Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok
kwa mwenye
GS ......................C
HISTORY ..............B+
GEOGR..................B
ENGLISH ...............B+
na hapendi kusoma chuo chochote zaidi ya udsm, aaplai nini?
........... msaada please!
Mkuu naskia UDSM ukiwa na div-II sahau kabisa kwenda mpaka uwe na div-I tena kali?
Hahaha kweli elimu ya miaka hii majanga..am pretty sure hii sio typo error
Hii nchi wameiua jamani kielimu uyu nae ni form six anatakiwa akasome bachela tena ndio mjanja wa wenzake anawapa info za chuo tumekwisha hao wenzake watakua wanajua ata kusoma kweli???
Kawambwa nini hiki unafanya?
hzi ndio dvsn 3 point 15 zlizoenda udsm.....yan deateal? kweli?
Harudi tena huyo, ni dizaini fulani ya watu wanaotaka kuwatoa mpunga maForm Six waliomaliza
je kama mtu kapata div iii ya 13, Physics D, Chemistry D, Biology B, BAM B ana weza ingia chuo kikuu kweli? alikuwa anachukuwa PCB. Na Course gani inamfaa?
swali langu ndilo gumu luliko yote....nakumbuka kwa utaratibu wa zamain ilikuwa rahisi lakini kwa sasa sijui! je mtu alie maliza six 2012 ECA, E=S
C=S
A=C
DIV lll 15
then akasoma diploma ya account na
akapata GPA us 3.8! chuo alicho soma diploma ni TIA!..olevel alipata C 3, na D zote hakuwa na F.
je anaweza kusoma account UDSM?
chuo utapata kijana we chukua kile kitabu cha tcu utacheki ni chuo gani kitakufaaa na course itadepend na ww unataka nn
http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Undergraduate%20Admission%20Guidebook%202014-2015_04_24.pdf
Don't jauge book kwa cover mzeee ww
Haiwezekani awe UDSM hata iweje, huyo ni kijana tu matokeo yametoka kafaulu basi anatafuta ujiko kwa wenzake aonekane anajua sana...hzi ndio dvsn 3 point 15 zlizoenda udsm.....yan deateal? kweli?
What iz jauge?
Au ulikua unamaanisha nini?
Mdogo wang nilitaka nikurudishe form 2 lakini naona itakusumbua rudi darasa la 4 ukajifunze dictation ili ujue kuandika maneno ya kingereza,ni wazi hakuna typing error hapo ila hujui kuandika maneno ya kingereza.rudi ukajifunze individual utaweza tuu
Af unataka hoja si utahamia library mdogo wang
Ila sio kosa lako ni system ya uongozi tulionayo
What iz jauge?
Au ulikua unamaanisha nini?
Mdogo wang nilitaka nikurudishe form 2 lakini naona itakusumbua rudi darasa la 4 ukajifunze dictation ili ujue kuandika maneno ya kingereza,ni wazi hakuna typing error hapo ila hujui kuandika maneno ya kingereza.rudi ukajifunze individual utaweza tuu
Af unataka hoja si utahamia library mdogo wang
Ila sio kosa lako ni system ya uongozi tulionayo
usijikute una something kumbe ur nothing
mtu gan ww hasira na Gvt yako usilete hapaaaa
kukosea mbona ni kawaida yaani hata ww mwenyewe unajuo hiviii katika mitihan yako ushawah pata mia nobody perfect ndugu
toa hoja tuelimishane kwa hoja ndo utajua kilichomo kimo au?
Asante kwa kunijibu huko juu
japo tunaenda kwa kukwaruzana hivyo hivyo:
Je kwa hizi hapa anaweza kusoma sheria?
GS ......................C
HISTORY ..............B+
GEOGR..................B
ENGLISH ...............B+
.................................div. 1 point 7