Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Tatizo lenu mnadanganyana hapa wadogo zangu, kumbukeni chuo kikuu zinatakiwa prinsipo mbili tu na sio tatu na hata kwenye kuhesabu cut point ya kozi unahesabu points za masomo mawili tu uliyofanya vizuri zaidi yanayohitajika na kozi husika, mfano PCB umepata CCB, C ni 2 na B ni 3, kwa kuwa una C mbili na B moja points zako hapo ni 5 na si 7 somo moja halihesabiki.

Daahhh...Asante sana kaka kwa kunielewesha..nilikuwa sijui ilo...asante sana...
 
Nina point 6 kaka...sio 5.5...alafu nahofu kuchagua civil kwasababu kila mtu anaifikiria hiyo..

kaka imomo mwaka huu principal ni C ndio ni 6 nimesema ni 5.5 ni ile ya ds coz ds c 0.5 nyiii ni 6 so unawajua watu 180 wenye ufaulu uliokuzidi wanaotaka jaza civil?
 
ndo maana hukuweza kuja broo kwenye chuo cha nne AFRICA

UDSM ni chuo cha nne AFRICA?? wewe dogo kweli huna data za kutosha! Nyie ndo wale wanafunzi ambao hamjielewi, sasa nakushauri dogo fikiria jinsi gani utafaulu masomo yako kuliko kusifia chuo kipi ni kizuri!
 
kaka imomo mwaka huu principal ni C ndio ni 6 nimesema ni 5.5 ni ile ya ds coz ds c 0.5 nyiii ni 6 so unawajua watu 180 wenye ufaulu uliokuzidi wanaotaka jaza civil?

Duuuhhh..kwahiyo D ni point 0.5 au 1?? Au ni kwamba G.S zote either ni A au B au D zina point 0.5??? Daahh..naona kama sielewi mkuu...alafu nimeona humu kwe jamii forum watu wengi wanaponda chuo cha UDOM ni nini tatizo na kile chuo kaka??? Naombeni mnielimishe..
 
https://udsm.ac.tz/sites/default/files/announcement/Admissions%202013%202014%20UDSM%20Direct%20Applicants.pd

Daahhh...Asante sana kaka kwa kunielewesha..nilikuwa sijui ilo...asante sana...

sio kweli imomo ukweli ni kwamba zinazo hitajika ni 2 but ukiwa na ya tatu unakuwa katika nafasi nzuri ya kuchaguliwa maximum ni 15 czan ka wamechange utaratibu kuhusu kusabu masomo
mawili tu but mwaka jana wali count yote

reference cheki selection za ud zilivyoenda
 
https://udsm.ac.tz/sites/default/files/announcement/Admissions%202013%202014%20UDSM%20Direct%20Applicants.pd

sio kweli imomo ukweli ni kwamba zinazo hitajika ni 2 but ukiwa na ya tatu unakuwa katika nafasi nzuri ya kuchaguliwa maximum ni 15 czan ka wamechange utaratibu kuhusu kusabu masomo
mawili tu but mwaka jana wali count yote

reference cheki selection za ud zilivyoenda

So ile D ya physics haitahesabika??? Alafu kweli koz nimeona wameandika nyingi two points from three subjects...hiyo ndo minimum requirement..
 
swali langu ndilo gumu luliko yote....nakumbuka kwa utaratibu wa zamain ilikuwa rahisi lakini kwa sasa sijui! je mtu alie maliza six 2012 ECA, E=S
C=S
A=C
DIV lll 15
then akasoma diploma ya account na
akapata GPA us 3.8! chuo alicho soma diploma ni TIA!..olevel alipata C 3, na D zote hakuwa na F.
je anaweza kusoma account UDSM?

mkuuu usihofu...utaingia pale UDBS bila shida
 
UDSM ni chuo cha nne AFRICA?? wewe dogo kweli huna data za kutosha! Nyie ndo wale wanafunzi ambao hamjielewi, sasa nakushauri dogo fikiria jinsi gani utafaulu masomo yako kuliko kusifia chuo kipi ni kizuri!

hunaaa habari broo ukweliii ndo uo uliza uambiwe
.

au

tuambiie ww ni cha ngap ki Africa kwa ubora

yaaa ndio maana nimesama wa udsm hapa we kama huhusiki using'aze sharubu hapaa
 
Duuuhhh..kwahiyo D ni point 0.5 au 1?? Au ni kwamba G.S zote either ni A au B au D zina point 0.5??? Daahh..naona kama sielewi mkuu...alafu nimeona humu kwe jamii forum watu wengi wanaponda chuo cha UDOM ni nini tatizo na kile chuo kaka??? Naombeni mnielimishe..

GS na BAM hazihesabiki wanahesabu za kwenye combination tu mfano HKL, PCM, EGM etc
 
mkuuu usihofu...utaingia pale UDBS bila shida

yaaa brooo ngoja nikusaidie anaweza asielewe udbs ni nn yaan ni university of dar es saalam business school ukapambane na kina siasa na genuine vizuriii
 
GS na BAM hazihesabiki wanahesabu za kwenye combination tu mfano HKL, PCM, EGM etc

https://udsm.ac.tz/sites/default/files/announcement/Admissions%202013%202014%20UDSM%20Direct%20Applicants.pdf

hapana hatupondi hapa ila kuna njemba moja alikosea njia chuo ni chuo afu sumve bam haiesabiki but Gs inahusika saaaana view selection za ud mwaka jana uone
 
So ile D ya physics haitahesabika??? Alafu kweli koz nimeona wameandika nyingi two points from three subjects...hiyo ndo minimum requirement..

ishuuu ni kwamba miaka iyopita principal ilianzia E sasa mwaka wenu if principal ni D au C coz sina refence za taarifa zinazosema C ni principal but ka D ni principal itahesabika chaliii
 
hunaaa habariu broo ukweliii ndo uo uliza uambiwe
.

au

tumbie ww ni cha ngap ki Africa

dogo mimi siwezi bishana na wewe mwaka wa kwanza maliza chuo halafu uingie huku mtaani! coz hata kuandika kwenyewe kunakupa tabu
 
ishuuu ni kwamba miaka iyopita principal ilianzia E sasa mwaka wenu if principal ni D au C coz sina refence za taarifa zinazosema C ni principal but ka D ni principal itahesabika chaliii

Yaahh bro..principle inaanza D..kwenye guide book imeandikwa...D ni sawa na E ya zamani
 
https://udsm.ac.tz/sites/default/files/announcement/Admissions%202013%202014%20UDSM%20Direct%20Applicants.pdf

hapana hatupondi hapa ila kuna njemba moja alikosea njia chuo ni chuo afu sumve bam haiesabiki but Gs inahusika saaaana view selection za ud mwaka jana uone

Hehe..we sikuwezi, haya bana endeleeni ila please kidogo punguza hata kama ni typing errors zako zinazidi, hamkitendei haki chuo chetu hicho, tuliosoma zamani UDSM hatukua hivyo.
 
dogo mimi siwezi bishana na wewe mwaka wa kwanza maliza chuo halafu uingie huku mtaani! coz hata kuandika kwenyewe kunakupa tabu

ilikuwa ni first daft angalia second draft ilivyooo kaka kukosa kwako ajira au kuona watu wa udsm today wanakosa wanakosa ajira usifikiri vyuo vyote sawa angalia for future dat y ni nesema wale form six wanaohitaji info za ud hapa ww huna kazi msomi uliesoma na unasubiri uajiriwe ajira mwisho chalinze huku mjin ni ujasiliamali tu think big we zumbukuku
 
Back
Top Bottom