Kupata division 1 siyo kigezo cha kupata chuo tu . Mfano mtu anaweza akawa na division one lakin form 4 aliharibu kwenye hesabu na kozi anayoitaka lazima awe na angalau "D".Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10.
Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k)
si kwamba ukiwa na Division Two au Three huwezi kupata chuo kikubwa lakini ukweli ni kwamba ushindani ni mkubwa, na nafasi ni chache. Wanafunzi wengi wenye Division One nao wanaziwania hizo nafasi, jambo linalopunguza uwezekano kwa wengine.
Kwa hiyo, jiongeze kwa kuomba vyuo vingi, usijikite tu kwenye vya serikali. vya makanisa na binafsi pia vipo na vina nafasi zaidi kwa walio na division hizo za kati.
Kama una hizo division omba vyuo vingi hasa vya makanisa na private
Mifano ya vyuo unavyoweza kuzingatia:
Ruaha Catholic University
Catholic University of Mbeya
Moshi catholic
Tumaini - Arusha na Iringa
Saut Mwanza
Teku Morovian Mbeya
Mihayo - Tabora
Stela Maris - Mtwara
n.k.
Ni jambo la kusikitisha kuona mtu mwenye Division 2 au 3 akiomba vyuo viwili vitatu, tena vyote vya serikali. Hapo kuna hatari ya kukosa chuo kabisa.
Tafadhali jipangie vizuri: Omba vyuo vingi, jipange kutimiza ndoto zako.
Tufanye over estimation wenye division 1 walioharibu form 4 ni asilimia 15 %, bado wanaobaki ni zaidi ya elfu hamsini.Kupata division 1 siyo kigezo cha kupata chuo tu . Mfano mtu anaweza akawa na division one lakin form 4 aliharibu kwenye hesabu na kozi anayoitaka lazima awe na angalau "D".
Kupata division wana kweli inaleta sifa kama kozi unazo zitaka unasifa stahiki kwanzia o level .wapo watu wengi tu wamekosa vyuo na wana one miaka ya nyuma kutoka na sifa zinazo hitajika kweny kozi husika .
Vyuo vingi vya private vina ada kubwa hususani kwenye upande wa engineering ,computer,afya ada ni kubwa sana na kama inavyo julikana mkopo siyo mkubwa kwa hiyo mtu anaweza akashindwa njiani.
Uwamuzi bora ni kuomba kitu ambacho unasifs nazo mambo yakusema ndoto zako lazima zitimei wa achanenayo kwa sababu wakiforce watajikuta wana umia kweny ada kwa kiwango kikubwa.mfano kwa MD vyuo vya private hamna chuo ada yake ni chini ya 6M alafu mkopo ada unapewa tuition fees 500k . Kama mzazi wako anauwezo utajikuta unaingiza familia kwenye madeni makubwa na ukimaliza kumbuka nikujiajiri tu .
Sema mm siungi mkono upande wa afya mtu kwenda chuo cha private kama mfukoni hayupo viziru.Tufanye over estimation wenye division 1 walioharibu form 4 ni asilimia 15 %, bado wanaobaki ni zaidi ya elfu hamsini.
Na kwa taarifa yako wenye division 2 na 3 wengi sana ndio waliharibu form 4,
Vyuo vingi vya private lazima ada iwe kubwa kwasababu hawapati msaada wa serikali, na bado wanajibana sana ndio maana hata lecturers wa private huwa wanalipwa kidogo kuzidi wenzao wa serikalini
Kozi za afya vyuo private ada zipo juu, Ndio maana tunawaasa sana wadogo zetu wasome kwa bidii huko mashuleni, matokeo huwa yana uzito wake kwenye selection za vyuo.Sema mm siungi mkono upande wa afya mtu kwenda chuo cha private kama mfukoni hayupo viziru.
Alichoandika kina maana sana. Labda kama umelewa ndio utashindwa kuelewa nini anamaanishaMleta mada umekula Tungi nn waache vijana wa apply
Kweli alichonena hapo ni kweli kabisaAlichoandika kina maana sana. Labda kama umelewa ndio utashindwa kuelewa nini anamaanisha
OkayNashukuru shemeji kanifanyia apulikesheni naenda IFM BAIT,
Yep yep
Mukae stensibai kunipokea naingia kwa MGR mwendo wa kuburuzwa,,
Kwan machaguo ya vyuo wameshatoa?Okay
Hongera muungwana.Nashukuru shemeji kanifanyia apulikesheni naenda IFM BAIT,
Yep yep
Mukae stensibai kunipokea naingia kwa MGR mwendo wa kuburuzwa,,
Engineering ni kawaida shida ni kozi za afya kupata ndio changamotoMimi nimepata Division II (ya 10)
Nimeapply vyuo vinne tu na vyote vya serikali, kozi ya Mechanical Engineering, nimepata vitatu, kimoja tu ndio wamenitema
Na bado kuna Round II, watu kibao wenye ufaulu kama wangu watapata vyuo vya serikali
Yeah, kila mtu anataka kusoma afya ndio shida inapoanziaEngineering ni kawaida shida ni kozi za afya kupata ndio changamoto