Kumbe wahanga wa mfumo CCM ni wengi, sasa wanachekelea baada ya "kuwezeshwa". Nashindwa kuelewa nini kinacho-boa kuhusu thread hii zaidi ya kwamba imejaa ukweli
inawezekana,,,lakini jaribu kumsamamisha kijana wako na graduates wa mwaka jana wa st francis,feza,marian,don bosco seminary mafinga,kibaha,mzumbe,,,,,we unaangalia watoto wasioandaliwa wa shule za lowassa(kata),,, twice mkuu
sikia mkuu, alichokosea huyo mtoa hyo mada ni kitendo chake cha kusema 'form five mwaka huu vichwa maji' wakati kuna watu wamejipatia one zao kihalali kabisa, ameongea point ,ingawa amekurupuka kwenye kutoa hyo point yake.
Wapumbavu ni wengi sana. So hata five na six watapewa alama za bure tu.
We kama umekosa thread ya
kuweka humu bola upige kimya kwani chadema na elimu wapi na wapi?ebu toa
kampeni zako humu kajaribu forum ya siasa n then usidhani wote walio
maliza 4m 4 ni waliofeli co badilisha kauliyako huwezi kumuita mwenzio
kichwamaji bhana inaboa..
Kingine, huyumshikaji hapendi maendeleo ya watu.Mi nahisi ufaulu umemuuma sana
we mwenyewe pumba tu acha dharau tumia akiljukwaa hili alikufai mtukama ww coz unatema pumba; kauze mayai acha madogo wafuraie juudi zao au ww pia nikama kayumba yule naemjua mim
Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk elimu kwani kufanya hivyo ni kuizika elimu ya TZ kuzimu. Ni bora kupata wanafunzi wachache bora kuliko wanafunzi wengi feki.Hii inaonyesha dhahiri kuwa serikali ya CCM NI MOJAWAPO YA MAAJABU SABA YA DUNIA AMBAPO WALIOFELI HUONGEZEWA MAKSI ILI WAKAFIE MBELE. KUONDOA UCHAFU HUU NI CHADEMA KUSHIKA NCHI 2015

unajua nn! huyu mshikaji huenda aliandika matusi kwenye mtihani na kama sio matusi basi alichora mazombi ndo maana anaona sisi tuliopata dv4 mara ya kwanza sasa Mungu akitujalia tukafaulu yeye inamuuma sana! ni hayo tu mkuu!
Nakubaliana nawe kwa 100%