Kumbe wahanga wa mfumo CCM ni wengi, sasa wanachekelea baada ya "kuwezeshwa". Nashindwa kuelewa nini kinacho-boa kuhusu thread hii zaidi ya kwamba imejaa ukweli
sikia mkuu, alichokosea huyo mtoa hyo mada ni kitendo chake cha kusema 'form five mwaka huu vichwa maji' wakati kuna watu wamejipatia one zao kihalali kabisa, ameongea point ,ingawa amekurupuka kwenye kutoa hyo point yake.