Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Ok
kwa mwenye
GS ......................C
HISTORY ..............B+
GEOGR..................B
ENGLISH ...............B+
na hapendi kusoma chuo chochote zaidi ya udsm, aaplai nini?
........... msaada please!


probability ya kuja ni kubwa ni kama 88%coz unakuwa na cut points 11 from core subject so tupia hata usikivungie afu weka mwanzon
 

Attachments

  • Screenshot_2014-07-20-00-22-53-1.png
    3.9 KB · Views: 253
Mkuu naskia UDSM ukiwa na div-II sahau kabisa kwenda mpaka uwe na div-I tena kali?

uzamanii huo education change overtime so kila mwaka unakua na qualification zake division 1 ya mwaka huu ni differ na ya mwaka jana na juzi na pia 2011 kuna mabadiliko mengi katika elim dat y qualification za ud na tcu zina change kwa mwaka jana hadi division 3 zipo pale kwa baadhi ya course


so inadepend unacho apply na competition ya watu walio omba hicho ulicho apply kusoma
 
Hii nchi wameiua jamani kielimu uyu nae ni form six anatakiwa akasome bachela tena ndio mjanja wa wenzake anawapa info za chuo tumekwisha hao wenzake watakua wanajua ata kusoma kweli???

Kawambwa nini hiki unafanya?


weee
mtanzania

usi reason vitu nje nje twende kwa hoja typing error isikupe picha yote kumbe kuna mengi ndan hujayaona toa hoja nikujibu kwa hoja hapo sawaaa ka huna hoja ka pemben wenye hoja waseme na uone zinavyojibiwa
 
hzi ndio dvsn 3 point 15 zlizoenda udsm.....yan deateal? kweli?

mzee wa kisimati yaniii huna hojaa to hoja tuelimishane kwa hoja na sio mhusika sababu wahisika wana drop question zao na view zao kumbuka division just number kama huamin jibu tena nikupe somoo hakuna 3 ya 15 ud kaka waliishia 14 kwa mwaka jana na kupata 3 sio ndo ukilaza mbona ma TO wanadisco vizur tu na wenye 3 wana ondoka na GPA nzurii wanakazi zao na maisha yao
 
Harudi tena huyo, ni dizaini fulani ya watu wanaotaka kuwatoa mpunga maForm Six waliomaliza

ndo uwezo wako wa kufikili ulipo hishia na sio mhusika ko stay out of my way

vitu vingine we do for funny sio utapeli uliozoea ka we ulivyotapeliwaaaaaaaa kuziii ww jipange upya
 
je kama mtu kapata div iii ya 13, Physics D, Chemistry D, Biology B, BAM B ana weza ingia chuo kikuu kweli? alikuwa anachukuwa PCB. Na Course gani inamfaa?


chuo utapata kijana we chukua kile kitabu cha tcu utacheki ni chuo gani kitakufaaa na course itadepend na ww unataka nn
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Undergraduate%20Admission%20Guidebook%202014-2015_04_24.pdf
 

somaaaa iyoo picture usipoelewa comments tena
 

Attachments

  • Screenshot_2014-07-22-12-50-55.png
    10.8 KB · Views: 178
Minimum point za kudahili wanafunzi UDSM kwenye fani ya sheria ni ngapi?
 
chuo utapata kijana we chukua kile kitabu cha tcu utacheki ni chuo gani kitakufaaa na course itadepend na ww unataka nn
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Undergraduate%20Admission%20Guidebook%202014-2015_04_24.pdf

Mwaka huu Principal pass ni C, na TCU wamekwisha tolea ufafanuzi juu ya swala hili.
 
Don't jauge book kwa cover mzeee ww

What iz jauge?

Au ulikua unamaanisha nini?

Mdogo wang nilitaka nikurudishe form 2 lakini naona itakusumbua rudi darasa la 4 ukajifunze dictation ili ujue kuandika maneno ya kingereza,ni wazi hakuna typing error hapo ila hujui kuandika maneno ya kingereza.rudi ukajifunze individual utaweza tuu

Af unataka hoja si utahamia library mdogo wang

Ila sio kosa lako ni system ya uongozi tulionayo
 
hzi ndio dvsn 3 point 15 zlizoenda udsm.....yan deateal? kweli?
Haiwezekani awe UDSM hata iweje, huyo ni kijana tu matokeo yametoka kafaulu basi anatafuta ujiko kwa wenzake aonekane anajua sana...
 
Asante kwa kunisemea;
Naona dogo anajitia kujiamini kupindukia;
Nimemfananisha na wale waliotupa miili ya watu kule tegeta.

 


usijikute una something kumbe ur nothing


mtu gan ww hasira na Gvt yako usilete hapaaaa

kukosea mbona ni kawaida yaani hata ww mwenyewe unajua hiviii katika mitihan yako ushawah pata mia nobody perfect ndugu

toa hoja tuelimishane kwa hoja ndo utajua kilichomo kimo au?
 
Asante kwa kunijibu huko juu
japo tunaenda kwa kukwaruzana hivyo hivyo:
Je kwa hizi hapa anaweza kusoma sheria?

GS ......................C
HISTORY ..............B+
GEOGR..................B
ENGLISH ...............B+
.................................div. 1 point 7
 

Anashangaza na kusahau kuwa kukosea kunatokea kama unaelewa kitu unakirekebisha na kutoa ufafanuzi zaidi
 

yeah hapo anapata LLB vizuri tu mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…