwafundishe na watakulipa. Show us your investor password na pia jina lako ikiwekazana toa photo ya id uliyotumia. Hapo utachukua points tatu muhimu.hata jina la benki umeficha ama ewallet umeficha hatutaki jina lako. Ama niwekee pm
 
nikifundisha bure huwa sipungukiwi na chochote wala kuongezeka chochote zaidi tu nakuwa
Hao marafiki Ni gains pia na wewe unaongeza ujuzi zaidi unapofundisha ,yaani Kama unajua kitu kifundishe ndipo kinapokukaa zaidi una uhakika nacho. Ila weka hapa investor password even at my pm ili nijue wewe Kama sio Kama wasauzi wapakistani na wahindi fulani, Bangladesh, Singapore etc
 
Na lengo langu la kufundisha ni kugain more
 
Na lengo langu la kufundisha ni kugain more
Umekubali kuwa nothing is free lakini. Everything is Trading, you've to accept it whether you like or not.
But bear in mind money Trading isn't about the matter of having more knowledge or best analytical skills.
Taking money out of the market takes more something very BIG than Trading knowledge.
Yaani is just admission fee or entry cost then you've to dive or be surfer in ocean waves.

Na ndio Mana nikakuambia weka investor password hapa ili tuone kweli unafanya
 
Boss nyie ndio mliokata tamaa njiani upo out na uhalisia
 
Uyo bado mshamba[emoji23][emoji23]msamehe bure kachapika huko anakuja kukatisha tamaa bigners
 
Hivi kutoa investors password haipelekei mtu kuwa hacked hapo baadaye?
 
So unaniona nawaza mbususu sio?
Nimeongea nikiwa na Mana kuwa hao jamaa wako konki sio Kama black people tunaowaza mbususu na kula kimasihara,mpira na mziki masaa 24 baadaye tunauza bandari ama nchi yetu kamaa mbuga ,madini,na kila kitu. Wale watu wanawaza kuhamishia watu huko mars even to reach Jupiter and other galaxies
 

Jamaa hao ndo zao utaona wanapata sana ww ukiingia ww za kichwa unakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…