Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals

Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals

I dont respond to ur stupidity thinking our hospitals r not equipped yet they have websites showing what they offer!
Tunakujua na kiherehere chako, zingekuwa nazo ungeshapost kitambo. That's why I'll keep on telling you that hospital sio Majengo. In terms of services you are nothing to Kenya
 
Hilo mbona lipo wazi, wenzako wanajua wewe tu ndiyo huna taarifa. Tafuta info siyo unakaa kubisha bisha tu. Vipi kuhusu unga kutengenezwa Nairobi! Hilo umeamua kulikaushia. Tz vijijini unga ni bei rahisi kuliko Dar siku zote. Kila kijiji kina kiwanda kidogo cha kusaga na kukoboa. Mkulima akipata mazao, anasaga yamatumizi yake then ziada ndiyo anauza. Ndiyo maana ni ngumu sana kukuta vijijini watu wana njaa mpaka wanakufa. Ukisika njaa basi jua mavuno yalikua pungufu so pesa itawapiga chenga ila siyo chakula. Kenya mnamengi ya kujifunza Tanzania.
I'm not talking about unga. What I want you to do is to prove to me that Nairobi holds 70% of Kenya's GDP.
 
Mzee Tanzania sio Kenya, mfumo wa kununua bidhaa za vyakula Tanzania ni tofauti na Kenya
Acha ujinga ,
Tangu lini processed factory products prices zikawa different from region to region,
Usituone wajinga hapa,,,in fact Dar ndio inafaa kuwa cheap according to your theory juu most companies ziko huko,,,no transportation cost...
2kg mnauziwa ksh 158!!!
 
Hilo mbona lipo wazi, wenzako wanajua wewe tu ndiyo huna taarifa. Tafuta info siyo unakaa kubisha bisha tu. Vipi kuhusu unga kutengenezwa Nairobi! Hilo umeamua kulikaushia. Tz vijijini unga ni bei rahisi kuliko Dar siku zote. Kila kijiji kina kiwanda kidogo cha kusaga na kukoboa. Mkulima akipata mazao, anasaga yamatumizi yake then ziada ndiyo anauza. Ndiyo maana ni ngumu sana kukuta vijijini watu wana njaa mpaka wanakufa. Ukisika njaa basi jua mavuno yalikua pungufu so pesa itawapiga chenga ila siyo chakula. Kenya mnamengi ya kujifunza Tanzania.
Hawajui kuwa vijijini watu wanamiliki mashine ndogo ndogo za kusaga nafaka na kukoboa,
Mtu ana magunia yake ya kutosha ndani,
Unga ukiisha anapima zake debe anaenda kusaga zake unga.
 
So a sack of maize in Dar is ksh3916 while in Nairobi is ksh 3400[emoji23][emoji23].
Evidence? Ninyi huwa mna mfumo wa kusaga mahindi wenyewe kama huku? Ninyi huwa mnanunua unga sio mahindi kama Tanzania
 
The likes of Nakuru is 2800 and Eldoret is 3000
Screenshot_20191102-133444.jpeg
 
Ni aje Bei za Kenya ziko stationary if there are some places that maize sack goes for 2800 and others 3000?
Na bei zenu zipo stationary wakati Tanzania hiyo bei unayoiona ipo juu haimaanishi ndio bei ya Soko lote, unaweza kuta sokoni bei ni 60k
 
We ni PUNGUANI kweli.
Ukiambiwa acha ujuaji unapayuka.
Kwahyo kwa akili zako unga una chakatwa Dar peke ake?
Punguani kweli ww.
Tanga,Morogoro n.k n.k kuna zile mashine ndogo za kukobolea na kusagia unga wa mahindi na muhogo na gharama zake ni ndogo achana na hv viwanda vikubwa.
NDIO MAANA NIKAKWAMBIA VIJIJINI UNGA BEI RAHISI.
UNATAKA KUSHINDANA NA MM NAYEFAHAM MAISHA YA HUKU SI UTAKUA PUNGUANI WW.
Hahah ukweli mnapenda kupinga,
Huwa mnajigamba hapa vile nchi yenu ni cheap but Kwa ground vitu ni different,,,
Nchi pekee east Africa with cheap stuffs ya ukweli ni UGANDA,
wengine wote ni waongo despite being LDCs with less salaries
 
Unajielewa kweli? How is 3400(Nairobi) is more expensive than 3916(Dar)?
kwanza hayo ni mahindi gani? Mahindi meupe ni 60k kilo 100, mahindi yakiwa zaidi ya 60k ni mahindi ya njano (mahindi lishe) na ni kilo zaidi ya 100 sio 90kg kama Kenya
 
Hahah ukweli mnapenda kupinga,
Huwa mnajigamba hapa vile nchi yenu ni cheap but Kwa ground vitu ni different,,,
Nchi pekee east Africa with cheap stuffs ya ukweli ni UGANDA,
wengine wote ni waongo despite being LDCs with less salaries

Ilishatokea Kenya gunia la kg100 kuuzwa 680?
 
Ni aje Bei za Kenya ziko stationary if there are some places that maize sack goes for 2800 and others 3000?
Bado mahindi yenu bei ghali sana tena sana

Tanzania unapata gunia la kg100 kwa 700 ya Kenya, huko Kenya hii ndi ndoto
 
Back
Top Bottom