babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Gari bovu linalojitoa ufahamu kupingana.Naona leo umekalia kuti kavu...usinilaumu mimi, kw sababu si husiki na bei ya unga kupanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari bovu linalojitoa ufahamu kupingana.Naona leo umekalia kuti kavu...usinilaumu mimi, kw sababu si husiki na bei ya unga kupanda
Wacha maswali mengi..unga tanzania umepanda sana kw sasa..kilo sai ni tsh 1800, kilo mbili inakuja tsh 3600..
Ksh 160 ni sawia na 3520 kw madafu...
Enhee, umenielewa sasa
Hta failed state vitu hvyo vipo..
Umeona hizo hospitali? Zina hadhi nzuri sasa huku Tzn hospitali za wilaya zina vimajengo kama zahanati au health centre
Kwa nini kusiwe na standard hospitali za ngazi ya wilaya ziwe za ghorofa hadi referral na ngazi ya kata hadi kijiji ziwe za majengo ya chini.tzn inatia aibu,,ukija kwenye ambulance unatafuta kea tochi wakati hizo za kenya unaona majengo na ambulance za kumwaga
Gari bovu linalojitoa ufahamu kupingana.
Gari bovu lililopaki haliwezi nisumbua.
Umeona hizo hospitali? Zina hadhi nzuri sasa huku Tzn hospitali za wilaya zina vimajengo kama zahanati au health centre
Kwa nini kusiwe na standard hospitali za ngazi ya wilaya ziwe za ghorofa hadi referral na ngazi ya kata hadi kijiji ziwe za majengo ya chini.tzn inatia aibu,,ukija kwenye ambulance unatafuta kea tochi wakati hizo za kenya unaona majengo na ambulance za kumwaga
Endelea kujipa matumaini.Mipasho hyo...kamwe haiwezi badilisha hali kw sasa...
Unaota unajua ww??
Sembe ni 1400 bei ya juu kabisa kilo 2 ni 2800 sawa na 126 ksh.
Hiyo ya 1800 kilo umeitoa wapi?
Na hii bei ni kwa Daresalam ili faida ipatikane kutokana na usafirishaji na process zingine.
Lakn vijijini ni chini ya hapo.
Nadhani umenielewa.
Endelea kuota..
Kwenu mmesema mnasagia unga mchafu mbona unazikana kauli zako???
Khaaa mm nina duka la jumla na rejareja unataka kubishana ninayeishi hayo maisha na ww unayesoma tu mitandaoni??
Pole sana
Endelea kujipa matumaini.
Kwa Dar sababu ya eneo finyu lazima wajenge gorofa tofauti na huko wilayaniWewe sio mtanzania.
Katizame Mnazi mmoja refferal hospital,Temeke refferal hospital,kigamboni refferal hospital,Mbagala hospital.
Kwa Dar sababu ya eneo finyu lazima wajenge gorofa tofauti na huko wilayani
Hakuna standard ya majengo,angalia nyingi ya hospital za wilaya ni za majengo ya kawaida lakini hospital ya Tunduma na kilolo ni gorofa sasa huoni hakuna standard ya kufuata?
Mwisho acc.yangu ya choice variable someone has changed to jua la utoni baada ya ku post hiyo comments uliyoiqourte hapo juu na nimeanzisha uzi kutaka kufahamishwa kwa nini kila mtu ana jibu lake
Hiyo ni nini au ni hii ya kusema ww sio Mtanzania kisa I don't concur with opinions za watzn wengi wa jukwaa hili?
Unga km umependa na imethibitishwa we unataka nikuskize wewe...hiyaa, unga bongo rahisi kwel, hta haujapanda hzo ni propaganda za mabeberu...
[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nimesema wapi?
Ishu ya unga mchafu kaleta mwenzako, nlitaka kumjuza tu km huwezi linganisha hvyo vimashine vya mitaani na kiwanda km taifa au dola...
Tena kw kila kitu.. tangu bei, packaging, quality
Muonekano wa nje ni muhimu sana tuu,hata kama yamejengwa ya chini basi mazingira na mpangilio uwe mzuriKinachoangaliwa ukubwa wa majengo ama ubora wa huduma??
Kilwa road hospital ina majengo ya chini lakin ina huduma zitakikanazo karibuni zote.
Majengo kutokua ya ghorofa ndio kipimo cha huduma bora??
Mkuu hizi opinion zako hapana.
Km ndio ww choicevariables nafaham vile opinion zako zilivyo beyond reality wala nisijisumbue na ww.
kwa hiyo unamaana hamna room for improvement sio? 😀Muonekano wa nje ni muhimu sana tuu,hata kama yamejengwa ya chini basi mazingira na mpangilio uwe mzuri
Kama umefika consolata hospital ikonda,Njombe utakubaliana na mimi jinsi mpangilio na mandhari ilivyo tamu au Karatu DDH hospital lakini hizi zinazojengwa saizi zina mandhari poor sana
siwabezi waacha matambo ya kijinga!Wewe bado hujaumwa au kuuguliwa na ndugu yako wa karibu kisawasawa. Siku yakikuta atatamani kwenda popote kusaka tiba.
Usiwabeze wakenya wanaovuka mpaka kuja Tanzania kutafuta tiba, ni maisha tu, majirani tupendane na kusaidiana tu. Ndio utu na ubinadamu, leo kwangu, kesho kwako.