Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

Kumbe wahanga wa mfumo CCM ni wengi, sasa wanachekelea baada ya "kuwezeshwa". Nashindwa kuelewa nini kinacho-boa kuhusu thread hii zaidi ya kwamba imejaa ukweli

sikia mkuu, alichokosea huyo mtoa hyo mada ni kitendo chake cha kusema 'form five mwaka huu vichwa maji' wakati kuna watu wamejipatia one zao kihalali kabisa, ameongea point ,ingawa amekurupuka kwenye kutoa hyo point yake.
 
jukwaa hili alikufai mtukama ww coz unatema pumba; kauze mayai acha madogo wafuraie juudi zao au ww pia nikama kayumba yule naemjua mim
 
inawezekana,,,lakini jaribu kumsamamisha kijana wako na graduates wa mwaka jana wa st francis,feza,marian,don bosco seminary mafinga,kibaha,mzumbe,,,,,we unaangalia watoto wasioandaliwa wa shule za lowassa(kata),,, twice mkuu

Kumbe sekondari za siku hizi zinatoa hadi GRADUATES...
 
sikia mkuu, alichokosea huyo mtoa hyo mada ni kitendo chake cha kusema 'form five mwaka huu vichwa maji' wakati kuna watu wamejipatia one zao kihalali kabisa, ameongea point ,ingawa amekurupuka kwenye kutoa hyo point yake.

Well said. Heading yaweza kuwa haijakaa fresh
 
We kama umekosa thread ya kuweka humu bola upige kimya kwani chadema na elimu wapi na wapi?ebu toa kampeni zako humu kajaribu forum ya siasa n then usidhani wote walio maliza 4m 4 ni waliofeli co badilisha kauliyako huwezi kumuita mwenzio kichwamaji bhana inaboa..
 
Kingine, huyumshikaji hapendi maendeleo ya watu.Mi nahisi ufaulu umemuuma sana
 
Wapumbavu ni wengi sana. So hata five na six watapewa alama za bure tu.

point.., mi mimeshachoka na linchi langu ni kama viongoz a nchi yangu wanaambukiza umbu...la. Baada ya kubaini kufeli na kufodge vyeti naibu waziri, sasa wameamua taifa lijae (samahani kusema) mavichwamaji.
 
We kama umekosa thread ya
kuweka humu bola upige kimya kwani chadema na elimu wapi na wapi?ebu toa
kampeni zako humu kajaribu forum ya siasa n then usidhani wote walio
maliza 4m 4 ni waliofeli co badilisha kauliyako huwezi kumuita mwenzio
kichwamaji bhana inaboa..

umenena mkuu!
 
Kingine, huyumshikaji hapendi maendeleo ya watu.Mi nahisi ufaulu umemuuma sana

unajua nn! huyu mshikaji huenda aliandika matusi kwenye mtihani na kama sio matusi basi alichora mazombi ndo maana anaona sisi tuliopata dv4 mara ya kwanza sasa Mungu akitujalia tukafaulu yeye inamuuma sana! ni hayo tu mkuu!
 
sam G hiyo ndiyo hali halisi ...! yaani kusoma hujui hata picha huoni,,,? we unadhani kipi ni sahihi kati ta matokeo ya kwanza na haya yaliyo ongezeka kwa ufaulu wa asilimia 57?
 
Mfumo mpya or mfumo wa zamani nine maneno ya siasa tu, mbona wanasema mfumo mpya, mfumo zamani but hawaisemi vizuri Iyo mifumo ikoje,,
Imefika wakati serikali kutafuta suruhu ya kudumu no co kuingiza siasa kwenye suala la elimu
 
Hata wewe uliyeleta uzi huu ni kichwa maji kwa kuwa hukupambanua kuwa kuna walofaulu na walofaulishwa hatutaki siasa hapa tunataka facts
umenisoma nadhani umesema ndio mkuu
Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk elimu kwani kufanya hivyo ni kuizika elimu ya TZ kuzimu. Ni bora kupata wanafunzi wachache bora kuliko wanafunzi wengi feki.Hii inaonyesha dhahiri kuwa serikali ya CCM NI MOJAWAPO YA MAAJABU SABA YA DUNIA AMBAPO WALIOFELI HUONGEZEWA MAKSI ILI WAKAFIE MBELE. KUONDOA UCHAFU HUU NI CHADEMA KUSHIKA NCHI 2015
 
siku ingine ukafanyeje?
Jipangeeeeeee
 
unajua nn! huyu mshikaji huenda aliandika matusi kwenye mtihani na kama sio matusi basi alichora mazombi ndo maana anaona sisi tuliopata dv4 mara ya kwanza sasa Mungu akitujalia tukafaulu yeye inamuuma sana! ni hayo tu mkuu!

Ina wezekana mkuu wala siyo bure
 
Nakubaliana nawe kwa 100%

Ndugu zangu mngejua jinsi serikali imefikiri sn mbali kuwasaidia watoto na wazazi msinge sema uji huo, nasema hivi kama mzazi, najua mnadhani elimu ingekuwa kwakufanya mtihani migumu kumbe, elimu pekee ni ile inayofundisha kufanya kazi zaidi kuliko ya darasani,
ni kweli inawezekana baadhi wakapelekwa wa bovu, lkn siyo 65% ninakubaliana na serikali kuwa wanaotumia elimu yao kazini ni wachache sana ulikinganisha na wanaotumia uzoefu watakao wakuta kazini watakao wafundisha hapo.
najua mnaweza kunikashifu lkn elimu ya TZ inashindwa na wa Kenya, mtoto wa std 5 anakutoa nock out wewe unaesema serikali imekosea, tujiulize mlitaka serikali ifanye nn kuwasaidia watoto na wazazi hawa?
Huoni umuhimu, huna mtoto aliyeathirika na hili la ungeshukuru kuwa kazi ndo msingi wa maisha na sikufaulu kwa kutoil sana.
 
Kufuatia matokeo mabovu ya kidato cha nne na serikali ya CCM kuamua kuyachakachua kwa kuwapa maksi za bule waliofeli kwa malengo ya kujisafisha kiasiasa, Wakuu wa shule za kidato cha 5 na cha 6 wajiandae kupata wanafunzi mbumbumbu (vichwamaji). Umefika wakati serikali iache kuingiza siasa ktk elimu kwani kufanya hivyo ni kuizika elimu ya TZ kuzimu. Ni bora kupata wanafunzi wachache bora kuliko wanafunzi wengi feki.Hii inaonyesha dhahiri kuwa serikali ya CCM NI MOJAWAPO YA MAAJABU SABA YA DUNIA AMBAPO WALIOFELI HUONGEZEWA MAKSI ILI WAKAFIE MBELE. KUONDOA UCHAFU HUU NI CHADEMA KUSHIKA NCHI 2015

not interested with your heading at all coz ts somesort of abuse otherwise kill yourself
 
Usiseme vichwa maji mana kuna watu tumefaulu tena sana so sio wote ni vichwa maji,
 
Back
Top Bottom