Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals

I dont respond to ur stupidity thinking our hospitals r not equipped yet they have websites showing what they offer!
Tunakujua na kiherehere chako, zingekuwa nazo ungeshapost kitambo. That's why I'll keep on telling you that hospital sio Majengo. In terms of services you are nothing to Kenya
 
I'm not talking about unga. What I want you to do is to prove to me that Nairobi holds 70% of Kenya's GDP.
 
Mzee Tanzania sio Kenya, mfumo wa kununua bidhaa za vyakula Tanzania ni tofauti na Kenya
 
Hawajui kuwa vijijini watu wanamiliki mashine ndogo ndogo za kusaga nafaka na kukoboa,
Mtu ana magunia yake ya kutosha ndani,
Unga ukiisha anapima zake debe anaenda kusaga zake unga.
 
So a sack of maize in Dar is ksh3916 while in Nairobi is ksh 3400[emoji23][emoji23].
Evidence? Ninyi huwa mna mfumo wa kusaga mahindi wenyewe kama huku? Ninyi huwa mnanunua unga sio mahindi kama Tanzania
 
The likes of Nakuru is 2800 and Eldoret is 3000
 
Ni aje Bei za Kenya ziko stationary if there are some places that maize sack goes for 2800 and others 3000?
Na bei zenu zipo stationary wakati Tanzania hiyo bei unayoiona ipo juu haimaanishi ndio bei ya Soko lote, unaweza kuta sokoni bei ni 60k
 
Hahah ukweli mnapenda kupinga,
Huwa mnajigamba hapa vile nchi yenu ni cheap but Kwa ground vitu ni different,,,
Nchi pekee east Africa with cheap stuffs ya ukweli ni UGANDA,
wengine wote ni waongo despite being LDCs with less salaries
 
Unajielewa kweli? How is 3400(Nairobi) is more expensive than 3916(Dar)?
kwanza hayo ni mahindi gani? Mahindi meupe ni 60k kilo 100, mahindi yakiwa zaidi ya 60k ni mahindi ya njano (mahindi lishe) na ni kilo zaidi ya 100 sio 90kg kama Kenya
 
Hahah ukweli mnapenda kupinga,
Huwa mnajigamba hapa vile nchi yenu ni cheap but Kwa ground vitu ni different,,,
Nchi pekee east Africa with cheap stuffs ya ukweli ni UGANDA,
wengine wote ni waongo despite being LDCs with less salaries

Ilishatokea Kenya gunia la kg100 kuuzwa 680?
 
Ni aje Bei za Kenya ziko stationary if there are some places that maize sack goes for 2800 and others 3000?
Bado mahindi yenu bei ghali sana tena sana
Tanzania unapata gunia la kg100 kwa 700 ya Kenya, huko Kenya hii ndi ndoto
 
Bado mahindi yenu bei ghali sana tena sana
Tanzania unapata gunia la kg100 kwa 700 ya Kenya, huko Kenya hii ndi ndoto
We are in 2019 you idiot, acha kutuletea news za 2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…