Form six uliza hapa jambo lolote kuhusu UDSM

Hehe..we sikuwezi, haya bana endeleeni ila please kidogo punguza hata kama ni typing errors zako zinazidi, hamkitendei haki chuo chetu hicho, tuliosoma zamani UDSM hatukua hivyo.

kaka unakiabisha chuo wewe nimesema wale form six we umemaliza chuo ...... kumbe uhusiki wanaohusika wanaelewa
 
mkuuu usihofu...utaingia pale UDBS bila shida

mkuu mm nme hitimu udsm BA PSPA 2010!!!..nimeuliza tu taratibu za sasa....mf sisi tuli apply direct! hivyo mfumo mziwa wa udaili ume badilika. mkuu nashkuru kwa jibu lako.
 
Umeniambia wanahesabu masomo mawili..but kwenye guide book imeandikwa atleast 2points from three subjects

Two points?!! hakuna kitu kama icho, labda kama two principles sawa?!!

Hiyo isikuchanganye, unapotakiwa kujua wanahesabu points ni pale walipoandika cut points, utaona mfano MUHAS udaktari ni 7 pts katika masomo yale mawili ambayo umefaulu kati ya hayo matatu, hata kama umefaulu yote wanahesabia hayo mawili tu.
 
Sawa mkuu...nimekuelewa..Basi naombeni mnishauri..nichague chuo gani kama first choice..ambacho mnanona nitapata bila shida...nataka nisome civil au Mining engineering
 
Kama hutojali nitafute PM nikuambie kitu
 
Sawa mkuu...nimekuelewa..Basi naombeni mnishauri..nichague chuo gani kama first choice..ambacho mnanona nitapata bila shida...nataka nisome civil au Mining engineering
bac itakuwa pouwaaa ukimpata mtu anayesoma or aliesoma ndo akupe full data
 
bac itakuwa pouwaaa ukimpata mtu anayesoma or aliesoma ndo akupe full deatel

haaa haa!!deatel????? ndo nini?? umeeleweshwa still unarudia makosa, halafu na ww unajiita unasoma chuo,,kingereza hujui hata kiswahil hujui pia?? BIG RESULTS NOW (BRN)..KILaza mkubwa ww,
 
thanks
 
Hahahahahaa...duh hawa madogo aisee kweli ni kizazi cha majoka.
 
Anza na UDOM mkuu, UDSM competition itakutema.

haa haa!! system inamtema mapema tu haiwez hata kumpa nafasi, anaweza akashangaa system imemtupa chaguo lake la mwisho ambalo ni Education au Food and Nutrition.
 
Hahaaahahaha...Duuuhh..kaka unajua kuvunja watu moyo sana..hongera kwa hiko kipaji..
 
haaa haa!!deatel????? ndo nini?? umeeleweshwa still unarudia makosa, halafu na ww unajiita unasoma chuo,,kingereza hujui hata kiswahil hujui pia?? BIG RESULTS NOW (BRN)..KILaza mkubwa ww,

thankx
 
Back
Top Bottom